Sasa mlikuwa mnazinyonya hela za corona za nini, na wamesema mikopo mliyoenda kuomba imekataliwa ,mtapata baada ya kukosa, mbona CCM mnakuwa wajinga hivi
Washa tbc!Utopolo mtupu. Hebu weka hapa chanzo chako.
Nikimaliza Kula huku nitakujaNjoo Abu Dhabi ule bata.
Wajinga wakubwa nyie.Akili zero,maarifa zero na haya ndio matokeo yake.Endelea kujifariji kamanda baada ya ni yeye kushindwa
Unijulishe mapema nikuandalie air ticketNikimaliza Kula huku nitakuja
At least there was some democracy. Ingawa unahoja. Nikweli iko hivi ccm na serikali wanaxounda hawstaki kabisa vyama pinzani na huo mfumo wa vyama vingi. Hivyo basi wanatumia raslimali nyingi sana kuugandamiza ila hawataki ufe kabisa kuogopa kelele na vikwazo vya wazungu. Kwa jinsi mfumo wa vyama vingi ulivyo Tanzania ni vichekesho maana mgombea ndiye anateuwa tume na wakurugenzi wote wa tume wakati naye ni mgombea.Mimi naona watu wamejielekeza au kumuangalia Magufuli tu,najiuliza hivi kabla hata ya Magufuli hatukuwa tukitakiwa kuwekewa hivyo vikwazo? Au wakati huo demokrasia ilikuwepo,kulikuwa na ushindani sawa wa vyama siasa na haki za binaadamu zilikuwa zinalindwa?
Hakuna mwenye haki miliki ndio maana nawashangaa chadema wanavyohangaika.Any way nimawazo yako. Ila tambua Afrika, waanasiasa wabinafsi huziingiza ichi zao kwenye matatizo kwa sababu ya interests zao na si interest za inchi. Kwa akili yako mwenye hati miliki ya kuongoza hii inchi ni ccm
Kwa mana hiyo unataka kusema wanatuonea kusema uchaguzi haukuwa wa uhuru na hakiWalichoweza wazungu ni kutufanya waafrika tuwaone wao ndio wana akili kuliko chochote, na kila wanachokifanya kipo sahihi. Hayamkini ndio maana tunaona anayejua kuongea kingereza ana akili na kasoma sana.
Hivi vipeperushi vyenu mnavyotengeneza hapo Lumumba ishieni kutumiana hapo Lumumba. Hizo propaganda zenu mbakini nazo huko Lumumba maana sasa sio muda wa propaganda tena.Hizo ni jama za wajerumani kupinga kujengwa kwa bwawa la Kufua umeme la Nyerere Kwenye mto Rufiji. Sikilza hapa.
Sawa boss mwenye Abu Dhabi yakoUnijulishe mapema nikuandalie air ticket
Pesa gani za ndani??? Achana na uongo wa hao vilaza. Ni msaadaMbona huwa nasikia tunatumia pesa zetu za ndani.
Matokeo ganii unalilia msaada wa wazungu mkuu utakomaaaWajinga wakubwa nyie.Akili zero,maarifa zero na haya ndio matokeo yake.
Habari za mida wanajamvi!
Naam, kumepambazuka huko Duniani, wazungu wamesikia kilio cha wanao penda demokrasia Tanzania, kwa umoja wao wameazimia kuwa watainyima Tanzania misaada inayo fikia Tshs trilioni 1.64 kwasababu haifuati ustaarabu wa kidunia wa multipartism yaani demokrasia ya vyama vingi.
Kilicho nifurahisha zaidi ni kwamba , wanasema kama Tanzania ikiendelea kukaidi basi itawekewa vikwazo vya kiuchumi ISIFANYE BIASHARA NA NCHI YEYOTE YA ULAYA. HAPO SASA!!
Nini maana yake? Ni kwamba hatuta uza chai kwao, wala kahawa haitauzwa kwao, maua na mbogamboga kamwe hatutauza kwao. Hatutauza dhahabu, hatutauza korosho wala minofu ya samaki. Yaani hatutauza chochote kwao.
Baada ya muda mfupi tu fedha yetu itashuka thamani usipime. Yaani dollar moja yaweza kuwa Tshs 5000/= kisa? Mtu mmoja hataki uchaguzi uwe huru , wa haki, credible na transparent!
Wazungu nimewavulia kofia! Nimetabasamu kwa mara ya kwanza tangu October 28. Ahsanteni wazungu .bye
Yule usikute hajui hata kinachoendelea, anasubiri akina Kabudi wamdanganye πNaisi mzee wa Chamwino kauangalia huu mjadala live. Kama hajaungalia Naomba atafute mtu amtafsirie. Yajayo yanafurahisha πππ
Yaani watamuingiza chaka vibayaaaa πππYule usikute hajui hata kinachoendelea, anasubiri akina kabudi wamdanganye π
We kweli kiazi mbatata yani mwizi akikuibia ndio anakuwa amekuzidi akili..?"chadema mnaakili mkaibiwa kura"?
EU au USA sio Mungu jamani. Tanzania ilikuwepo na itaendelea kuwepo hadi Mungu atakapoamua. Tulikuwa na mafungo ya wiki moja wiki iliyopita yakiongozwa na makatekista kutoka Spain. Hawa ndugu walisema Tanzania ni nchi pekee duniani na imepewa nafasi ya pekee na Mungu kama mfano wa kuonyesha kwamba ukimtegemea Mungu hatakuacha.
EU sio tu wafute misaada hata ofisi zao wafunge na waondoke Tanzania itakuwepo. Na ninyi mnaolilia ushoga Mungu atawaangamiza hata kama ni Watanzania.