Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Taifa teule.. Wakibana mlango mmoja mwengine utafunguka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndiyo Mambo walitakiwa CDM itetee toka mwanzo! Lakini ikajisahau na Posho za Bunge pamoja na Ruzuku! Sasa wako nje eti ndiyo wanaanza kuona tena!!Wabunge wanatakiwa wapunguziwe maslai nao Kama chanzo cha mapato kwao tunaweza okoa pesa nyingi Sana ubunge ni utumishi iwe ni kazi ya kujitolea Kama ualimu na udaktari Hadi tukiwa vizuri kiuchumi ndo maslai yaboreshwe
mataga punguza jazba.Ushuzi mtupu.
HakikaWaneitumia pesa ya corona kufanya wizi wa kura siyo?
Wanaodhamini budget yetu tunawaita ni mabeberu.Imagine wameipa Tanzania zaidi ya TZS billion themanini fedha za Corona ambayo serekali ilijinasibu kuwa haipo halafu ndondocha anaibuka na kuwaita kuwa ni mabeberu!Ndiyo maana huwa nasema kuwa Tanzania inaongozwa na goigoitunapenda vya kupewa halafu tunajifanya vidume
Unapokea hela za zao huku mnasema ni mabeberu ,ccm akili zimejaa matopeSasa wewe unaogopa nini?
Chapa kazi bwashee!
Ina maana wabunge wa CCM kupunguza gharama wao hakuwahusu.Haya ndiyo Mambo walitakiwa CDM itetee toka mwanzo! Lakini ikajisahau na Posho za Bunge pamoja na Ruzuku! Sasa wako nje eti ndiyo wanaanza kuona tena!!
Halafu tunawaita kuwa ni mabeberu![emoji1782]50% ya bajeti yetu tunawategemea wao.
CCM ndiyo wako wengi bungeni, na kila siku mnajisifu ni wazalendo na mmebaki peke yenu bungeni fanyeni hayo maamuzi ya kukata posho acheni kuwalilia CDM ambao hawapo bungeni.Haya ndiyo Mambo walitakiwa CDM itetee toka mwanzo! Lakini ikajisahau na Posho za Bunge pamoja na Ruzuku! Sasa wako nje eti ndiyo wanaanza kuona tena!!
Nikikuambia watu wanadaiwa kuwa ni "Wanyonge" ndio "wanaonyongwa" na Ndio mtaji wa Mwenye kupenda kutumia tabaka hilo kufanya yake kwa maslahi yake Utaidigest vipi?Inashangaza baadala ya kuwa wazalendo na kuitetea serikali ya wanyonge mnakaa kushabikia mabeberu
Acha kudanganya umma,huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi!Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?
Hizi ndio akili za kipumbavu..!Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......
Hizo kura inasemekana wapinzani walienda nazo kwenye vituo vya kupiga kura na kuleta fujo. Walijua wameshindwa.Acha kudanganya umma,huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi!View attachment 1629952View attachment 1629953View attachment 1629954
Wananchi wanyonge wanaadhibiwa kwa sababu hawakuchukua hatua baada ya kufanyika uchafuzi badala ya uchaguziKunyima misaada ni kuwakomoa wananchi wanyonge. Walitakiwa wadili na walioharibu uchaguzi kama wapo, ni kama vile mzazi ukute sukari imepungua, afu unyime huduma familia nzima mpaka vichanga.