Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

shangazi zako kule kijijini atakunywa uharo basi. kwa taarifa yako, hata wafunge misaada binafsi mimi nitaendelea kula bata, kwasababu Mungu alishanibariki. ukiona naongea hapa ujue nawaongelea masikini ndugu zako swekeni huko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]swekeni [emoji119]

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
'
20210702_171537.jpg
 
kuna kitu najiuliza hivi kwa nn Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya n nchi zinazotesa Sana Wapinzan lakin hawachukuliwi hatua yoyote lakin Tanzania hata haijafikia robo ya hizo nchi lakin inaandamwa Sana
 
Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.

Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake.

Zaidi Jisomee

=========

WASHINGTON - Today, Rep. Karen Bass (D-CA), Chair of the House Foreign Affairs Subcommittee on Africa, issued the following statement:

“I am concerned to hear about the arrest of Tanzanian opposition leader, Freeman Mbowe and 11 other party officials and staff of Part of Democracy and Progress.

The Tanzanian authorities must end the escalating crackdown on opposition parties and leaders, and the arbitrary arrests and detentions show the disregard for the rule of law, human rights, and the rights to freedom of expression and association. Those arrested have not been charged with any criminal offense.

I encourage the safe return of Mr. Mbowe – who at present is still unaccounted for. The unexpected death of Tanzania’s president, John Magufuli, was a true shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”

Chanzo Chake> HAPA
Hao ndio wanaowapa hela. Ukiwakamata na kuwatupa lupango vibaraka wao utaona wanajitokeza na kutoa mawazo kama yale waliyowatuma vibaraka wao. Utasikia.. '..tulifikiri mama samia atakua tofauti na mtangulizi wake kutokuwapoteza au kuwatia wapinzani jela.. '
 
kuna kitu najiuliza hivi kwa nn Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya n nchi zinazotesa Sana Wapinzan lakin hawachukuliwi hatua yoyote lakin Tanzania hata haijafikia robo ya hizo nchi lakin inaandamwa Sana
amini usiamini, polisi wa uganda wanapiga raia utafikiri wanapiga nguruwe, rwanda ndio wanapotezwa everyday si wahutu wala watusi. Tanzania maza alikuja kwa upole na ustaarabu, mkamshika sharubu. natamani maza atapike hasira zote ili siku nyingine muache kumchukulia poa. chadema huwa hamjifunzi na hamuaminiki.
 
amini usiamini, polisi wa uganda wanapiga raia utafikiri wanapiga nguruwe, rwanda ndio wanapotezwa everyday si wahutu wala watusi. Tanzania maza alikuja kwa upole na ustaarabu, mkamshika sharubu. natamani maza atapike hasira zote ili siku nyingine muache kumchukulia poa. chadema huwa hamjifunzi na hamuaminiki.
Ndio mkuu Chadema n Kama demu hajui anataka nn wananchi tuna matatizo mengi lakin Wao wanataka tu madaraka
 
Mbona ccm wanavumiliwa kenge nyie, wameweka tozo za kishetani kwenye miamala ya simu hakuna aliyewabuguza.

Mnafikiri nchi ni ya ccm peke yao?
Mimi sio ccm,ila panapo ukweli lazima tuseme ukweli chadema wana violence sana.mfano wakati wa kampeni za uchaguzi 2020 tundu lissu kuanzia mkutano unaanza mpaka unaisha ni vijambo tu hamna hata sera.Chadema wenyewe akaingia madarakani hamna jipya watakalo kuja nalo.Huyu mbowe mwenyewe ana demokrasia gani uenyekiti wenyewe hataki kuuachia urais akiupata si ndio balaa.Pambania maisha yako kuliko kuwapambania kina mbowe wacha kina mbowe wazikane.
 
shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”
Nadhani hawa wajui CCM na Polisi wao
 
Mimi sio ccm,ila panapo ukweli lazima tuseme ukweli chadema wana violence sana.mfano wakati wa kampeni za uchaguzi 2020 tundu lissu kuanzia mkutano unaanza mpaka unaisha ni vijambo tu hamna hata sera.Chadema wenyewe akaingia madarakani hamna jipya watakalo kuja nalo.Huyu mbowe mwenyewe ana demokrasia gani uenyekiti wenyewe hataki kuuachia urais akiupata si ndio balaa.Pambania maisha yako kuliko kuwapambania kina mbowe wacha kina mbowe wazikane.
Ina maana hapa ndiyo umejenga hoja sasa ili GTs wakuelewe...?

Hebu fikiri vizuri, rudi ulikokuwa kisha njoo na hoja inayoeleweka kama mtu aliyekomaa kimawazo na kifikra...

Unajenga hoja kama mwanafunzi wa form one bwana...!!
 
Ila tuseme tu ukweli kuwavumilia chadema kinataka sana moyo.
Binafsi kuna vitu nilikua navipenda na vingine kutovipenda nyakati za magufuli,kikubwa nilichokua sijakipenda ni kukandamiza demokrasia,baada ya kuingia mama Samia nilifurahi alipoanza taratibu kuachia demokrasia huru,ila baada ya muda kidogo kwa aina ya upinzani uliopo nikajiona nilikua wrong kwa magufuli,kwa namna 1 huu upinzani umempa credit kubwa sana magufuli kama alikua sahihi kwa yale aliyokua anayafanya
 
Mama anatakiwa kuwa makini sana, wazungu wanaweza kuja kwake wakicheka lakini in a real sense, hawamtakii mema, wanapambana naye kwa lango wa nyuma na wanataka wahakikishe hashindi uchaguzi 2025, hivyo anatakiwa kuwasikiliza lakini awe na plan B au awaambie wazi kwamba hataki unafiki wao kama wanakuja kwake wanataka kushirikiana waache unafiki na waache kuchafua nchi kwa kupitia MARIA SARUNGI, TUNDU LISU, KIGOGO na wenzake. ukimsikiliza Tundu Lisu hautaamini kama ni Mtanzania, yupo tayari hata wafunge misaada watanzania wale majani lakini yeye apate cheo/serikali. najua hii inatokana na hasira alizo nazo dhidi ya serikali, na anaamini alipigwa risasi hivyo analipiza kisasi. kichwa chake kimechanganyikiwa, na kwa mwanaume wa kawaida ni sahihi kuchanganyikiwa imagine mtu amepigwa risasi akatenguliwa kiuno (manake hapo hata mashine sidhani kama atapiga) hapo lazima uwe na hasira za kufa mtu kama mwanaume.

tunachomuomba, awasamehe watanzania, yeye na zito walipiga sana kampeni tukanyimwa misaada tukaishi kama mashetani kwa miaka 6, tunaomba hilo lisijirudie kwasababu wanaoumia ni wananchi, yeye yupo ulaya anakula kuku na kunywa bia.
Naona Kama hujitambui Kama unakandamiza RAIA walk hupaswikusaidiwa
 
Hawa wamarekani wasituzingue!! Wao mbona waliwakamata kwa maelfu waliokuwa wanaandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wao uliopita? Yetu hayawahusu!
 
Sukuma gang tunawachora tu[emoji6][emoji41]

Adui wa chadema Ni wao wenyewe, mwenyekiti wao hana strategies za kuwin siasa!

JPM aliwapiga marufuku na matamasha yao yasiyoeleweka. Mama yao alipoingia wakampigia vigelegele lakini wakashindwa kumheshimu.
 
Yaani nchi ikae kimya Wakati Kuna gaidi anataka kuleta maafa?
Una uhakika na ulichokiandika? Acha kuwa mpumbavu yaani intelligensia ilivyo kuwa kali enzi za Hayati ilishindwa vipi kung'amua kuwa Mh. Mbowe ni gaidi. Jitahidi japo kutumia japo robo ya ubongo wako kufikiri.
 
Kwa hiyo hao wapinzani wakifanya mambo ya kipuuzi ya uvunjifu wa amani ambao ndio agenda za mabeberu ili nchi yetu ikose utulivu waendelee kutunyonya daima tuwaachie??

Watuachie nchi yetu,tuna uongozi mkamilifu wasituingilie kutuelekeza namna ya kuendesha nchi yetu,waende Somalia wakawaelekeze namna ya kuongoza sio hapa kwetu
Hao viongoz unao waamin ww ndio ambao hawaaminiki.
 
Back
Top Bottom