Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Haya ndiyo yalikuwa maelekezo ya umoja wa Ulaya ya matumizi ya fedha za COVID-19 kutoka european union?Yaani wewe badala ya kufuatilia maelekezo ya matumizi ya fedha za COVID-19 kutoka kwa waliotoa fedha zao unafuatilia maelekezo kutoka CCM?[emoji1782]Hakuna COVID ila kuna athari zilizotokana na COVID mfano kushuka kwa mapato kutokana na zuio la usafiri wa anga kwa watalii