Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Nani aliilazimisha tz iwe na vyama vingi??
Wazungu, lakini wanayo agenda chafu kwa afrika siku zote.

Wao ni binadamu wa kwanza kwa mujibu wa akili zao na sisi tunavyopambana rasilimali ziwe na faida kwetu ndivyo tunavyochokoza kile kiburi chao cha bandia.
 
Sisi waafrica ni wapumbavu na tunastahili wanayotufanyia. Je huwezi kupambania rasilimali zako bila kuiba kura?

Huwezi kupambania rasilimali zako bila kuua watu, kuteka watu na kuwabambikiizia kesi lukuki??

Je wazungu wanatusingizia???

Viongozi wamekosa hekima tamaa ya madaraka na kumwaga damu za watu ndiyo kipaumbele chao.
 
Biden kama nani?

Trump anamkimbiza huko!
Haha duuh unajidanganya bado, we e
Mliomba hela za covid19 za nini kama mnataka kujitegemea
 
Mnashangilia msichokijua. Kwa hiyo kwa CHADEMA hii nani angewachagua kuingia Ikulu ? Hayo yatapita na Tanzania ni nchi huru kabisa. Mabeberu hawana rafiki wa kudumu.
Safari hii ni lazima mabeberu wawapapase tu,hakuna namna nyingine
 
Munaosherekea issue hii hamna akili ama kama munazo basi mtakua mnatumika na Mabeberu.
Nchi yetu tunalazimisha kuitia kiberiti.

Tulipowafanya wapizani wa kisiasa kuwa maadui ndipo tulipokosea sasa tumewapa fursa maadui halisi kutuburuga na TUTAVURUNGWA KWELI Maana hatuna marifaa wa upendo baina yetu ni uchu wa madaraka tu
 
19 November 2020

Tanzania yazidi kujadiliwa Bunge la Ulaya, wasema Uchaguzi haukuwa sawa, wataka misaada ikatwe​

Bora tuumie wote,sio kila siku wanaumia wafuasi wa upinzani kwa kutekwa,kupigwa,kubambikiziwa kesi,kupigwa risasi,kufungwa na hata kuuwawa!
Walau mbinyo ukiendelea kuwa mkali,wote tutapata maumivu!Na hiyo kwangu ni sawa mpaka pale uhuru na haki vitatamalaki kwa wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa!

Ni zaidi ya miezi minne sasa akina Nusrat Henje wako mahabusu kwa kuimba "mungu ibariki chadema......",wakati uvccm hakuna aliyeguswa japo na wao waliimba "Mungu mmbariki Magufuli. ....."

Bora tuumie wote,waongeze na vikwazo kabisa!
 
NASIKITIKA KUONA WAAFRIKA TULIVYO NA AKILI NYEUSI, NASIKITIKA KUONA HUU MPANGO NI WASISI WENYEWE, KITU CHA AJABU TUNAHISI HAO WHITE WANATUPENDA SANA
 
Sisi waafrica ni wapumbavu na tunastahili wanayotufanyia. Je huwezi kupambania rasilimali zako bila kuiba kura?

Huwezi kupambania rasilimali zako bila kuua watu, kuteka watu na kuwabambikiizia kesi lukuki??

Je wazungu wanatusingizia???
Kumuibia kura Mbowe au Mdee? Hakuna kitu kama hicho.

Hayo ya kubambikia kesi na kuua mwalimu mkuu ni mzungu mwenyewe aliyemuua Lumumba miaka ya 1960 mwanzoni.

Mwalimu mkuu ni CIA anayewauwa marais wa dunia ya tatu kadri anavyojisikia.
 
Hayo yanayoitwa udikteta ni Gia tu ya kishenzi ya wazungu kutaka kuingilia siasa za ndani za mataifa mengine.

Demokrasia wanayoiongelea ndio hiyo ya kishetani yenye masharti ambayo ni kufuru kwa Mungu.
Hivi wakati wa Kikwete,ushoga ulikuwa ruksa?Mbona hatukuona haya?Acheni kutafuta kichaka cha kuficha madhambi yenu!Watendeeni haki raia wenu wote bila kujali itikadi za vyama vyao!Uobevu wanaopitia wapinzani ndio imetufikisha hapa!
 
Kumuibia kura Mbowe au Mdee? Hakuna kitu kama hicho.

Hayo ya kubambikia kesi na kuua mwalimu mkuu ni mzungu mwenyewe aliyemuua Lumumba miaka ya 1960 mwanzoni.

Mwalimu mkuu ni CIA anayewauwa marais wa dunia ya tatu kadri anavyojisikia.
Ndio maana na ninyi mmeamua kuua wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…