Kamati ya Maadili TFF yamfungia Michael Wambura kujihusisha na soka maisha

daa huyu jamaa kama amelala na bundi vile, gundu daily yeye alisha anza kula cake ya TFF sasa utamu umepitiliza haya acha picha liendelee,,.
 
Hili jamaa lina aleji na pesa, hivi watu wa Simba mkiona pesa sehemu ni kwa nini mnashindwa kuushinda moyo?

wewe ni mtu mzima acha kushabikia uzushi kwa kuleta usimba na Uyanga hakuna kesi hapo sema tatizo nikumaliza mtandao wa malinzi kwenye soka basi
 
Wambura anatia aibu sana ! hivi kabila gani huyu jamani ? Mtu unajijua una gundu lakini bado huachi wizi !

acha kushabikia ujinga juujuu na kupakana matope wakati tatizo linajulikana nikuumaliza mtandao wa Malinzi wala sio maendeleo yasoka acheni ujinga
 

huu ndo ukweli kwamba Karia ni mshenzi kuliko kiongozi yoyote aliyewahi kutokea hapo Tff
 
Ili mchezo wa soka unyanyuke nchini ni lazima kuyafagia magenge ya aina hii
 
Soka linakwazwa na genge hilo, acha wafagiwe
 
Wambura ana bahati mbaya sana na soka la Tanzania. Yaani tangu enzi za Nkurunzinza Ndolanga na Rage, huyu mzee amekuwa "akiipigania haki yake" kama outsider. Apumzike tu sasa na ale mpunga alioupiga.
 


Ileekamati yasimba ilikaaa wikikutoaa maamuzi kweli napitatu
 
Alichosahauu wamburaaa aliemtoaa malinzi yuko NA badoyuko akajuaa anarudi NA enziizile za upigaji

NA wahakikishia himve akula pekeeyake aliinamishwa namtu namgao akatoa akajua wakonae kumbe ndie wanaendamgongelea msumari
 
Utasikia anaenda mahakamani huyu jamaa...hivi hanaga kazi nyingine zaidi ya kutaka TFF tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…