Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Tena aibu kweli kweli.
Ila jasiriii[emoji16][emoji16][emoji16].
Anajitahidi kuwa kauzu..kuna watu wanafiki Sana wanampongeza lakini kimoyo moyo najua wanamcheka.
 
Usisahau Watanzania siku hizi atubabaishwi na Nchi yoyote,ile Ukifunga na sisi tunafunga! Muulizeni Kenya Kabeberu kadogo tulivyomfanya mpaka nae aka surrender tena kwa kutubembeleza tumfungulie!!
Kwa iyo unafananisha Kenya na Umoja wa Ulaya mnaowapelekea bakuli ila kuomba msaada kila siku????😂😂😂😂

Kweli Elimu ni muhimu sana kwa makada hapo Lumumba
 
Sasa kumbe misaada, hawatubabaishi hao
unaweza kutumia 300b kwa mwezi pesa ya maendeleo?

Tunakusanya Trion 1 avg, tunatumia 70% kwa Support services, mishahara, posho, madawa, elimu na kilimo .. then inabakia 30% ambayo ni 300b - je inatosha??
 
Sisi Taifa huru na tajiri hatubabaishwi kwa kelele za Mabeberu.

Tuliishi kabla hata ya wao kuja Tanzania na Afrika kwa ujumla na tutaishi hata baada kujitenga mbali na Tanzania.
I love my country [emoji1241]
 
Sisi Taifa huru na tajiri hatubabaishwi kwa kelele za Mabeberu.

Tuliishi kabla hata ya wao kuja Tanzania na Afrika kwa ujumla na tutaishi hata baada kujitenga mbali na Tanzania.
I love my country [emoji1241]
Thubutu yako!!! Acheni basi kutembeza mabakuli kwao kuomba msaaada!!
 
Uongozi ni taaaluma. Dunia ya sasa si kama ya babu zetu, wala si kama ilivyokuwa wakati wa Mwalimu hapa juzi tu. Mtu anayejaribu kurudisha mshale wa saa nyuma hatafanikiwa. Kitajulikana tu! Kwamba huwezi kuishi katika dunia ya sasa kwa kufuata sheria zako mwenyewe.

Kuna wale wenye upeo mdogo, hawakuishi popote isipokuwa kutoka kijjini hadi Dar......watakuambia Tanzania yajitegemea na hata wakifanya hivi na vile haitadhurika! Namkumbuka AhmedNijad wa Iran aliyesema kama hiyo!

Inataka ujanja wa kupita kiasi ku deal na siasa za dunia ya sasa. Elimu nzuri, uzoefu, exposure, kuwa na washauri wazuri na kukubali ushauri…. ni muhimu sana. Dunia hii hakuna serikali yeyote inayoongozwa na 'kichwa kimoja' hata zile zilizoendelea na kujitosheleza. Tusidanganyane!
 
Mbona mpaka sasa Nchi inachezewa zaidi kuna ufisadi kila kona dili kuanzia ununuzi wa Ndege mpaka kwenye miradi yote na sasa mmetafuna pesa za corona wakati mlisema Tanzania hakuna corona
Leta ushahidi vinginevyo hizi ni porojo tu kama porojo nyingine
 
Naishauri serikali itume team ya wataalamu wa masuala ya fedha & tehama North Korea & Iran kuangalia huko wanaendeshaje nchi wakati wana mamia kama si maelfu ya vikwazo kutoka kwa vilanja wa Dunia
 
Shida ya afrika hatuna mfumo bora wa kuwapata viongozi bora yeyeto tu hata kichaaa au aliyekosa malezi Bora utotoni anaokotwa tu na kupewa hivyo upelekea mamilioni ya waafrika kuumia sababu ya mtu mmoja tu.
Kama uriziki na mfumo wa Africa nakushauri nenda kaishi Ulaya,huku Africa utauumiza kichwa chako bila sababu,watu weshazowea Maisha yao na wako Happy!!
 
Hakuna kitu hapo, Bunge linakaa karibia kila siku kujadili mambo mbalimbali, na mambo muhimu yote hutangazwa na mainstream media za Muzungu, ...
Ufisadi wa CCM hufanywa kimya kimya na sasa wanaenda kuumbuka juu ya pesa za corona
 
Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Wewe jamaa ulimtisha sana mdogo wangu Ben Saanane,hatimaye akapotea.
Kwa nini usianze kulala nao mbele hao unaosema wanamshauri vibaya rais wako!!??
 

We ngoja misaada ikatwe boss wao atatoa wapi hizo za kuwalipa
 
Hawatakusikikiza. Acha wale jeuri yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…