Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Sehemu tulitumia kununua majeneza ya waliokufa kwa Covid-19 kwa kuwa maiti hazikupewa familia. Sehemu tulitumia kwenye uchaguzi.Kumbe Tanzania ilikubali msaada wa Euro Mil 27 za mabeberu za Covid-19 September hii. Sasa wanataka kujua kwa nini Tanzania ilipewa msaada huo wakati wamesema Corona haipo. Na pia wanataka kujua zimetumika vipi?
Pesa imepigwa juu kwa juu na CCM kienyeji kwa njia haramu za kishetani kudidimiza demokrasia kuubaka uchaguzi kuulawiti kunajisi uchaguzi mkuuKumbe Tanzania ilikubali msaada wa Euro Mil 27 za mabeberu za Covid-19 September hii. Sasa wanataka kujua kwa nini Tanzania ilipewa msaada huo wakati wamesema Corona haipo. Na pia wanataka kujua zimetumika vipi? Moja ya masharti ya kupewa pesa hizo ni pamoja na kutoa statics za ugonjwa na kufata maelekezo ya WHO ambapo Tanzania hawafati. Ila swali pia kwa serikali yetu kwa nini wanachukua pesa za mabeberu wanaowapiga vita? Au ndio ule msemo usemao ''Baniani mbaya kiatu chake kizuru'' Basi tutakuwa wanafiki. Na kwa nini hata sisi watanzania hatujatangaziwa kama misaada imetolewa na mabeberu? Zaidi ya serikali kutupa wananchi tu picha ya kwamba tuendelee kuwachukia mabeberu.
Angalia hapa chini VIDEO Rais wa Bunge la EU anavyolaani utawala wa awamu ya tano ikiwa ni pamoja na kuwakandamiza watetea haki, wapinzani na kutolinda demokrasia. Hivyo amesema Umoja wa Ulaya utabadilisha siasa yake kuhusu Tanzania ili isipewe misaada moja kwa moja kwa serikali.
Sehemu tulitumia kununua majeneza ya waliokufa kwa Covid-19 kwa kuwa maiti hazikupewa familia. Sehemu tulitumia kwenye uchaguzi.Kumbe Tanzania ilikubali msaada wa Euro Mil 27 za mabeberu za Covid-19 September hii. Sasa wanataka kujua kwa nini Tanzania ilipewa msaada huo wakati wamesema Corona haipo. Na pia wanataka kujua zimetumika vipi?
Yaani ulipewa ela ule tu au ulipewa ela ili uidhibiti korona!?Lazima niogope tumekula pesa zao €27m tukiwadanganya za korona wakati serikali imesema hatuna korona tutazilipaje.
CCM wanakula pesa nyingi sana za wazungu wakati wanaziomba huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu unyanyasaji uonevu ufisadi wizi wa CCM ndipo hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jikeWamezivuta vipi hali hakuna covid. Jiwe Kama ni mbabe awe anakataa kupokea pesa na sio kuwananga mabeberu lkn pesa zao haachi
Pesa ya corona imetumika kunajisi kuubaka kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniSehemu tulitumia kununua majeneza ya waliokufa kwa Covid-19 kwa kuwa maiti hazikupewa familia. Sehemu tulitumia kwenye uchaguzi.
Kiendacho kwa mganga hakirudi. Wanatudai? Tutawalipa SGR ikianza kufanya kazi🙂
Kwa nini hakuna data?...na kwa nini hatufuati conditions za mkopo?Kuna Maabara ya COVID Mabibo iko full nondo kila kitu, hivyo sidhani kama ni ngumu kwa Serikali kuelezea jinsi ilivyotumia fedha kama ni kweli ilipokea msaada kwaajili ya kudili na COVID, ...
Alifeli Sana huu uchaguzi.
Watu wanaompongeza magufuli Wana Pata wapi nguvu za kumpongeza?
Kumbe Tanzania ilikubali msaada wa Euro Mil 27 za mabeberu za Covid-19 September hii. Sasa wanataka kujua kwa nini Tanzania ilipewa msaada huo wakati wamesema Corona haipo. Na pia wanataka kujua zimetumika vipi? Moja ya masharti ya kupewa pesa hizo ni pamoja na kutoa statics za ugonjwa na kufata maelekezo ya WHO ambapo Tanzania hawafati. Ila swali pia kwa serikali yetu kwa nini wanachukua pesa za mabeberu wanaowapiga vita? Au ndio ule msemo usemao ''Baniani mbaya kiatu chake kizuru'' Basi tutakuwa wanafiki. Na kwa nini hata sisi watanzania hatujatangaziwa kama misaada imetolewa na mabeberu? Zaidi ya serikali kutupa wananchi tu picha ya kwamba tuendelee kuwachukia mabeberu.
Angalia hapa chini VIDEO Rais wa Bunge la EU anavyolaani utawala wa awamu ya tano ikiwa ni pamoja na kuwakandamiza watetea haki, wapinzani na kutolinda demokrasia. Hivyo amesema Umoja wa Ulaya utabadilisha siasa yake kuhusu Tanzania ili isipewe misaada moja kwa moja kwa serikali.
Anazo pesa nyingi kapiga kwenye ununuzi wa Ndege na 10% kwenye miradi yote mikubwa hajazimaliza zipo stoo kwenye makabati atazichukua kisha kuzuga kuwa pesa za corona zipo hawajazitumia kabsa zipo zimekaa BankWataka kujua sasa? Ushazila!
Hizi pesa zilikuwa msaada! Japo mabeberu wengi walitaka kukopesha. We made a great move mkopo tulikataa ila kama ni msaada.. you will only be a fool not to accept.Wamezivuta vipi hali hakuna covid. Jiwe Kama ni mbabe awe anakataa kupokea pesa na sio kuwananga mabeberu lkn pesa zao haachi
Thubutu yako!!! Acheni basi kutembeza mabakuli kwao kuomba msaaada!!
Issue sio madhara ya covid issue ni condition za msaada kuwa unatakiwa utoe takwimu na pia kufuata masharti ya WHO. Kwahiyo anashangaa basis gani inatumika kuwapa msaada ilihali hawatoi ushirikiano?Kwani haya maswali anaulizwa Tanzania au wanaulizana wenywe kwa wenywe? wao wenywe ndio waandae hayo majibu kwa maboss wao.
Chakushangaza huyo bwana wa EU anajifanya hajuwi kama Covid imeathiri kampuni yao ya EU yanayofanya biashara hapa Tanzania, utali, ukulima, utoaji wa huduma hata ujenzi. Uchumi wetu wa ndani Tanzania haukufungwa, kila mtu anaishi kama iliyokuwa anaishi wakati hakuna Corona.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jikeHata kama beberu linatoa harufu gani kwa maguuufull anachukua pesa yake bila shida
Umesoma Bandiko Mkuu!?Kwa nini hakuna data?...na kwa nini hatufuati conditions za mkopo?
Pesa za corona ndiyo imetumika kudidimiza demokrasia kuiba kura uchakachuaji kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniHaaaa haaaa na maombi ya nguvu yalifanyika,sasa jiulize fedha za Corona zilikwenda wapi ?.