Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Tunaimani na Kabudi
 
Wale ambao.hawajapatiwa nguzo la LEA wachangamke kabla hazijaisha maana wenye pesa zao wamepiga pini
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wanafikiri hili litawatoa kimasomaso,

Hili gari limeshaondoka hadi 2025.
 
Mkiwa mnakula mumevimbiwa mnasahau utu mnageuka kuwa mahayawani. Haiwezekani kabsa eti mtu umesoma halafu unashabikia u dhalimu haiwezekani!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Inaonekana hujui maana ya udhalimu wewe...na ni wazi hujasoma kwani Kama ungesoma ungeweza kutambua udhalimu wa wazungu...na Kama umesoma umekaririshwa tu ...stupid...
Mkiwa mnakula mumevimbiwa mnasahau utu mnageuka kuwa mahayawani. Haiwezekani kabsa eti mtu umesoma halafu unashabikia u dhalimu haiwezekani!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 

Dona kantri anastahili vipi misaada?
 
Swali gani sasa hili mkuu, si kila uchaguzi wanashinda
Kama kweli ccm inashinda kila uchaguzi, Ile kauli ya magu juzi kwa akina lukuvi ililenga Nini na ilikuwa na tafsiri gani kwa chaguzi zote?
 
Haya mapimbi wa Lumumba ,waimba mapambio mvua ya rasharasha imeanza , mvua za masika zinakuja kutoka ICC soon , endeleeni kumuimbia mapambio Jiwe , badala ya kumuimbia aanze mazoezi ya Kiingereza na kupanda ndege masafa marefu .
 
Mtanyooka tu tulieni
 

Mjinga ni KAYAFA
 
Trillion 1.6 ambayo imekuwa ikitolewa tangu 2014 kuimarisha demokrasia , utawala bora na kujenga miundo mbinu imezuiliwa. Hii ni kwasababu ya ubinafsi wa viongozi wetu ambao wanataka kusifiwa kwa kushinda kwa kishindo ! wakati kura zikiibiwa waziwazi ili tu wajione wafalme. Anayeumia ni walewale washabiki ambao wanaaminishwa eti pesa za bareberu kama vile barabara ni za mabeberu!. Sasa mtu mmoja tu ana tu cost 1.6 Trillion na wajinga wanashangilia tu.
 
ni kheri mara 1000 kutawaliwa kimabavu na mzungu tujue moja kuliko tena kutawaliwa kimabavu na mwafrika mtanzania mwenzetu. dah! aisee!
karne ya 21 mwafrika bado anawaza kutawala watu kimabavu!!!!!! laanahtuuullah afrika.
 
Kujitengenezea maadui wa ndani ni kubaya kuliko hao unaowaita mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…