Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Wabunge wanatakiwa wapunguziwe maslai nao Kama chanzo cha mapato kwao tunaweza okoa pesa nyingi Sana ubunge ni utumishi iwe ni kazi ya kujitolea Kama ualimu na udaktari Hadi tukiwa vizuri kiuchumi ndo maslai yaboreshwe
Haya ndiyo Mambo walitakiwa CDM itetee toka mwanzo! Lakini ikajisahau na Posho za Bunge pamoja na Ruzuku! Sasa wako nje eti ndiyo wanaanza kuona tena!!
 
tunapenda vya kupewa halafu tunajifanya vidume
Wanaodhamini budget yetu tunawaita ni mabeberu.Imagine wameipa Tanzania zaidi ya TZS billion themanini fedha za Corona ambayo serekali ilijinasibu kuwa haipo halafu ndondocha anaibuka na kuwaita kuwa ni mabeberu!Ndiyo maana huwa nasema kuwa Tanzania inaongozwa na goigoi
 
Hili povu linaonyesha jinsi gani umri si akili.
Nenda kapime DNA watoto ndipo utajiona ulivyokuwa certified sukule.
 
Haya ndiyo Mambo walitakiwa CDM itetee toka mwanzo! Lakini ikajisahau na Posho za Bunge pamoja na Ruzuku! Sasa wako nje eti ndiyo wanaanza kuona tena!!
Ina maana wabunge wa CCM kupunguza gharama wao hakuwahusu.
 
Haya ndiyo Mambo walitakiwa CDM itetee toka mwanzo! Lakini ikajisahau na Posho za Bunge pamoja na Ruzuku! Sasa wako nje eti ndiyo wanaanza kuona tena!!
CCM ndiyo wako wengi bungeni, na kila siku mnajisifu ni wazalendo na mmebaki peke yenu bungeni fanyeni hayo maamuzi ya kukata posho acheni kuwalilia CDM ambao hawapo bungeni.
 
We ni Mtanzania hivi unaamini kabisa kuwa huwezi ishi bila ya msaada kabisa
 
Inashangaza baadala ya kuwa wazalendo na kuitetea serikali ya wanyonge mnakaa kushabikia mabeberu
Nikikuambia watu wanadaiwa kuwa ni "Wanyonge" ndio "wanaonyongwa" na Ndio mtaji wa Mwenye kupenda kutumia tabaka hilo kufanya yake kwa maslahi yake Utaidigest vipi?
 
Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?
Acha kudanganya umma,huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi!
 
Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......
Hizi ndio akili za kipumbavu..!

Mizozo yote hii inayotokea ya viongozi kufisadi nchi zao na kuacha raia wakiishi katkika ufukara wa kutupwa, unyanyasaji na mauaji kwa wapinzani wa serikali dhalimu na watetezi wa haki za binadamu, magonjwa etc halafu unataka hao 'watasha' waidiscuss africa in a good way?

Utakuwa mgonjwa wewe.!
 
Kunyima misaada ni kuwakomoa wananchi wanyonge. Walitakiwa wadili na walioharibu uchaguzi kama wapo, ni kama vile mzazi ukute sukari imepungua, afu unyime huduma familia nzima mpaka vichanga.
Wananchi wanyonge wanaadhibiwa kwa sababu hawakuchukua hatua baada ya kufanyika uchafuzi badala ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…