Kamati ya Maadili TFF yamfungia Michael Wambura kujihusisha na soka maisha

Akienda mahakamani anashinda asubuhi tu kama maelezo aliyoyatoa wakili wake ni ya kweli
 
ningeshangaa sanaa km hii tff ya karia ingepita salama na hy kwa jinsi ninavyomfahamu kwy fruku ya pesa na km sasa hv atavuka kikwazo hiki basi ujue iko siku jahazi ka
hansi karia litazama.km sio kujikuta karia ny yanamkuta ya malinzi na wenzake ninheri karia akamtema mapema hy jamaa kwy pesa hafai....huu ni uzao wa football fitina ya ndolanga hawawezi kuacha mambo yao et pesa ya mpira hainaga mwenyewe
 
Jamaa ni mpambanaji sana wa kutafuta vyeo na pesa, huwa anapambana sana.
 
Makamu wa Rais wa TFF afungiwa maisha kujihusisha na kandanda na yadaiwa SIASA inahusika. Source Clouds Tv!
 
Mtafungiana hivyohivyo lakini maendeleo ya soka ni ziro kabisa
Mtafungiana hivyohivyo lakini maendeleo ya soka ni ziro kabisa
TFF iliingia kwa fitina na jinsi walivyoingia ndivyo itakavyowawia ya fitina kwao. Hadi leo Taifa stars inazidi kuburuta mkia wakati waliingia na mbwembwe kibao ...the means justifies the end
 
huyu wambura wa ajabu sana. unaomba mkopo then unajisainia mwenyewe.
 
Utasikia anaenda mahakamani huyu jamaa...hivi hanaga kazi nyingine zaidi ya kutaka TFF tu?
Simtetei Wambura, lkn kama ni kweli alinyimwa fursa ya kujitetea kwa njia ambazo tff ilizipendekeza ikiwemo ya kutuma mwakilishi, basi tusubiri mwisho wa siku itadhihirika endapo ni kweli au fitina.
Na kwa msingi huu hata akienda mahakamani ni kama kumsukuma MLEVI.
 
Wakuu hivi mambo ya soka hua yanapelekwa mahakamani?
 
Chukua like zangu 1000, tatizo la Wambura kalamba asali yaani hawezi kuacha Hana mwisho mwema na huu uongozi anaonung'ang'ania hadi apigwe mvua segerea ndio akitoka ataacha, haoni pa kuiba zaidi ya TFF
 
Kwann wakili ambae n mwakilish hakupewa nafasi ya kujieleza?
Huyu Wakili ana akili sana yupo kikazi zaidi kama kaona mteja wake kakosa na kosa lenyewe haliepukiki kwa Nini asimteme kiaina kuliko kushusha hadhi yake? Siamin Kama kweli alishindwa kabisa kuwashawishi kamati kumpa nafasi ya uwakilishi. Wambura Ni zigo la chumvi yaani waliompigia kura walaaniwe kabisa.
 
Wakuu hivi mambo ya soka hua yanapelekwa mahakamani?
Hakuna kesi isiyopokelewa mahakamani, hicho kipengere kiliwekwa na wahuni kina Sepp Blatter ili kuwanyamazisha watu watata.

Chombo cha kutowa haki ni mahakama peke yake, hiyo kanuni ya Fifa ni kinyume cha katiba ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…