huyu albino mil 9 atatoa wapi
Kwahiyo wakibisha itabadilisha kosa? Ukimuita dadako Malaya akibisha utakuwa huna kosa LA kumtukana?TFF wabishe kwa hoja aliyoyasema co kufukuzana tuu
Atalipiwa na Simba kwa sab kafanya kosa akiwa kaziniTFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF
Atalipiwa na simba kwa sab alikuwa anaitetea Simba sio familia yakehuyu albino mil 9 atatoa wapi
Malinzi hayumo kwenye kamati ya maadiliHili li malinzi ili lina laana sijui ya nani mhaya gani punguani ivi
Rushwa ni kitendo cha siri sana sio rahisi kukibaini.Wangekuwa wanatoa adhabu kama hizo kwa vitendo vya rushwa kwenye huu mchezo ningewapenda sana TFF. lakini maovu ya rushwa ambayo yanautafuna mchezo wa soka wanayafumbia macho wanakurupuka na kauli tata za wasemaji wa vilabu!!!
Unajuaje kama kasema ukweli? Mbona ameshindwa kuthibitishwa?Kuhusu swala la Manara huu ni upuuzi maana FFF wakiambiwa ukweli wanatoa adhabu za kipuuzi kabisa zisizo endana na kosa kama kumkomoa mtu, kwa utaratibu wa kichovu kama huu hatuwezi kufika mbali kisoka na kwa mfumo ilionao FFF kwa sasa sins uhakika kama watawatunza wale vijana wetu ili waendelee kucheza soka zuri kama wanavyofanya sasa.
Ukiteuliwa kwenye kamati ya Maadili utajuaHivi hii tifuatifua inaongozwa na MAZOMBI au watu? Faini milioni 9 wamezikokotoaje? TFF is led by a bunch of twits!
Rufaa iko waziHivi si kuna nafasi ya rufaa! Au ndio final
Rushwa kwenye Vpl iko njenje, bahati mbaya hatujapata viongozi wanaokerwa na udanganyifu kwenye soka letuRushwa ni kitendo cha siri sana sio rahisi kukibaini.
Mbona kuna matukio mengine hushughulikiwa hukumbuki aliyefungiwa maisha?Rushwa kwenye Vpl iko njenje, bahati mbaya hatujapata viongozi wanaokerwa na udanganyifu kwenye soka letu
Hoja kubwa ni Kutakata rufaa nje ya muda. Sawa na Rufaa ya Polisi Dar dhibi ya Simba kumchezesha Lufunga akiwa na Red card FA. Rufaa ya Polisi ilitupiliwa mbali kwa kuwa iliwasilishwa nje ya muda, masaa 72.TFF wabishe kwa hoja aliyoyasema co kufukuzana tuu
Maandamano FC watamlipia. Sabb kosa alilitenda akiwajibika (akiwa kazini) kwa boss wake Simba.TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF
We ukijiona mbabe ujue kuna wababe zaidi yakoWadau hatupingi adhabu Kwa wachezaji Na viongozi wa soka pale wanapokiuka.Tunachopinga adhabu au faini ni kukomoa au kurekebisha?
Uzito wa makosa ni tofauti, so na adhabu lazma zitofautianeHaji manara kifungo miezi 12 faini milioni 9, Muro kifungo miezi 12 Faini milioni 3
HIYO FAINI NA KIFUNGO AMEPEWA HAJI MANARA AUUUUUUUUUUU
Mfano wewe ungejiweka kwenye nafasi ya TFF ungempa adhabu gan?TFF ni Jipu lililoiva kufungia watu kujihusisha na mpira ndo adhabu pekee qaliyonayo. Unampa fine ya milion 9 atapata wapi wakati mmemfungia ajira yake kweli hakuna taasisi kilaza kama TFF
Waajiri watu wenye weledi, sio makanjanja wa kuropoka ovyo.Wangempa faini tu ya kishikaji.
Kuwafungia wasemaji wa Yanga na Simba kunapelekea kupunguza hamasa ya ushabiki wa mpira.