Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,722
- 11,336
Hizo speech zao zina effect yeyote?
Umeandamana?😂Wapumbavu ni kama wewe usiyejua haki yako kama raia!
Vurugu zip?Kuna watu wanataka waachwe tu waendelee kufanya vurugu duniani kwà kupitia vimemo kama hivi. Tupa kulee
Vurugu za AlshababiVurugu zip?
Hii kamati za haki za binadamu ya Marekani ianze na haki za wapalestina wanaouwawa kila siku na waisraeli na walishughulikie haraka suala la kuwekwa ndani huko UK Julius Assange kwa kosa la freedom of speech. CHADEMA MSJIDANGANYIKE NA KAULI YA HAWA WAMAREKANIMwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.
Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake.
Zaidi Jisomee
=========
WASHINGTON - Today, Rep. Karen Bass (D-CA), Chair of the House Foreign Affairs Subcommittee on Africa, issued the following statement:
“I am concerned to hear about the arrest of Tanzanian opposition leader, Freeman Mbowe and 11 other party officials and staff of Part of Democracy and Progress.
The Tanzanian authorities must end the escalating crackdown on opposition parties and leaders, and the arbitrary arrests and detentions show the disregard for the rule of law, human rights, and the rights to freedom of expression and association. Those arrested have not been charged with any criminal offense.
I encourage the safe return of Mr. Mbowe – who at present is still unaccounted for. The unexpected death of Tanzania’s president, John Magufuli, was a true shock to us all. But the appointment of his vice-president, Samia Suluhu Hassan, looked to be on a different path for leading Tanzania forward to a more democratic society. Unfortunately, the arrest of Mr. Mbowe and other opposition leaders has minimized any such hope.”
Chanzo Chake> HAPA
Mimi niko Lusumo naelekea BurundiNawaza Sana miaka mitano ya Jpm vyuma vilikaza, je Chini ya mama tutatoka kweli?
Imetolewa na nani hii?
Jipongezeni Sana Ila sura ya nchi mmeichafua Sana.Nawaza Sana miaka mitano ya Jpm vyuma vilikaza, je Chini ya mama tutatoka kweli?
....Aisee mheshimiwa rais suala la tozo unahujumiwa!!!Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11.