johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hakuna kupanic bali tunawakumbusha tu!Mmeshapanic bwashee mara hii, si mtulie msubiri kibano!
That's your thinking. Kwa awamu ya 5 imekuwa ikifanyika hivyo.Fedha ikishaingia kwenye mfuko mkuu wa Hazina ni mali ya serikali!
Direct and indirect tax,we unadhani tax ni direct taxi tuHapo ndipo unapokosea...
Wewe umewahi kupeleka hesabu zako za mapato TRA!? Au unazungumzia VAT!?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kamanda acha kueneza uongo wa kipumbavu.
Viongozi wengi wa kiafrika hujikaanga wenyewe kwa kujitengenezea maadui wa ndani.Huo ndio mwanya wa mabeberu kufanya yao.RIP Thomas Sankara and the like.Kweli wewe ni Mtanzania unapoteza muda wako kushabikia ubaya unaojadiliwa dhidi ya nchi yako?
Kwamba wanaangalia uwezekano wa pesa wanazotoa kama misaada zinaelekezwa mpja kwa moja kwenda kwa vyama vya siasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu!!!
Hizo pesa zitaelekezwa kwa mtindo gani wakati kila taasisi inayojipatia kipato ni sharti iweke wazi chanzo cha mapato kwa uendeshaji wa shughuli zake?
Kwa kuropoka kwako tayari sheria nyemelezi itatungwa kudhibiti hizo hela unazozitamani ziingie mikono mwako, kwa vipi unawaamini sana hao ngozi nyeupe bila kurejea malengo ni yapi kuikalia vika nchi yako pendwa kama sio maslahi yao yamekatwa? Unaamini ni ukiukwaji wa haki za binadamu wakati mtindo tunaoenda nao tangu enzi za mababu zetu ulikuwa tena mbaya zaidi kuliko sasa?
The failed addicts are in illusion, all the time you negatively paint and applaud the rouge gangs. Get back to teh drawing board to subdue your lost expectations when peace of mind will prevail in you; it sounds like a barking dog aimed at retarding the milky and honey dreamland.
Kwamba tukisota akili zitatukaa sawa?Hilo haliwezekani, lazima upige uchumi ili wananchi waijie juu serikali.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hahahaha Canada na European Union ni vitu viwili tafauti ..Mnajisumbua nyie vibaraka wa Tototundu! Kujuhakikishia kuwa JPM hawamuwezi, soma Gazeti la leo https://www.theglobeandmail.com/wor...n-election-and-arrests-of-opposition-leaders/
Canada criticizes Tanzanian election and arrests of opposition leaders, but won’t withdraw recognition
Wewe unaleta nadharia na mimi ninakwambia kwa mujibu wa sheria...Direct and indirect tax,we unadhani tax ni direct taxi tu
Sisi ni 'donor country' hatutishiki.Heri kuumia bila misaada kuliko kuumia huku misaada bwerere.
Enyi mnaominya demokrasia badilikeni!
Lakini EU lazima wajue kwamba hata hao waliokuwa Lockdown walishachoka na kutoka nje wenyewe bila kuambiwa na mtu. USA na kwingine waliandamana kwa serikali zao kuwafungia ndani. Kwahiyo, Tz tulichukua the right procedure kubaki nje, na wamejifungia mwisho wametoka wakatukuta tunaendelea kuchapa kazi maana pesa yao kama kweli walitupa ndo ilisaidia kununua vifaa vya hospitali mbalimbali na mavazi ya madaktari wakatuhudumia Vizuri mpaka leo tumesurvive. Tunawashukuru sana kwa msaada wao kweli kweli.Kuna wengine ni mambumbumbu sana wa masula ya fedha za wahisani
Kuhoji matumizi ya fedha hizo ni jambo la kawaida sana na watapewa majibu sahihi na maisha yataendelea
Wao walitaka tufunge Nchi kama walivyofunga wao nchi zao halafu tufungue kama walivyofungua wao
pumba tupu.Nilijua Jf kuna watu wazuri wastaarabu na wasomi kumbe mawzazo yangu yalikuwa sio kama ninavyofikilia
Mkiendekeza kupandikiza chuki zenu za kisiasa mtatupeleka pabaya mebeberu hawapendi kuona nchi za afrika zikiendelea na kujitegemea wenyewe
Wanataka siku zote tuwe chini na watutawale wanavyotaka wao kwa maslahi yao wanayoyajua wao
Mifano ipo mingi na ya wazi tu kwa baadhi ya nchi za afrika zilizo taka au tayari zilishajikomboa kwa uchumi na kujitegemea walipandikiza chuki za kisiasa na ugomvi wa wenyewe kwa wenyewe mpaka wakelekea wanapotaka machafuko vita za kisiasa
Mm sina upande wowote ule wa kisiasa pia sio mfatiliaji wa mambo ya siasa nimeongea na kutoa maoni yangu kama mwana Jf na mtanzania mzalendo
MTU MWENYE AKILI TIMAMU HUWEZI SHADADIA UJINGA NA UPUMBAVU
Tutatereka na kutikisika kwa kukosa misiada yao lkn tutawategemea mpka ln hii miradi mikubwa tunayofanya wenyewe ndio inawachanganya wanataka kutuvuruga tuna bahati hatuna au hatujagundua mafuta wengisha tumaliza mpka sasa
Mabeberu ni watu wa wabaya sana sana ndio maaana sasa mambo mengi tunafanya wenyewe inawauma inawachoma kuona tunaanza jitegemea bila pesa zao masharti yao na mikataba yao ya kipumbavu
Wewe ni mtanzania jivunie chakwako hata kama kibaya itawezekana tunamapungufu mengi sana kwenye kila idara sekta lkn tusijione kama wao tusijifananishe nao
SISI NI WA AFRIKA WAO NI WAZUNGU WAPI NA WAPI
Miundombinu afya ajira uwezo wa kila kitu elimu technology democracy hatuwafikii hata nusu
Lkn tusichukue mifano kwao tulete kwetu wenzetu walistarabika toka zamani
Uongo gani? DW habari za jioni wametangaza hilo.
Fuatilia habari za kimataifa siyo hizi za Redioccm!
Kamanda acha kueneza uongo wa kipumbavu.