Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

IT specialist Tanzania hii? Hao wanachojua ni kupiga windows na ku install anti-virus tu. Halfu sasa kwenye dunia ya sasa ambayo watu wanataka uhuru wa habari na maoni kuna groups za Hacktivists kama Anonymous hao wanamdukua yoyote dunia hii kama akiingia kwenye anga zao.

Serikali nyingi na mashirika makubwa duniani zimeshalizwa na Anonymous.
 
Kupewa ONYO haufai. Maneno kama yale hayakutakiwa kutamkwa mbele ya Mhe. Rais. Angefunga safari mpaka kwa Mhe. Rais na kumueleza wakiwa wawili. Kitendo alichofanya adhabu yake siyo ONYO bali kuvuliwa cheo alichonancho.
 

Inasemekana …… dah

Ukisikia hilo neno , run the other way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…