Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

Mama anatakiwa kuwa makini sana, wazungu wanaweza kuja kwake wakicheka lakini in a real sense, hawamtakii mema, wanapambana naye kwa lango wa nyuma na wanataka wahakikishe hashindi uchaguzi 2025, hivyo anatakiwa kuwasikiliza lakini awe na plan B au awaambie wazi kwamba hataki unafiki wao kama wanakuja kwake wanataka kushirikiana waache unafiki na waache kuchafua nchi kwa kupitia MARIA SARUNGI, TUNDU LISU, KIGOGO na wenzake. ukimsikiliza Tundu Lisu hautaamini kama ni Mtanzania, yupo tayari hata wafunge misaada watanzania wale majani lakini yeye apate cheo/serikali. najua hii inatokana na hasira alizo nazo dhidi ya serikali, na anaamini alipigwa risasi hivyo analipiza kisasi. kichwa chake kimechanganyikiwa, na kwa mwanaume wa kawaida ni sahihi kuchanganyikiwa imagine mtu amepigwa risasi akatenguliwa kiuno (manake hapo hata mashine sidhani kama atapiga) hapo lazima uwe na hasira za kufa mtu kama mwanaume.

tunachomuomba, awasamehe watanzania, yeye na zito walipiga sana kampeni tukanyimwa misaada tukaishi kama mashetani kwa miaka 6, tunaomba hilo lisijirudie kwasababu wanaoumia ni wananchi, yeye yupo ulaya anakula kuku na kunywa bia.
Maelezo yako ni yakuwakataa unaowaita mabeberu alafu umoumo ulia mwanzo mwisho wasije wakasitisha misaada..yani nashisdwa kukuelewa kabisa..hao wanaokunyonya unaliliaje misaada yao??
 
Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.

Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake.

Zaidi Jisomee

=========

WASHINGTON - Today, Rep. Karen Bass (D-CA), Chair of the House Foreign Affairs Subcommittee on Africa, issued the following statement:

“I am concerned to hear about the arrest of Tanzanian opposition leader, Freeman Mbowe and 11 other party officials and staff of Part of Democracy and Progress.

The Tanzanian authorities must end the escalating crackdown on opposition parties and leaders, and the arbitrary arrests and detentions show the disregard for the rule of law, human rights, and the rights to freedom of expression and association. Those arrested have not been charged with any criminal offense.

I encourage the safe return of Mr. Mbowe – who at present is still unaccounted for. The unexpected death of Tanzania’s president, John Magufuli, was a true shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”

Chanzo Chake> HAPA
Mama huu mchezo hauwezi ..... angejishughulisha na kupiga kazi tu ili akubalike!!
 
Hao viongoz unao waamin ww ndio ambao hawaaminiki.
Inawezekana wasitimize matakwa ya nchi kwa 100%,ila kwa kiasi kikubwa wanajitahidi.

Wapinzani wanatakiwa kulielewa hilo na kuwaheshimu kama viongozi wa nchi,dharau zao hadi zinapelekea hata kiongozi aliyekuwa hana mpango nao kutenda vile wasivyopenda kutendewa,wanapenda kumpanda mtu kichwani na ndio maana JPM mapema tu alishawajua akaamua kudeal nao vilivyo,sasa naona wanamfuata fuata huyu mama,wakichukuliwa hatua kali wanalialia mitandaoni
 
Kwa hiyo hao wapinzani wakifanya mambo ya kipuuzi ya uvunjifu wa amani ambao ndio agenda za mabeberu ili nchi yetu ikose utulivu waendelee kutunyonya daima tuwaachie??

Watuachie nchi yetu,tuna uongozi mkamilifu wasituingilie kutuelekeza namna ya kuendesha nchi yetu,waende Somalia wakawaelekeze namna ya kuongoza sio hapa kwetu
Sidhani nchi zilizoendelea ambazo zinaweza kuifuta tz kwenye ramani kwa masaa tu naweza kuichqmbua kwa upeo huu ulionao. Hawaropoki hovyo kama ilivyo tz. Baada ya chapisho la aljazeera na hili la unaowaita mabeberu leo umeona polisi wenu wamekuja kujitetea kwa hoja za kipumbavu kabisa eti mbowe anatuhumiwa kwa ugaidi wakitaka swala la kongamano na katiba mpya lisichukuliwe kama ndiyo sababu. Ujinga huu unaweza kueleweka na baadhi ya wazalendo bora liende waliopo tz hizi nchi zina intelijensia ya kutosha ndani ya nchi yenu kama hufahamu. Wanaifahamu hadi ikulu yenu usidhani mlivyojifanya vichwa ngumu kwenye swala la corona kupima hadi mbuzi na mapapai mkatangaza hadharani jinsi mlivyo mbumbumbu ndiyo watu wengine wanachukulia mambo hivyo. Wanafahamu fika nia yenu na danganya toto yenu
 
Naona unajaza server tu hapa,mineno miiiingi hakuna lenye maana hata moja,punguzeni mihemko nyie wapinzani,hizo siasa zenu za kuleta fujo zipelekeni kwa mabwana wenu hao mabeberu sio hapa Tz
 
Huu ni uthibitisho wa kushindwa ab initial kwa juhudi za mama za kufungua nchi,kujenga umoja wa kitaifa, ushirikiano wa kimataifa ile kuunda taifa lililo staarabika
 
Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.

Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake.

Zaidi Jisomee

=========

WASHINGTON - Today, Rep. Karen Bass (D-CA), Chair of the House Foreign Affairs Subcommittee on Africa, issued the following statement:

“I am concerned to hear about the arrest of Tanzanian opposition leader, Freeman Mbowe and 11 other party officials and staff of Part of Democracy and Progress.

The Tanzanian authorities must end the escalating crackdown on opposition parties and leaders, and the arbitrary arrests and detentions show the disregard for the rule of law, human rights, and the rights to freedom of expression and association. Those arrested have not been charged with any criminal offense.

I encourage the safe return of Mr. Mbowe – who at present is still unaccounted for. The unexpected death of Tanzania’s president, John Magufuli, was a true shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”

Chanzo Chake> HAPA

ikitokea he did it kweli ajiandae kuhama nchi hakuna atakaemsamehe
 
CCM hawana muda wa kuwasikiliza mabeberu.
 
Nawaza Sana miaka mitano ya Jpm vyuma vilikaza, je Chini ya mama tutatoka kweli?
Tunavyoenda hali itakuwa ngumu zaidi ya kipindi cha marehemu. Marehemu walikuja kshtukia baadaye. Huyu amewekewa mashaka toka mwanzoni, ameshindwa kuthibisha kuwa ana utofauti wowote.
 
Mimi sio ccm,ila panapo ukweli lazima tuseme ukweli chadema wana violence sana.mfano wakati wa kampeni za uchaguzi 2020 tundu lissu kuanzia mkutano unaanza mpaka unaisha ni vijambo tu hamna hata sera.Chadema wenyewe akaingia madarakani hamna jipya watakalo kuja nalo.Huyu mbowe mwenyewe ana demokrasia gani uenyekiti wenyewe hataki kuuachia urais akiupata si ndio balaa.Pambania maisha yako kuliko kuwapambania kina mbowe wacha kina mbowe wazikane.
Hao wenye sera ndio wametawala nchi hii kwa miaka 60 sasa na ndio asilimia 70 ya watanzania wanaishi chini ya dola moja kwa siku, sasa sijui ndio maendeleo hayo.....
 
Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.

Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake.

Zaidi Jisomee

=========

WASHINGTON - Today, Rep. Karen Bass (D-CA), Chair of the House Foreign Affairs Subcommittee on Africa, issued the following statement:

“I am concerned to hear about the arrest of Tanzanian opposition leader, Freeman Mbowe and 11 other party officials and staff of Part of Democracy and Progress.

The Tanzanian authorities must end the escalating crackdown on opposition parties and leaders, and the arbitrary arrests and detentions show the disregard for the rule of law, human rights, and the rights to freedom of expression and association. Those arrested have not been charged with any criminal offense.

I encourage the safe return of Mr. Mbowe – who at present is still unaccounted for. The unexpected death of Tanzania’s president, John Magufuli, was a true shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”

Chanzo Chake> HAPA
The honeymoon holiday is over. The international community is in a positive move. Bravo USA.
 
Hao kamatai ya mambo ya nje wanatoaje matamko kila siku bila kujiuliza ni kwanini mbowe na chama chake tu kwa kila kiongozi anaeingia?
Wao wanaona raha kikinuka watangaze tanzania hakuna usalama kisha wawazuie raia wao kuja tanzania na ndio furaha yao?
Na mbona hawajawahi kuhoji taarifa zinazotolewa na watu kuwa mbowe anawauwa wapinzani wake kwenye uenyekiti wa chama?
 
Mama anatakiwa kuwa makini sana, wazungu wanaweza kuja kwake wakicheka lakini in a real sense, hawamtakii mema, wanapambana naye kwa lango wa nyuma na wanataka wahakikishe hashindi uchaguzi 2025, hivyo anatakiwa kuwasikiliza lakini awe na plan B au awaambie wazi kwamba hataki unafiki wao kama wanakuja kwake wanataka kushirikiana waache unafiki na waache kuchafua nchi kwa kupitia MARIA SARUNGI, TUNDU LISU, KIGOGO na wenzake. ukimsikiliza Tundu Lisu hautaamini kama ni Mtanzania, yupo tayari hata wafunge misaada watanzania wale majani lakini yeye apate cheo/serikali. najua hii inatokana na hasira alizo nazo dhidi ya serikali, na anaamini alipigwa risasi hivyo analipiza kisasi. kichwa chake kimechanganyikiwa, na kwa mwanaume wa kawaida ni sahihi kuchanganyikiwa imagine mtu amepigwa risasi akatenguliwa kiuno (manake hapo hata mashine sidhani kama atapiga) hapo lazima uwe na hasira za kufa mtu kama mwanaume.

tunachomuomba, awasamehe watanzania, yeye na zito walipiga sana kampeni tukanyimwa misaada tukaishi kama mashetani kwa miaka 6, tunaomba hilo lisijirudie kwasababu wanaoumia ni wananchi, yeye yupo ulaya anakula kuku na kunywa bia.
Unaandika maneno mengi lakin utopolo mtupu!!! Idiot
 
Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.

Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake.

Zaidi Jisomee

=========

WASHINGTON - Today, Rep. Karen Bass (D-CA), Chair of the House Foreign Affairs Subcommittee on Africa, issued the following statement:

“I am concerned to hear about the arrest of Tanzanian opposition leader, Freeman Mbowe and 11 other party officials and staff of Part of Democracy and Progress.

The Tanzanian authorities must end the escalating crackdown on opposition parties and leaders, and the arbitrary arrests and detentions show the disregard for the rule of law, human rights, and the rights to freedom of expression and association. Those arrested have not been charged with any criminal offense.

I encourage the safe return of Mr. Mbowe – who at present is still unaccounted for. The unexpected death of Tanzania’s president, John Magufuli, was a true shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”

Chanzo Chake> HAPA
Mungu wabariki Wazungu
 
shangazi zako kule kijijini atakunywa uharo basi. kwa taarifa yako, hata wafunge misaada binafsi mimi nitaendelea kula bata, kwasababu Mungu alishanibariki. ukiona naongea hapa ujue nawaongelea masikini ndugu zako swekeni huko.
Atakushusha tu siku so nyingi.
 
Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.

Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake.

Zaidi Jisomee

=========

WASHINGTON - Today, Rep. Karen Bass (D-CA), Chair of the House Foreign Affairs Subcommittee on Africa, issued the following statement:

“I am concerned to hear about the arrest of Tanzanian opposition leader, Freeman Mbowe and 11 other party officials and staff of Part of Democracy and Progress.

The Tanzanian authorities must end the escalating crackdown on opposition parties and leaders, and the arbitrary arrests and detentions show the disregard for the rule of law, human rights, and the rights to freedom of expression and association. Those arrested have not been charged with any criminal offense.

I encourage the safe return of Mr. Mbowe – who at present is still unaccounted for. The unexpected death of Tanzania’s president, John Magufuli, was a true shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”

Chanzo Chake> HAPA
KAREEN Bass should first look inwards to check their law enforcer's brutalities , atrocities and humiliations against Afro-Americans, before pointing an accusing finger to Tanzania's authorities, when it tries to handle it internal challenges.

Tanzania as a sovereign country has it own challenges and have own ways of handling them internally, including curtailing elements that are eager to instigate chaos and other unlawful conducts dangerous to the general public's welfare and the country's peace and tranquility.

Let the Court of Law determine the verdict, and life should be let to continue.
 
Atakushusha tu siku so nyingi.
Mungu ni mwema, hawezi kunishusha kwasababu sijadhurumu mtu. na kama ni shetani ndio unategemea anishushe, hawezi kwa Jina la Yesu Kristo, mimi ni mtoto wa Yesu, ni mali ya Yesu. hana mamlaka juu yangu.
 
Maelezo yako ni yakuwakataa unaowaita mabeberu alafu umoumo ulia mwanzo mwisho wasije wakasitisha misaada..yani nashisdwa kukuelewa kabisa..hao wanaokunyonya unaliliaje misaada yao??
huwezi kuwakataa, ila uishi nao kwa akili na umakini. hutakiwi kukubaliana nao kila kitu kwasababu hata wao hawakubaliani na wewe kila kitu. usiwe mtumwa ila weka mezani interests ndio ziongee. usijiuze kama malaya.
 
Back
Top Bottom