Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie anaeamua tu ,manara atawaumbua na kuwavua nguo ,
 
Rubbish
 
Nakubaliana na wewe tangu awali.
 
Naiman ukirudia kusoma ulichoandika utajilaumu sana kujikosea heshima nafsi yako

Naamin wewe ni great thinker na ulichoandika hakiendan na wewe.
 
Tulieni basi wasomewe tuhuma zao kwanza
 
Rudi Shule kajifunze kuandika vizuri sio unateleza tu kama Bata,uandishi gani huo hata mwanangu wa chekechea anakushinda!!!
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyu anayeitwa "KARIA" lazima aachie ngazi mwenyewe pale TFF maana Aibu na fedheha atakayoipata is Wonderful, maana anazidi kuvuliwa nguo na Manara dadeq😂😂..

Manara shikilia hapohapo hakuna wa kukufungia pale TFF, kama Yanga ni kubwa kuliko hata CCM. Sasa kuna kitaasisi chochote kitakuja kuringa mbele ya Yanga?
 
Uzuri alishawaambia anaujua uvungu WA fitna kwenye vilabu na hapo pangoni TFF🤔
 
Kwakua wanajua huko yanga kumejaa wababaishaji walijua kabisa kuwa watafanya hivyo.
 
Unahitaji miezi mingapi kukamata mfungwa aliyetoroka jela, you damn slow learner
 
Saa 1 mbona wamechelewa sana? Ilitakiwa akishuka jukwaani akutane na barua kwenye ngazi pale.
 
Nyie endeleeni tu kuchukua makapi toka Simba. Ukicheza na mbwa utaingia naye Msikitini, zeruzeru atawagharimu sana mkiamini mnaikomoa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…