Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Ametumwa kuvuruga nchi yetuMwanasiasa anayekaa madarakanj miaka mitano au kumi anataka kuharibu mustakabari wataifa kwa vizazi vijavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametumwa kuvuruga nchi yetuMwanasiasa anayekaa madarakanj miaka mitano au kumi anataka kuharibu mustakabari wataifa kwa vizazi vijavyo
Wajinga ni wengi hakikaNgoma inogile!
Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU.
Bado US nao kukamilisha shughuli.
Sitashangaa Benki ya Dunia nayo ikasitisha kutoa mikopo.
Sasa itakuwa ni zamu yao kuandamana kwenda Ulaya na Marekani kutafuta suluhu.
Kweli kadri giza linavyozidi, ndivyo nuru inakaribia.
Je, kuna watu watapigwa chini katika kutafuta suluhu na kuridhisha wahisani?Tusubiri.
NB:Media za kibongo haziwezi kutangaza hizi habari, na hata wakitangaza, basi itakuwa ni kwa kugusigusia tu tena kwa uoga mwingi-ndio tulipofika na sio kosa lao.
Basi tuji pongeze kwa kuweza kujitegemea.walitunyima fedha za mcc tukasambaza umeme kwa vijiji zaidi ya 9000
Watanzania wenzangu hapa ni kwamba haya yanayo endelea ni madrama wanatuigizia ni waambie tu wazi siku zote hakuna mtu atakupendelea mema ana taka uwe ombaomba siku zote wanaogopa tz itapiga hatua kubwa sana kwayo wanajaribu kutafuta sababu na kutuba ubaya ili watuandame tusikubali hata kido go kuonewa tuipambanie nchi yetu kwa umoja na mshikamano na hata Hivyo wangekua wanataka kuhukumu wangekuja kuchukua maelezo ya pande zote na si kusikiliza maneno ya kinasarungi peke yake kwani wanajulikana sio wazalendo wa kweli
Mwaka humu mashaka ni makubwa.Mashaka miaka yote huwepo.
Sas tunaenda kuumia sote, Jiwe kaamua kuwa jiwe kweli kweli na mabeberu wamekuja juu balaa. kweli kalunguyeye si nungunungu "P.W. Botha"Sasa maji yamezidi unga.
Watanzania tunajivunia kuwa na magufuli wanao leta chokochoko hao watashindwa na kulaanika Mana hawana nia njema na taifa la Tanzania jamani jamani jamani tusikubali kugawanywa na kurudi nyuma kaendeleo bali sote kwa pamoja tusonge mbele bila kuogopaMwanasiasa anayekaa madarakanj miaka mitano au kumi anataka kuharibu mustakabari wataifa kwa vizazi vijavyo
Uzalendo ni lissu kupgwa risasi, watu Zanzibar kuuawa, Azory kuawa, Ben saanane kuuawa na kukaa kmya kwakweli ngoja wtunyime yuWatanzania wenzangu hapa ni kwamba haya yanayo endelea ni madrama wanatuigizia ni waambie tu wazi siku zote hakuna mtu atakupendelea mema ana taka uwe ombaomba siku zote wanaogopa tz itapiga hatua kubwa sana kwayo wanajaribu kutafuta sababu na kutuba ubaya ili watuandame tusikubali hata kido go kuonewa tuipambanie nchi yetu kwa umoja na mshikamano na hata Hivyo wangekua wanataka kuhukumu wangekuja kuchukua maelezo ya pande zote na si kusikiliza maneno ya kinasarungi peke yake kwani wanajulikana sio wazalendo wa kweli
nyaghukundo.Pengine hapa suala si Lisu kushinda, tatizo tuliamua kufanya unyang'anyi wa kura na kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi. Zamani tulikuwa tunaiba kimkakati sana, mwak huu tumevamia benki mchana kweupe.
Nchi yetu haina kiongozi wa aina hiyo bali wewe utakuwa umepandikizwa tu na kupewa maneno ya maigizo ambayo hayajengi, badilika ndugu usiwe kibaraka kama wengineSi lzm uende mahali kuchukua taarifa Hali Lila KITU kinapatikana kwa ushahidi toshelevu.
Pesa za Jamii iliyoelimika na kustaarabika huwa aitolewi kwa madikteta ili ikaumize watu.
Punguzeni wabunge maslai ili tufidie gap la kunyimwa misaada
Upambanie nchi wakati hujajiimarisha kudhibiti vikwazo watakavyokuwekea, mfano wakikata misaada ya dawa za TB, ARV, MALARIA utapoteza ndugu wangapi katika ukoo wenu, kwa sababu tu ya kuwatetea wachumia tumbo na familia zao.Watanzania wenzangu hapa ni kwamba haya yanayo endelea ni madrama wanatuigizia ni waambie tu wazi siku zote hakuna mtu atakupendelea mema ana taka uwe ombaomba siku zote wanaogopa tz itapiga hatua kubwa sana kwayo wanajaribu kutafuta sababu na kutuba ubaya ili watuandame tusikubali hata kido go kuonewa tuipambanie nchi yetu kwa umoja na mshikamano na hata Hivyo wangekua wanataka kuhukumu wangekuja kuchukua maelezo ya pande zote na si kusikiliza maneno ya kinasarungi peke yake kwani wanajulikana sio wazalendo wa kweli
Ukianza matusi ni kuwa umeshindwa hoja, vijana wa Kikurya wa miaka hii mmekuwa laini laini sana na mmeacha kutumia bongo zenu vizuri. Kama huoni kuwa tulliba basi kacheki CPU yako mkuunyaghukundo.
Lissu anaendelea kuzila tena yeye kahamia kabisa huko hukoMmekula hela za mashoga lazima mzitapike kwa njia yeyote ile.
Kabla ya kuhoji hili, umeuliza chanzo ni nini?Kwahy umefurahi?
Huyo Magufuli wenu atapita lakini taifa hili litabaki. Kumbuka hata Mugabe kule Zimbabwe alipita ila kaiacha Zimbabwe inataabikaWatanzania tunajivunia kuwa na magufuli wanao leta chokochoko hao watashindwa na kulaanika Mana hawana nia njema na taifa la Tanzania jamani jamani jamani tusikubali kugawanywa na kurudi nyuma kaendeleo bali sote kwa pamoja tusonge mbele bila kuogopa
Sasa una uthibitisho kwamba wameuwawa na umefanya uchunguzi au unaongea vitu ambavyo sio kweli acha kuendeswa na kukosa msimamoUzalendo ni lissu kupgwa risasi, watu Zanzibar kuuawa, Azory kuawa, Ben saanane kuuawa na kukaa kmya kwakweli ngoja wtunyime yu
Amka ndotoni dadaWatanzania wenzangu hapa ni kwamba haya yanayo endelea ni madrama wanatuigizia ni waambie tu wazi siku zote hakuna mtu atakupendelea mema ana taka uwe ombaomba siku zote wanaogopa tz itapiga hatua kubwa sana kwayo wanajaribu kutafuta sababu na kutuba ubaya ili watuandame tusikubali hata kido go kuonewa tuipambanie nchi yetu kwa umoja na mshikamano na hata Hivyo wangekua wanataka kuhukumu wangekuja kuchukua maelezo ya pande zote na si kusikiliza maneno ya kinasarungi peke yake kwani wanajulikana sio wazalendo wa kweli