Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipewa tafiti za kweli toka kitengo kuwa hata nusu ya asilimia 58 alizopata 2015 hazifiki hivyo kama ana Nia ya kukalia kiti afanye mapema, amri ikatolewa Kwa Mahera ushindi usipungue asilimia 80 shauri ya papara wakasahau takwa la kikatiba kuhusu upinzani. Matokeo- Aibu ya mwaka.
Si mlisema corona haipo iweje mkapokea pesa za corona?
Si mlisema corona haipo iweje mkapokea pesa za corona?
Zipo ufipa, nenda wakupatie.Nipe habari za chamwino bwashee
Kwa iyo unafananisha Kenya na Umoja wa Ulaya mnaowapelekea bakuli ila kuomba msaada kila siku????😂😂😂😂Usisahau Watanzania siku hizi atubabaishwi na Nchi yoyote,ile Ukifunga na sisi tunafunga! Muulizeni Kenya Kabeberu kadogo tulivyomfanya mpaka nae aka surrender tena kwa kutubembeleza tumfungulie!!
unaweza kutumia 300b kwa mwezi pesa ya maendeleo?Sasa kumbe misaada, hawatubabaishi hao
Zipo ufipa, nenda wakupatie.
Una ushahidi wowote ?Nikikuambia hela ya Corona ndio tumefanyia uchaguzi how do you digest that?
Thubutu yako!!! Acheni basi kutembeza mabakuli kwao kuomba msaaada!!Sisi Taifa huru na tajiri hatubabaishwi kwa kelele za Mabeberu.
Tuliishi kabla hata ya wao kuja Tanzania na Afrika kwa ujumla na tutaishi hata baada kujitenga mbali na Tanzania.
I love my country [emoji1241]
Leta ushahidi vinginevyo hizi ni porojo tu kama porojo nyingineMbona mpaka sasa Nchi inachezewa zaidi kuna ufisadi kila kona dili kuanzia ununuzi wa Ndege mpaka kwenye miradi yote na sasa mmetafuna pesa za corona wakati mlisema Tanzania hakuna corona
Kama uriziki na mfumo wa Africa nakushauri nenda kaishi Ulaya,huku Africa utauumiza kichwa chako bila sababu,watu weshazowea Maisha yao na wako Happy!!Shida ya afrika hatuna mfumo bora wa kuwapata viongozi bora yeyeto tu hata kichaaa au aliyekosa malezi Bora utotoni anaokotwa tu na kupewa hivyo upelekea mamilioni ya waafrika kuumia sababu ya mtu mmoja tu.
Ufisadi wa CCM hufanywa kimya kimya na sasa wanaenda kuumbuka juu ya pesa za coronaHakuna kitu hapo, Bunge linakaa karibia kila siku kujadili mambo mbalimbali, na mambo muhimu yote hutangazwa na mainstream media za Muzungu, ...
Wewe jamaa ulimtisha sana mdogo wangu Ben Saanane,hatimaye akapotea.Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Mzee,wabunge ni rulling class,they will never pitisha sheria kuharibu maslahi yao..
Imnatakiwa kabisa tutaje kwenye katiba kwamba wabunge wanatakiwa wasizidi kiasi fulani cha maslahi fulani kutoka kwenye GDP ratio yetu kama ilivyo USA
Hapa ni wao kwa utashi wao wanajipitishia maslahi watakavyo hakuna wa kuwazuia maana kazi yao ni kupitisha sheria
Na jinsi ni bunge la chama kimoja,hakuna hata mpinzani mmoja,tegemea vituko zaidi na zaidi
Hawatakusikikiza. Acha wale jeuri yaoUongozi ni taaaluma. Dunia ya sasa si kama ya babu zetu, wala si kama ilivyokuwa wakati wa Mwalimu hapa juzi tu. Mtu anayejaribu kurudisha mshale wa saa nyuma hatafanikiwa. Kitajulikana tu! Kwamba huwezi kuishi katika dunia ya sasa kwa kufuata sheria zako mwenyewe.
Kuna wale wenye upeo mdogo, hawakuishi popote isipokuwa kutoka kijjini hadi Dar......watakuambia Tanzania yajitegemea na hata wakifanya hivi na vile haitadhurika! Namkumbuka AhmedNijad wa Iran aliyesema kama hiyo!
Inataka ujanja wa kupita kiasi ku deal na siasa za dunia ya sasa. Elimu nzuri, uzoefu, exposure, kuwa na washauri wazuri na kukubali ushauri…. ni muhimu sana. Dunia hii hakuna serikali yeyote inayoongozwa na 'kichwa kimoja' hata zile zilizoendelea na kujitosheleza. Tusidanganyane!
Aisee umenena vyemaKama ni kweli basi hali itakuwa si njema hasa kiuchumi.
Hata ungepewa link usingeipata hadi utumie VPN ambayo CCM mmezuiwa.Msingekuwa mnaleta hizo habari hapa tena kwa Kiswahili, mngeweka links za mainstream media, hiyo ni talk shop tu hakuna chochote hapo, ...