Kamati ya Maadili TFF yamfungia Michael Wambura kujihusisha na soka maisha

Huyu mbona mwizi wa siku nyingi tuu, amewakuta wajanja wenzake
 
Ila kwa nilivomsikiliza Jana kamati imetumia ubabe sana kumhukumu wambura

Tff watumie sheria
 
Hivi ukifungiwa maisha na tff usishiriki masuala yoyote ya soka ni mambo yepi hasa inatakiwa usifanye? Na je ikitokea bado huyo mtu akaendelea kufanya mambo fulani ya michezo ni hatua zipi zitachukuliwa na tff dhidi ya mtu huyo? Huyo mtu mfano anaweza akagombea ubunge au akateuliwa na rais kuwa mbunge na kisha rais akamteua kuwa waziri wa michezo, vipi hapo sheria za tff zinasemaje? Na mwisho hizi adhabu za kumfungia mtu asijihusishe na soka maisha haikidhani na katiba mama ya nchi ya mtu kuwa huru ndani ya nchi yake na kwa kuwa chombo pekee cha kutoa hukumu ni mahakama? Msaada kwa wataalam wa haya.
 
Mbona jibu tayari unalo? Juzi kuna tajili kamfuata refa uwanjani na bastola na hajafungiwa maisha.

Hizo ni figisu tu za majizi yamezikana pesa za mgao wa wizi.
 
Huyu jamaa akalime tu maana system yampira haimtak kabsa yaan wamefukua makabur yazamaaan
 
Hakuna kesi isiyopokelewa mahakamani, hicho kipengere kiliwekwa na wahuni kina Sepp Blatter ili kuwanyamazisha watu watata.

Chombo cha kutowa haki ni mahakama peke yake, hiyo kanuni ya Fifa ni kinyume cha katiba ya nchi.
Kwenye mpira kuna mahakama yake na sheria zake na msimamizi mkuu ni Fifa .Hicho kipengele kitaendelea kufanya kazi ,ni haramu serikali kuingilia masuala ya soka

Malinzi kilichomuweka jela ni kuingia mikataba na kula pesa za wadhamini kama serengeti ,NMB

Kwa hii ishu ya Wambura mahakama haihusiki kabisa ndio maana kuna kamati ya maadili ,kamati ya nini huko TFF usiporidhika unakata rufaa mfano Ndumbaro alifungiwa kujihusisha na mpira na Malinzi ila Karia alivyoshinda akamfungulia pamoja na wafungwa wengine wa kimpira ,kesi za kupelekwa mahakamani ni ya kutumia pesa hovyo za umma ila kesi zingine zote TFF ndio waamuzi kupitia kamati zao
 
nazani saizi umewaelimisha vema wasilete saund zao za figisu kweny mambo Sirius
 
Wambura hajafungiwa,kanuni za natural justice zimekiukwa,hawa akina Karia ni wahuni tuu,unamshtukiza vipi mtuhumiwa,hata wakili wake hakupewa nafasi ya kumtetea,Kesi ya De Souza dhid ya halmashauri ya Tanga ilikuwa hivi hivi lakini mwisho wa siku halmashauri ilishindwa kesi.Kwanini TFF ifanye mambo kwa kukurupuka?
 
Ha ha ha.. Vita na fitina zinaendelea TFF.. Mnaodhani Wambura amekutwa na hatia kihalali kabisa na "wasafi" wenye nia njema na kuendeleza soka la bongo, mmebugi step sana.. Hapa kinachoonekana ni mwendelezo wa kambi za Karia na Malinzi na isitoshe, watu wana mashaka na madaraka yao na zaidi wanafikiria urais baada ya miaka minne ya Karia kwani Wambura alishaanza kuonyesha nia ya kuwa mgombea wa urais wa TFF, uchaguzi ujao.. Hakuna hata afadhali hapo, sio Wambura wala Karia.. TFF itaendelea kufanywa shamba la bibi, kwa kuwa kuna maslahi mapana hapo..
Mmoja wa washtaki wa Wambura ni Athman Nyamlani.Tff ya sasa ni mbovu,haijawahi kutokea,tatizo kuna akina Bakayoko nao panaingilika,ipo siku watamkumbuka Jamal Malinzi
 
Mbona jibu tayari unalo? Juzi kuna tajili kamfuata refa uwanjani na bastola na hajafungiwa maisha.

Hizo ni figisu tu za majizi yamezikana pesa za mgao wa wizi.
Hizi ni adhabu za kijuha,unamfungia je mtu kujihusisha na soka maisha,wee Nani?
 
Kwenye mpira kuna mahakama yake na sheria zake na msimamizi mkuu ni Fifa .Hicho kipengele kitaendelea kufanya kazi ,ni haramu serikali kuingilia masuala ya soka

Malinzi kilichomuweka jela ni kuingia mikataba na kula pesa za wadhamini kama serengeti ,NMB

Kwa hii ishu ya Wambura mahakama haihusiki kabisa ndio maana kuna kamati ya maadili ,kamati ya nini huko TFF usiporidhika unakata rufaa mfano Ndumbaro alifungiwa kujihusisha na mpira na Malinzi ila Karia alivyoshinda akamfungulia pamoja na wafungwa wengine wa kimpira ,kesi za kupelekwa mahakamani ni ya kutumia pesa hovyo za umma ila kesi zingine zote TFF ndio waamuzi kupitia kamati zao
Jinai zote zinafikishwa mahakamani
 
Hatua Za kumfungia Na kupeleka suala lake Ktk vyombo vya ulinzi Na usalama ndio zilizotakiwa kuchukuliwa hapo awali
 
Back
Top Bottom