Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Anajifanya maskini jeuri baba Bashite
 
Unawaita hopeless wakati unakula pesa zao ulidhani wajinga lazima mzitolee maelezo.
 
True soon tutakuwa dona kantri upinzani walichelewesha maendeleo in jiwes voice
 
Kuna watu humu ndani wanajeshi kuiombea nchi mabaya na ikwame....ila nchi haitakwama na tutasonga mbele tena kwa speed nzuri tuu.
 
Kimenukaaaaaa
 
Kuna watu humu ndani wanajeshi kuiombea nchi mabaya na ikwame....ila nchi haitakwama na tutasonga mbele tena kwa speed nzuri tuu.
Tusione kisingizio tena cha ukwamisho wa maendeleo mpo wenyewe bila wapinzani sasa pigeni kazi ili tuanze kula mara 6 kwa siku toka mara nne kwa wiki
 
Naona mpo kushangilia nchi ikwame kwa taarifa yenu mtakwama nyie na nchi itasonga mbele tuu.
 
So ours is not a sovereignty state?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…