Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unamtetea mmeoIla kwa nilivomsikiliza Jana kamati imetumia ubabe sana kumhukumu wambura
Tff watumie sheria
cc. ModsNaona unamtetea mmeo
Mkuu sorry kwani wewe jinsia gani?cc. Mods
Mnaona matusi ayo ninayotukanwa
Mbona jibu tayari unalo? Juzi kuna tajili kamfuata refa uwanjani na bastola na hajafungiwa maisha.Hivi ukifungiwa maisha na tff usishiriki masuala yoyote ya soka ni mambo yepi hasa inatakiwa usifanye? Na je ikitokea bado huyo mtu akaendelea kufanya mambo fulani ya michezo ni hatua zipi zitachukuliwa na tff dhidi ya mtu huyo? Huyo mtu mfano anaweza akagombea ubunge au akateuliwa na rais kuwa mbunge na kisha rais akamteua kuwa waziri wa michezo, vipi hapo sheria za tff zinasemaje? Na mwisho hizi adhabu za kumfungia mtu asijihusishe na soka maisha haikidhani na katiba mama ya nchi ya mtu kuwa huru ndani ya nchi yake na kwa kuwa chombo pekee cha kutoa hukumu ni mahakama? Msaada kwa wataalam wa haya.
Kwenye mpira kuna mahakama yake na sheria zake na msimamizi mkuu ni Fifa .Hicho kipengele kitaendelea kufanya kazi ,ni haramu serikali kuingilia masuala ya sokaHakuna kesi isiyopokelewa mahakamani, hicho kipengere kiliwekwa na wahuni kina Sepp Blatter ili kuwanyamazisha watu watata.
Chombo cha kutowa haki ni mahakama peke yake, hiyo kanuni ya Fifa ni kinyume cha katiba ya nchi.
nazani saizi umewaelimisha vema wasilete saund zao za figisu kweny mambo SiriusKwenye mpira kuna mahakama yake na sheria zake na msimamizi mkuu ni Fifa .Hicho kipengele kitaendelea kufanya kazi ,ni haramu serikali kuingilia masuala ya soka
Malinzi kilichomuweka jela ni kuingia mikataba na kula pesa za wadhamini kama serengeti ,NMB
Kwa hii ishu ya Wambura mahakama haihusiki kabisa ndio maana kuna kamati ya maadili ,kamati ya nini huko TFF usiporidhika unakata rufaa mfano Ndumbaro alifungiwa kujihusisha na mpira na Malinzi ila Karia alivyoshinda akamfungulia pamoja na wafungwa wengine wa kimpira ,kesi za kupelekwa mahakamani ni ya kutumia pesa hovyo za umma ila kesi zingine zote TFF ndio waamuzi kupitia kamati zao
Mmoja wa washtaki wa Wambura ni Athman Nyamlani.Tff ya sasa ni mbovu,haijawahi kutokea,tatizo kuna akina Bakayoko nao panaingilika,ipo siku watamkumbuka Jamal MalinziHa ha ha.. Vita na fitina zinaendelea TFF.. Mnaodhani Wambura amekutwa na hatia kihalali kabisa na "wasafi" wenye nia njema na kuendeleza soka la bongo, mmebugi step sana.. Hapa kinachoonekana ni mwendelezo wa kambi za Karia na Malinzi na isitoshe, watu wana mashaka na madaraka yao na zaidi wanafikiria urais baada ya miaka minne ya Karia kwani Wambura alishaanza kuonyesha nia ya kuwa mgombea wa urais wa TFF, uchaguzi ujao.. Hakuna hata afadhali hapo, sio Wambura wala Karia.. TFF itaendelea kufanywa shamba la bibi, kwa kuwa kuna maslahi mapana hapo..
Hizi ni adhabu za kijuha,unamfungia je mtu kujihusisha na soka maisha,wee Nani?Mbona jibu tayari unalo? Juzi kuna tajili kamfuata refa uwanjani na bastola na hajafungiwa maisha.
Hizo ni figisu tu za majizi yamezikana pesa za mgao wa wizi.
Jinai zote zinafikishwa mahakamaniKwenye mpira kuna mahakama yake na sheria zake na msimamizi mkuu ni Fifa .Hicho kipengele kitaendelea kufanya kazi ,ni haramu serikali kuingilia masuala ya soka
Malinzi kilichomuweka jela ni kuingia mikataba na kula pesa za wadhamini kama serengeti ,NMB
Kwa hii ishu ya Wambura mahakama haihusiki kabisa ndio maana kuna kamati ya maadili ,kamati ya nini huko TFF usiporidhika unakata rufaa mfano Ndumbaro alifungiwa kujihusisha na mpira na Malinzi ila Karia alivyoshinda akamfungulia pamoja na wafungwa wengine wa kimpira ,kesi za kupelekwa mahakamani ni ya kutumia pesa hovyo za umma ila kesi zingine zote TFF ndio waamuzi kupitia kamati zao
Duh....Simba wa Yuda[emoji12]KADUGUDA yuko wapi?