Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Wacha wakae na misaada yao, yaani wanatoa misaaada kwa lengo la kufundisha tabia na sio maendeleo ya watu na nchi?
Ni ujinga kuendelea kufundishwa tabia wakati tupo huru kwa zaidi ya miaka hamsini.
Wajinga wanaotaka kujifunza demokrasia za huko na tabia zao mbaya kama Lisu wakakae huko na wapewe nafasi za kuwaongoza huko,
Sisi tuantaka nchi inayo jitegemea na sio kutegemea misaada na kufanywa wajinga ilihali maligafi wanategemea kutoka kwetu.