Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
- #61
We binti umeamua utuonyeshe neema za Allah huko nyumauyu jamaa ni cancer kwenye soccer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We binti umeamua utuonyeshe neema za Allah huko nyumauyu jamaa ni cancer kwenye soccer
Muhina seif omar kaduguda simba wa yudaAha umenikumbusha mbali sana Hilo Jina anaongea km kafungiwa Mota
wapi pameandikwa ni mtu wa simbaHili jamaa lina aleji na pesa, hivi watu wa Simba mkiona pesa sehemu ni kwa nini mnashindwa kuushinda moyo?
Hili jamaa lina aleji na pesa, hivi watu wa Simba mkiona pesa sehemu ni kwa nini mnashindwa kuushinda moyo?
Yanga hawajui kupiga kama simbaHivi malinzi na mwesigwa waliweza kuushinda moyo?
Wambura anatia aibu sana ! hivi kabila gani huyu jamani ? Mtu unajijua una gundu lakini bado huachi wizi !
Ha ha ha.. Vita na fitina zinaendelea TFF.. Mnaodhani Wambura amekutwa na hatia kihalali kabisa na "wasafi" wenye nia njema na kuendeleza soka la bongo, mmebugi step sana.. Hapa kinachoonekana ni mwendelezo wa kambi za Karia na Malinzi na isitoshe, watu wana mashaka na madaraka yao na zaidi wanafikiria urais baada ya miaka minne ya Karia kwani Wambura alishaanza kuonyesha nia ya kuwa mgombea wa urais wa TFF, uchaguzi ujao.. Hakuna hata afadhali hapo, sio Wambura wala Karia.. TFF itaendelea kufanywa shamba la bibi, kwa kuwa kuna maslahi mapana hapo..
Simba inahusikaje kwenye suala hili?Hili jamaa lina aleji na pesa, hivi watu wa Simba mkiona pesa sehemu ni kwa nini mnashindwa kuushinda moyo?
huu ndo ukweli kwamba Karia ni mshenzi kuliko kiongozi yoyote aliyewahi kutokea hapo Tff
Soka linakwazwa na genge hilo, acha wafagiweWAMBURA NA MALINZI WAMEPATA WALICHOKUWA WANATAFUTA.WAMELAZIMISHA KURUDI KWENYE UONGOZI WA SOKA MPAKA WANAISHIA MAHABUSU.HII TAKATKA YOTE YA WALE VIONGOZI WABABAISHAJI WAFUNGWE TU WAKIANZIA NA MALINZI NA GENGE LAKE.WAKINA KABURU PIA KAMA WANAHUSIKA NA PESA ZA SIMBA WAWEKWE NDANI MPAKA TFF PAOGOPWE KAMA UKWENI.
Kama hii habari ni ya kweli HONGERENI SANA KAMATI YA MAADILI YA TFF kwa 'kuumeza mfupa huu uliowashinda wengi'
Katika makosa makubwa ambayo wadau wa mpira wamefanya nchi hii ni kumrudisha huyu jamaa kwenye medani ya michezo. Huyu jamaa hafai, ni bomu linalotembea na linaoweza kulipuka muda wowote. Kwa wanamfahamu huyu jamaa tangu alipokuwa Katibu Mkuu enzi zile za FAT ya akina Ndolanga, watakuwa wananielewa namaanisha nini.
Akaze mwendo aweKama Damas Ndumbaro maana nae alifungiwa na TFF lakini sasa ni Mbunge na atatajwa tajwa kumrithi Shonza