kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
Nakumbuka moja ya kauli yake tata sana "too much democracy is undemocracy"Aha umenikumbusha mbali sana Hilo Jina anaongea km kafungiwa Mota
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka moja ya kauli yake tata sana "too much democracy is undemocracy"Aha umenikumbusha mbali sana Hilo Jina anaongea km kafungiwa Mota
Yanga wanahusda baada ya simba kuongoza ligiHata Jamal Malinzi alikua ni wa Simba ehee??
Jamal Malinzi ananyea Debe Muda huu nae ni Simba?Hili jamaa lina aleji na pesa, hivi watu wa Simba mkiona pesa sehemu ni kwa nini mnashindwa kuushinda moyo?
Aha yule mzee Ni shida huyu manara wa Sasa haoni ndani hata roboNakumbuka moja ya kauli yake tata sana "too much democracy is undemocracy"
Akaze mwendo aweKama Damas Ndumbaro maana nae alifungiwa na TFF lakini sasa ni Mbunge na atatajwa tajwa kumrithi Shonza
Huyu Ni pacha wake[emoji1]kuna wambura aliwahi kuwa FAT wanahusiana vipi na huyu?
Malinzi alijifunga mwenyewe kwa kujilimbikizia Mali ya tffAwa kina wambura na karia ndio waliomfanyia fitina Jamali Malinzi mpaka wakamuweka sero.