Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kumbe sio azimio la EU bali maoni ya wabunge wasiozidi watano [emoji41]. Alafu ajabu kuna wapigania demokrasia na uhuru wa maoni ukiwashauri mabandiko yao ya kishabiki huku wakiomba tuchangie mjadala kwa sababu ya video clip bila tamko rasmi la EU wanakublock[emoji41] lakini wanapigania demokrasia na uhuru wa maoni [emoji41].

Ndio maana wengine tunabakia humu JF tu, huko kwingine hawajazoea kuhojiwa kwa hoja na kuishia ku panic tu [emoji23] . Nilifikiri ni wachochezi wa fikra yakinifu kumbe nao wale wale huku Msondo kule Mlimani Park [emoji23]
 
kilaza ni wewe ambaye unadhani serikali ikikosa hizo pesa wewe atakayeumia ni magufuli[emoji16][emoji16][emoji16].

mnatumia nini kufikiri??
Kwani wewe hutumia nini kufikiri kuwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuwapora ushindi unyanyasaji uonevu mateso kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu ni matendo mema? Wewe hutumia nini kifikiri hayo?
 
Inawezekana nikawa natumia ugoko ila kufikiri misaada ikikata(kitu ambacho hakipo)atakayeumia ni Magufuli, unakuwa umetumia matako.
 
Kumbe sio azimio la EU bali maoni ya wabunge wasiozidi watano [emoji41]. Alafu ajabu kuna wapigania demokrasia na uhuru wa maoni ukiwashauri mabandiko yao ya kishabiki huku wakiomba tuchangie mjadala kwa sababu ya video clip bila tamko rasmi la EU wanakublock[emoji41] lakini wanapigania demokrasia na uhuru wa maoni [emoji41].

Ndio maana wengine tunabakia humu JF tu, huko kwingine hawajazoea kuhojiwa kwa hoja na kuishia ku panic tu [emoji23] . Nilifikiri ni wachochezi wa fikra yakinifu kumbe nao wale wale huku Msondo kule Mlimani Park [emoji23]
Wewe ni mnufaika wa mgao wa pesa za corona na unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana umeanza kujitoa fahamu kidogo kidogo ukiamini utaukwaa uteuzi, Tambua kuwa laana za wapiga kura walioporwa haki zao hawatakuacha upate uteuzi kienyeji hivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lisu akiwa uwanja mwingine wa medani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wabweke tu watatulia wenyew
Alf raia tunachekelea na kushangilia kwel kwel duh! So sad
Kufikia January ndio utajua maisha yanaendelea na biashara imeisha. Tunahitaji kujenga uelekeo mpya wa upinzani na si kutegemea wanaharakati individual ambao wengine hata hamjui wana represent nini.

Chadema isingebadili mwendo toka walipoanza kushughulika na Zitto, Kafulila n.k leo CCM ingekuwa taabani au 2025 Chadema kutwaa dola.
 
inawezekana nikawa natumia ugoko,ila kufikiri misaada ikikata(kitu ambacho hakipo)atakayeumia ni magufuli,unakuwa umetumia matako.
Sasa tumia Ubongo hata wa kuazima kwa Haji Manara uwakataze CCM waache wizi wa kura udikiteta uonevu mateso kwa wapinzani hutakaa uumize kichwa kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani
 
Wewe ni mnufaika wa mgao wa pesa za corona na unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana umeanza kujitoa fahamu kidogo kidogo ukiamini utaukwaa uteuzi, Tambua kuwa laana za wapiga kura walioporwa haki zao hawatakuacha upate uteuzi kienyeji hivyo.
Uteuzi tena [emoji23], mkuu wengine si wanasiasa ni watoa maoni tu. Sijawahi kumiliki kadi ya chama chochote.
 
Tanzania kwa sasa hivi ni kichwa cha mwendawazimu.Kwa sasa hivi rafiki yetu mkubwa na mdau wetu mkubwa wa maendeleo ni Zimbabwe!Huu ni uongozi wa namna gani sasa?Tunavyosema kuwa Tanzania inaongozwa na goigoi ni vyema tukaelewana kwanza kwenye hilo kabla ya yote.Yaani nchi masikini mdau wake mkubwa wa maendeleo na rafiki yake mkubwa wala siyo masikini kama yeye bali ni fukara!
1605847347.jpg
 
Kufikia January ndio utajua maisha yanaendelea na biashara imeisha. Tunahitaji kujenga uelekeo mpya wa upinzani na si kutegemea wanaharakati individual ambao wengine hata hamjui wana represent nini.

Chadema isingebadili mwendo toka walipoanza kushughulika na Zitto, Kafulila n.k leo CCM ingekuwa taabani au 2025 Chadema kutwaa dola.

hii imeambukiza mpaka wafuasi,nao wamekuwa wa kushangilia kila kitu hata wasichokielewa sawa sawa.

hapa taarifa zilizopo sio hizi wanazopigia vigeregere hapa[emoji16]
 
4. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa Serikali.
Hili ni pigo kwa Serikali ya CCM kwamba haiaminiki tena mbele ya macho ya mataifa... hii ni mbaya sana, sana. Sasa hawakawii kuitisha auditng kuona hizo pesa zilitumikaje - hili ni lao waache wapambane!! sisi tunatibu majereha kwa sasa, watuache.
 
Ungejenga hoja kwa kubainisha kuwa hayo yanayolalamikiwa na EU ni madai ya kutungwa/ uongo andiko lako lingekuwa na maana, ukiukwaji wa haki za binadamu, ubinyaji wa hiyo demokrasia(kwa nini tulikubali kuwa na vyama vingi ilhali uchaguzi unabakwa) lkn pia usiifananishe Tanzania ya Mwalimu na ya sasa ktk nyanja ya umoja wa kitaifa na uzalendo ambayo kwayo ilikuwa rahisi kuwaunganisha watanzania ktk nyakati ngumu. Kuna kundi kubwa la watanzania kwa sasa ambao mioyo yao inavuja damu, hawa wako tayari kushirikiana na mtu yeyote kulijeruhi taifa
 
Halafu nilimsikia mchangiaji mmoja jana kwenye EU akisema kuwa Tanzania inyimwe misaada kwa sababu ya kufuga magaidi kusini mwa Tanzania. Kumbe wale magaidi wanaofugwa na serekali pale Mtwara wana athari kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom