Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Sehemu tulitumia kununua majeneza ya waliokufa kwa Covid-19 kwa kuwa maiti hazikupewa familia. Sehemu tulitumia kwenye uchaguzi.Kumbe Tanzania ilikubali msaada wa Euro Mil 27 za mabeberu za Covid-19 September hii. Sasa wanataka kujua kwa nini Tanzania ilipewa msaada huo wakati wamesema Corona haipo. Na pia wanataka kujua zimetumika vipi?
Kiendacho kwa mganga hakirudi, wanatudai?🙂