othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Akienda mahakamani anashinda asubuhi tu kama maelezo aliyoyatoa wakili wake ni ya kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mpambanaji sana wa kutafuta vyeo na pesa, huwa anapambana sana.Kama hii habari ni ya kweli HONGERENI SANA KAMATI YA MAADILI YA TFF kwa 'kuumeza mfupa huu uliowashinda wengi'
Katika makosa makubwa ambayo wadau wa mpira wamefanya nchi hii ni kumrudisha huyu jamaa kwenye medani ya michezo. Huyu jamaa hafai, ni bomu linalotembea na linaoweza kulipuka muda wowote. Kwa wanamfahamu huyu jamaa tangu alipokuwa Katibu Mkuu enzi zile za FAT ya akina Ndolanga, watakuwa wananielewa namaanisha nini.
Mtafungiana hivyohivyo lakini maendeleo ya soka ni ziro kabisa
TFF iliingia kwa fitina na jinsi walivyoingia ndivyo itakavyowawia ya fitina kwao. Hadi leo Taifa stars inazidi kuburuta mkia wakati waliingia na mbwembwe kibao ...the means justifies the endMtafungiana hivyohivyo lakini maendeleo ya soka ni ziro kabisa
Kabila moja na Wasira.Wambura anatia aibu sana ! hivi kabila gani huyu jamani ? Mtu unajijua una gundu lakini bado huachi wizi !
Ndio huyu huyu.kuna wambura aliwahi kuwa FAT wanahusiana vipi na huyu?
Simtetei Wambura, lkn kama ni kweli alinyimwa fursa ya kujitetea kwa njia ambazo tff ilizipendekeza ikiwemo ya kutuma mwakilishi, basi tusubiri mwisho wa siku itadhihirika endapo ni kweli au fitina.Utasikia anaenda mahakamani huyu jamaa...hivi hanaga kazi nyingine zaidi ya kutaka TFF tu?
Muhina seif omar kaduguda simba wa yuda
Mzee wa vyombo anatandika maji balaaa.
Kumbuka saga za Wambura zimeanza tangu enzi za FAT ya akina Ndolanga hivyo wengi wanachangia huku wakizingatia historia.wewe ni mtu mzima acha kushabikia uzushi kwa kuleta usimba na Uyanga hakuna kesi hapo sema tatizo nikumaliza mtandao wa malinzi kwenye soka basi
Malinzi ni mwizi acha apambane na hali yake.Awa kina wambura na karia ndio waliomfanyia fitina Jamali Malinzi mpaka wakamuweka sero.
Chukua like zangu 1000, tatizo la Wambura kalamba asali yaani hawezi kuacha Hana mwisho mwema na huu uongozi anaonung'ang'ania hadi apigwe mvua segerea ndio akitoka ataacha, haoni pa kuiba zaidi ya TFFKama hii habari ni ya kweli HONGERENI SANA KAMATI YA MAADILI YA TFF kwa 'kuumeza mfupa huu uliowashinda wengi'
Katika makosa makubwa ambayo wadau wa mpira wamefanya nchi hii ni kumrudisha huyu jamaa kwenye medani ya michezo. Huyu jamaa hafai, ni bomu linalotembea na linaoweza kulipuka muda wowote. Kwa wanamfahamu huyu jamaa tangu alipokuwa Katibu Mkuu enzi zile za FAT ya akina Ndolanga, watakuwa wananielewa namaanisha nini.
Huyu Wakili ana akili sana yupo kikazi zaidi kama kaona mteja wake kakosa na kosa lenyewe haliepukiki kwa Nini asimteme kiaina kuliko kushusha hadhi yake? Siamin Kama kweli alishindwa kabisa kuwashawishi kamati kumpa nafasi ya uwakilishi. Wambura Ni zigo la chumvi yaani waliompigia kura walaaniwe kabisa.Kwann wakili ambae n mwakilish hakupewa nafasi ya kujieleza?
Na Mwakalebela pia (utawasikia kipindi cha uchaguzi mdogo wa kumpata makamuKADUGUDA yuko wapi?
Hakuna kesi isiyopokelewa mahakamani, hicho kipengere kiliwekwa na wahuni kina Sepp Blatter ili kuwanyamazisha watu watata.Wakuu hivi mambo ya soka hua yanapelekwa mahakamani?