Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Wacha wakae na misaada yao, yaani wanatoa misaaada kwa lengo la kufundisha tabia na sio maendeleo ya watu na nchi?
Ni ujinga kuendelea kufundishwa tabia wakati tupo huru kwa zaidi ya miaka hamsini.
Wajinga wanaotaka kujifunza demokrasia za huko na tabia zao mbaya kama Lisu wakakae huko na wapewe nafasi za kuwaongoza huko,

Sisi tuantaka nchi inayo jitegemea na sio kutegemea misaada na kufanywa wajinga ilihali maligafi wanategemea kutoka kwetu.
 
Nani kakwambia mnaweka umeme kwa hela zenu???? Huko Lumumba mbona ni vilaza Sana. Sasa jiandae kuna la ICC huko ndo mtaita Maji mmaaaaaa
Kwani zinatoka kwa baba yako?
Utakuta wewe nae una mume au mke anakutegemea wakati unawaza maisha ya misaada.
Kukopa na kulipa hiyo ni pesa yetu na wala sio ya misaada, elewa hilo uaje kuonyesha upumbavu wenu.
Misaada ni ya kupewa bure.

Twambie wameshatoa pesa ngapi mwaka huu ya bure?
 
Kwani mlivyopoka ushindi wa wapinzani kwenye uchaguzi ndo utawala bora??
Ulienda piga kura watu wanataka mabadiliko ya kweli na sio upinzani uchaguzi ule mlipata viti vingi hamkufanya lolote ndio mnataka inchi
 
Kwa iyo unataka kusema kuiba kura na kuwaua wapinzani ndo tabia zetu kilaza wewe?
 
WAO WAPO ULAYA MNAPANDIKIZWA CHUKI NYIE VIHEREHERE vita ikija mtataabika nyie mtasaga meno na kujutia ujinga wenu
 
Nchi utasogeza mbele kwa kuuza marinda yako?wakati zaidi ya asilimia 45 ya bajeti ya nchi inategemea nchi wahisani
Wenye akiri kama ako na za Lisu ndo mnawaza kupewa vya bure na ndo maana mnataka haki za mashoga ili mlegezwe viuno
 
Sasa itoe misaada moja kwa moja wamesahau kuwa hizo taasisi zinasajiliwa Tanzania na kwa sheria za Tanzania na siyo EU?
 
Mpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka.kidogo ingekuwa afadhali.lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
Mtaabika mpaka na wazungu wenu. Tuliawaibisha kwenye korona na sasa wataibika hata katika hili. Tanzania ni nchi nyingine. Tanzania haijawahi kuwalamba miguu mabeberu tangu enzi za Nyerere. Uchumi wa Tanzania ni diversified. Tuna activities nyingi sana zinachochangia kwenye pato la taifa. Uchumi wa Tanzania asilimia kubwa uko mikononi mwa wazawa hauko kwenye makampuni ya kigeni.

Burundi ilikuwa kwenye vikwazo tangu mwaka 2015 imeweza kuhimili. Kumbuka Burundi haina rasilimali kama Tanzania.

Mwaka 2015 baada ya Uchaguzi mkuu nchi za Magharibi ziliweka vikwazo kwa Tanzania kutokana na Uchaguzi wa Z'bar. Walijua Tanzania itatetereka na kuwapigia magoti, ajabu Tanzania iliendelea kusonga mbele. Wakaanza kurudi wenyewe na vijimisaida vyao.
 
Wenye akiri kama ako na za Lisu ndo mnawaza kupewa vya bure na ndo maana mnataka haki za mashoga ili mlegezwe viuno
Kwa nini mnaenda kutembeza bakuli kuomba hela Ulaya kuwa Tanzania kuna covid Kama hampendi vya bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…