Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Wajinga ni wengi hakika
 
Si lzm uende mahali kuchukua taarifa Hali Lila KITU kinapatikana kwa ushahidi toshelevu. Pesa za Jamii iliyoelimika na kustaarabika huwa aitolewi kwa madikteta ili ikaumize watu.

Punguzeni wabunge maslai ili tufidie gap la kunyimwa misaada
 
Mwanasiasa anayekaa madarakanj miaka mitano au kumi anataka kuharibu mustakabari wataifa kwa vizazi vijavyo
Watanzania tunajivunia kuwa na magufuli wanao leta chokochoko hao watashindwa na kulaanika Mana hawana nia njema na taifa la Tanzania jamani jamani jamani tusikubali kugawanywa na kurudi nyuma kaendeleo bali sote kwa pamoja tusonge mbele bila kuogopa
 
Demokrasia ipi iliyominywa?

Watu walifanya kampeni lakini kura hazikutosha kwahiyo wajipange kwa 2025.
 
Uzalendo ni lissu kupgwa risasi, watu Zanzibar kuuawa, Azory kuawa, Ben saanane kuuawa na kukaa kmya kwakweli ngoja wtunyime yu
 
Pengine hapa suala si Lisu kushinda, tatizo tuliamua kufanya unyang'anyi wa kura na kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi. Zamani tulikuwa tunaiba kimkakati sana, mwak huu tumevamia benki mchana kweupe.
nyaghukundo.
 
Si lzm uende mahali kuchukua taarifa Hali Lila KITU kinapatikana kwa ushahidi toshelevu.
Pesa za Jamii iliyoelimika na kustaarabika huwa aitolewi kwa madikteta ili ikaumize watu.
Punguzeni wabunge maslai ili tufidie gap la kunyimwa misaada
Nchi yetu haina kiongozi wa aina hiyo bali wewe utakuwa umepandikizwa tu na kupewa maneno ya maigizo ambayo hayajengi, badilika ndugu usiwe kibaraka kama wengine
 
Upambanie nchi wakati hujajiimarisha kudhibiti vikwazo watakavyokuwekea, mfano wakikata misaada ya dawa za TB, ARV, MALARIA utapoteza ndugu wangapi katika ukoo wenu, kwa sababu tu ya kuwatetea wachumia tumbo na familia zao.
 
Watanzania tunajivunia kuwa na magufuli wanao leta chokochoko hao watashindwa na kulaanika Mana hawana nia njema na taifa la Tanzania jamani jamani jamani tusikubali kugawanywa na kurudi nyuma kaendeleo bali sote kwa pamoja tusonge mbele bila kuogopa
Huyo Magufuli wenu atapita lakini taifa hili litabaki. Kumbuka hata Mugabe kule Zimbabwe alipita ila kaiacha Zimbabwe inataabika
 
Uzalendo ni lissu kupgwa risasi, watu Zanzibar kuuawa, Azory kuawa, Ben saanane kuuawa na kukaa kmya kwakweli ngoja wtunyime yu
Sasa una uthibitisho kwamba wameuwawa na umefanya uchunguzi au unaongea vitu ambavyo sio kweli acha kuendeswa na kukosa msimamo
 
Amka ndotoni dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…