Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Hakuna COVID ila kuna athari zilizotokana na COVID mfano kushuka kwa mapato kutokana na zuio la usafiri wa anga kwa watalii
Haya ndiyo yalikuwa maelekezo ya umoja wa Ulaya ya matumizi ya fedha za COVID-19 kutoka european union?Yaani wewe badala ya kufuatilia maelekezo ya matumizi ya fedha za COVID-19 kutoka kwa waliotoa fedha zao unafuatilia maelekezo kutoka CCM?[emoji1782]
 
Hawa watu wanajifanya wasiri sana. Ukisikiliza ule mjadala utagundua kuwa kumbe ni mabingwa wa kutembeza bakuli kwa wazungu wanaowaita mabeberu [emoji23][emoji23][emoji3]
Sinivile wanajua Nchi hii wapumbafu ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…