Mtaabika mpaka na wazungu wenu. Tuliawaibisha kwenye korona na sasa wataibika hata katika hili. Tanzania ni nchi nyingine. Tanzania haijawahi kuwalamba miguu mabeberu tangu enzi za Nyerere. Uchumi wa Tanzania ni diversified. Tuna activities nyingi sana zinachochangia kwenye pato la taifa. Uchumi wa Tanzania asilimia kubwa uko mikononi mwa wazawa hauko kwenye makampuni ya kigeni.
Burundi ilikuwa kwenye vikwazo tangu mwaka 2015 imeweza kuhimili. Kumbuka Burundi haina rasilimali kama Tanzania.
Mwaka 2015 baada ya Uchaguzi mkuu nchi za Magharibi ziliweka vikwazo kwa Tanzania kutokana na Uchaguzi wa Z'bar. Walijua Tanzania itatetereka na kuwapigia magoti, ajabu Tanzania iliendelea kusonga mbele. Wakaanza kurudi wenyewe na vijimisaida vyao.
Sent from my Infinix X655 using
JamiiForums mobile app