Sisi hayatuhusu, shauri yao wanaotembea na ma V8, wameza ARV. Sisi hatuhitaji.Watanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako,ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo,vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...
Sihabikio hili jambo. Ila istead ya kutoa blah blah hapa. Sijui tulifanya hiv ..tulidanya vile.Wazungu wanapaswa kuelewa kuwa Tanzania tulipambana na Corona na tukaishinda hivyo msaada tuliopewa na EU ulikuwa ni halali yetu.
Nani asiyejua hatua mbalimbali zilizochukuliwa na serikali kupambana na Corona ikiwemo social distancing, kuvaa barakoa, kuweka sehemu za jamii kunawa mikono, kufanyia kazi nyumbani, shule na vyuo kufungwa nk nk.
Wazungu watafute sababu nyingine za kutubania misaada lakini hili la Covid 19 wanatuonea bure.
Maendeleo hayana vyama!
Na kwanini EU walitoa hizo fedha wakati walijua kabisa Tanzania imevikataa vipimo feki na imeamua kwenda na maombi kwa Mungu?Swali langu ni moja tu,kama vipimo vilikuwa ni fake na vinazuia kutii masharti ya EU pamoja na WHO kwa nini wachukue hela za watu ambazo hawawezi kutii masharti yake?Huo siyo wezi?Huo siyo ufisadi?
Laizer hana 1T hajawahi hata kufika. Yuko kwenye Billions. Which kwa serikal ni hela ndogo.Wamezuia 1.6T pekee. I believe Serikali ‘tajiri’ ya Magufuli can cope without hiyo amount.
Hiyo amount si hata Bilionea Laiser anaweza kumpa Magufuli?[emoji4]
Mkuu achana na tototundu ni kichaa tangu akiwa primarykuanzia leo Lisu anatakiwa awe anaitwa Chifu Mangungo Tundu Lisu na Amsterdam awe anaitwa Karl Peters Amsterdam tukiwajadili humu jamii forums
Wanajua watakaoumia ni wananchi, hivyo inatengenezwa chuki, muichukie serikali na viongozi waondoke, kwanini?mpo comfortable sanaIla mkuu wakipiga pini hakuna rangi tutaacha kuona sisi wananchi, ni vyema wakiweza wangedili na hali hii bila kuumiza uchumi wa nchi. Tutaumia sisi huku walengwa wanakula maisha
Kura feki wakati walizitengeneza na matukio waliyapanga lengo likiwa ni kuwafurahisha waliowatuma.
Kila Taifa linachakwake chenye thamani kwa wasiokuwa nacho. Mfano cc hakuna tunachohitaji kutoka uholanzi, Ujerumani UK na USA .
Tukiamua kudai haki ya walivyotuibia na kutuzurumu tutawafirisi na inaweza Ibuka vita ya 3 ya dunia
Bwana mimi sijafanya chochote hapo na sihusiki kwa lolote. Angalizo tu maana siasa za Africa zinajulikana, unaweza kuishia kupata msongo wa mawazo wakati wa kusubiri hivyo vikwazo.Lazima sana. Kwa mliyoyafanya kwenye uchaguzi na ujinga mnaoendelea kuufanya lazima tuwaombee mabaya tu
Mtaabika mpaka na wazungu wenu. Tuliawaibisha kwenye korona na sasa wataibika hata katika hili. Tanzania ni nchi nyingine. Tanzania haijawahi kuwalamba miguu mabeberu tangu enzi za Nyerere. Uchumi wa Tanzania ni diversified. Tuna activities nyingi sana zinachochangia kwenye pato la taifa. Uchumi wa Tanzania asilimia kubwa uko mikononi mwa wazawa hauko kwenye makampuni ya kigeni.
Burundi ilikuwa kwenye vikwazo tangu mwaka 2015 imeweza kuhimili. Kumbuka Burundi haina rasilimali kama Tanzania.
Mwaka 2015 baada ya Uchaguzi mkuu nchi za Magharibi ziliweka vikwazo kwa Tanzania kutokana na Uchaguzi wa Z'bar. Walijua Tanzania itatetereka na kuwapigia magoti, ajabu Tanzania iliendelea kusonga mbele. Wakaanza kurudi wenyewe na vijimisaida vyao.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Hivi Kuna watu waliokamatwa na kura feki? Ulifanikiwa kuona hata sura ya mtu mmoja? Mimi niliona tu mabegi ya kura feki then nikaona ushahidi wa kura feki unachomwa Moto.
Walichofanya serekali ya CCM ni kufanya ufisadi wa kimataifa,yaani ufisadi across borders.Serekali ya Magufuli inajinasibu kuwa ni serekali inayopambana na ufisadi lakini imefanya ufisadi huu wa kutisha wa nje ya mipaka ya Tanzania na hii haijawahi kutokea tokea tupate uhuru.Masharti yote haya walikuwa wanayajua lakini kwa kuwa nia yao ilikuwa ovu,nia ya kuiba hela nje ya mipaka ya Tanzania basi wakaamua kuchukua hizo hela na kutupilia masharti yao mbali.Kwa mwendo huu serekali hii ya kifisadi wa kimataifa haiwezi kufika mbali.
okBwana mimi sijafanya chochote hapo na sihusiki kwa lolote. Angalizo tu maana siasa za Africa zinajulikana, unaweza kuishia kupata msongo wa mawazo wakati wa kusubiri hivyo vikwazo.
Kuwa na maabara ni suala moja, na kutoa takwimu ni suala jingine. Kwa mujibu wa masharti ya pesa za EU, ukishazipata lazima utoe takwimu kwa WHO ambayo sehemu kubwa iko funded na EU baada ya USA kujitoa kuisaidia. Je tuna publish takwimu hata mkama maambukizi ya corona ni 0?
Hili ndiyo swali ambalo rais wa EU leo amemuuliza mhusika wa fedha za COVID-9 za Tanzania ambapo mhusika huyo alishindwa kabisa kujibu akaambiwa kuwa ana masaa 48 kujibu kwa njia ya maandishi.Na kwanini EU walitoa hizo fedha wakati walijua kabisa Tanzania imevikataa vipimo feki na imeamua kwenda na maombi kwa Mungu?
Alifeli kivipi ? Wananchi tumemchagua wenyewe. Nyerere walimsusia mabeberu mbona tuli survive ? Hizo ni porojo tu.
Hivi sisi wananchi hatuwi affected na hizi sactions?