Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kweli wewe ni Mtanzania unapoteza muda wako kushabikia ubaya unaojadiliwa dhidi ya nchi yako?

Kwamba wanaangalia uwezekano wa pesa wanazotoa kama misaada zinaelekezwa mpja kwa moja kwenda kwa vyama vya siasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu!!!

Hizo pesa zitaelekezwa kwa mtindo gani wakati kila taasisi inayojipatia kipato ni sharti iweke wazi chanzo cha mapato kwa uendeshaji wa shughuli zake?

Kwa kuropoka kwako tayari sheria nyemelezi itatungwa kudhibiti hizo hela unazozitamani ziingie mikono mwako, kwa vipi unawaamini sana hao ngozi nyeupe bila kurejea malengo ni yapi kuikalia vika nchi yako pendwa kama sio maslahi yao yamekatwa? Unaamini ni ukiukwaji wa haki za binadamu wakati mtindo tunaoenda nao tangu enzi za mababu zetu ulikuwa tena mbaya zaidi kuliko sasa?

The failed addicts are in illusion, all the time you negatively paint and applaud the rouge gangs. Get back to teh drawing board to subdue your lost expectations when peace of mind will prevail in you; it sounds like a barking dog aimed at retarding the milky and honey dreamland.
Viongozi wengi wa kiafrika hujikaanga wenyewe kwa kujitengenezea maadui wa ndani.Huo ndio mwanya wa mabeberu kufanya yao.RIP Thomas Sankara and the like.
 
Hii itaathiri sana maeneo mengi japo sehemu kubwa ya msaada huo umeshatumika.
Pia ipo mikataba ya utekelezaji wa misaada imeshasainiwa ambayo huwezi simamisha. Fidia ni kubwa ni bora wafunge macho.
Baadhi ya mikataba hiyo ni ujenzi wa barabara ya kidatu..ifakara kwa njia ya lami.
Mamlaka za maji,
Kulimo cha mbogamboga maeneo mengi nchini..nk
 
Corona ilikuwepo na kulikua nawagonjwa na kuna hospital zilitengwa kuwahudumia.
Vipimo vya corona vilinunuliwa na maabara ilitengenezwa.
Kuna waliokufa kwa corona pia na kuzikwa na serikali.
Kuna waliwekwa karantina wakiwemo WCB n.k
Baadae corona ilidhibitiwa na kupungua kisha kuisha, haikuendelea tena mpaka leo tunaendelea na maisha.
Sasa kwamba toka mgonjwa wakwanza wacorona anatangazwa hapa Tanzania mpaka inaisha hakuna fedha ilikua inatumika?

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Direct and indirect tax,we unadhani tax ni direct taxi tu
Wewe unaleta nadharia na mimi ninakwambia kwa mujibu wa sheria...

Watanzania tuna mambo sana..Mbona tukisafiri ughaibuni tunakuwa Subject to Paying tax na hatulalami..

Ni takwa la kisheria kupeleka taarifa zako za mapato TRA. Wao ndio watakwambia kama unapaswa kulipa kodi au hapana.. wakisha kukukagua.

Ili uweze kufanya hilo, au kutimiza takwahilo kisheria inahitaji kuwa na namba ya utambulisho wa mlipa kodi.

Leo unaweza kuwa huna mapato mengi ya kutosha kukufanya ulipe kodi kwa mujibu wa sheria na kanuni zinazoendesha TRA ila we hope for the best kesho utafanikiwa na itakubidi ulipe kodi.

Swala indirect na direct hilo sioni linaingia wapi hapa.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wengine ni mambumbumbu sana wa masula ya fedha za wahisani

Kuhoji matumizi ya fedha hizo ni jambo la kawaida sana na watapewa majibu sahihi na maisha yataendelea

Wao walitaka tufunge Nchi kama walivyofunga wao nchi zao halafu tufungue kama walivyofungua wao
Lakini EU lazima wajue kwamba hata hao waliokuwa Lockdown walishachoka na kutoka nje wenyewe bila kuambiwa na mtu. USA na kwingine waliandamana kwa serikali zao kuwafungia ndani. Kwahiyo, Tz tulichukua the right procedure kubaki nje, na wamejifungia mwisho wametoka wakatukuta tunaendelea kuchapa kazi maana pesa yao kama kweli walitupa ndo ilisaidia kununua vifaa vya hospitali mbalimbali na mavazi ya madaktari wakatuhudumia Vizuri mpaka leo tumesurvive. Tunawashukuru sana kwa msaada wao kweli kweli.
 
Nilijua Jf kuna watu wazuri wastaarabu na wasomi kumbe mawzazo yangu yalikuwa sio kama ninavyofikilia
Mkiendekeza kupandikiza chuki zenu za kisiasa mtatupeleka pabaya mebeberu hawapendi kuona nchi za afrika zikiendelea na kujitegemea wenyewe
Wanataka siku zote tuwe chini na watutawale wanavyotaka wao kwa maslahi yao wanayoyajua wao
Mifano ipo mingi na ya wazi tu kwa baadhi ya nchi za afrika zilizo taka au tayari zilishajikomboa kwa uchumi na kujitegemea walipandikiza chuki za kisiasa na ugomvi wa wenyewe kwa wenyewe mpaka wakelekea wanapotaka machafuko vita za kisiasa
Mm sina upande wowote ule wa kisiasa pia sio mfatiliaji wa mambo ya siasa nimeongea na kutoa maoni yangu kama mwana Jf na mtanzania mzalendo
MTU MWENYE AKILI TIMAMU HUWEZI SHADADIA UJINGA NA UPUMBAVU
Tutatereka na kutikisika kwa kukosa misiada yao lkn tutawategemea mpka ln hii miradi mikubwa tunayofanya wenyewe ndio inawachanganya wanataka kutuvuruga tuna bahati hatuna au hatujagundua mafuta wengisha tumaliza mpka sasa
Mabeberu ni watu wa wabaya sana sana ndio maaana sasa mambo mengi tunafanya wenyewe inawauma inawachoma kuona tunaanza jitegemea bila pesa zao masharti yao na mikataba yao ya kipumbavu
Wewe ni mtanzania jivunie chakwako hata kama kibaya itawezekana tunamapungufu mengi sana kwenye kila idara sekta lkn tusijione kama wao tusijifananishe nao
SISI NI WA AFRIKA WAO NI WAZUNGU WAPI NA WAPI
Miundombinu afya ajira uwezo wa kila kitu elimu technology democracy hatuwafikii hata nusu
Lkn tusichukue mifano kwao tulete kwetu wenzetu walistarabika toka zamani
pumba tupu.
kwa hiyo tulimuondoa mkoloni mweusi ili ili tutawaliwe kimabavu na mkoloni mweusi?
kama kweli mnajenga miradi mikubwa na kwa hiyo wananchi wanawakubali sasa uoga wa nini hadi mnaogopa mifumo huru ya demokrasia?

Yan hapa tunamsubiri Joe Biden kwa hamu pamoja na icc. madikteta hawana nafasi, hii ni jarne ya 21.
 
Waache tu pesa za misaada zanini ni ujinga pale mtu anakuambia hakusaidii badla upige kazi uendelee unaanza kulilia pesa za msaada waache mapimbi hao
Hata nyerere alishazisema sana hela za misaada huwa hazidumu milele
 
Back
Top Bottom