Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Wewe Utopolo tumechukue ili kurudisha mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni. Hivyo hawatudai hata senti moja ya hizo pesa walitoa kwa hiari yao.

Mkuu thread yako imebuma ulisema eti Bunge la EU limeadhimia ule utopolo wako wakati si kweli bali ni mjumbe mmoja beberu wa Lissu na bwana yenu Amsterdam ndiyo waliwaletea utopolo na wewe ukakimbia kuposti humu JF sasa naona unaabika kiume. Pole sana mkuu.
Kwa hiyo hilo ndio jibu lenu????? Sasa subiri uone matokeo 😂😂
 
MPAKA SASA HAKUNA TAMKO RASMI LA VIKWAZO AU MALALAMIKO YA MATUMIZI YA PESA YA COVD 19. TOKA UMOJA WA ULAYA. MICHANGO YA WABUNGE SIYO TAMKO LA BUNGE
 
Propaganda mfu zimeshabuma,kuwaambia watu timamu sijui ushoga kama sababu ni dharau ya hali ya juu!
We both know kwanin nchi imefika hapa tulipo!Hizi danadana ni kazi bure,we know why!
Kwani hatujui hizi propaganda zenu zilianza awamu ya JK na wabunge mnawatumia ni walewale?
 
Nchi hii ni ya wavuja jasho ambao wanapambana usiku na mchana kujenga nchi.

Kuna wahuni wachache kwa maslahi ya matumbo yao na vijisenti kidogo wanataka kurudisha nyuma.

Wapuuzi sana
 
Hatuwezi broo.. Izo ni mbwembwe za Bongo comedy. Hapa wakiamua kutukazia mtarudi kwa mlango wa nyuma kupiga magoti na kulamba miguu turudishiwe misaada..
Na wameshasema sasa waiangalie Tanzania kwa umakini zaidi. Hakuna mambo ya kwenda kwa back door tena
 
Naona unanaribu ku bend objective ya tamko lenyewe. Swali ni simple hela zilitumika wapi wkt corona tulikuwa hatuna?
Fedha ziliombwa kukabili athari za baada ya corona kwisha yaani huyo aliyetoa tamko ameuliza swali wakati alitangulia kutoa jibu.
 
Kwa hiyo Euro Mil 27 hamkuwai kuomba??? Uko lumumba mmejaa certified vilaza eeeh???
Kuna kilaza zaidi yako? Thread yako imebuma! Hakuna cha azimio la EU wala nini bali ni utopolo tu wa mbunge mmoja kama ambavyo hapa TZ wabunge wenu walivyokuwa wanatoa utopolo bunge lililopita.
 
Usije ukajidanganya kumwegemea mchina unapokuwa matatizoni, mchina atakusukumizia kwenye matatizo makubwa zaidi.
Jivike fikra lakini mtafiti mchina vizuri.
Sisi tunataka kujitegemea siyo kuegemea kwa mtu kama wana CHADEMA wanavyolilia
 
HAWA HAWA MAPUMBAVU YA LUMUMBA WALIWAHI KUTUAMBIA TANZANIA INA VIWANDA ELFU 8000 NA WAKATI GERMANY INA VIWANDA ELFU 4000 TU.

Tanzania ni kubwa kuliko Germany Hadi kwa viwanda????

MMEPOTOKA
RUDISHENI HELA YA WANAUME
Tanzania ni Taifa kubwa
 
Dada unabwata sana!!

Halafu hunijui, ungenijua wala usingenijumlisha kwenye hizo pumba zako za kimalaya malaya!!

Nani anadekadeka? Nimfwate Lissu wapi?

FYI nipo ulaya na nilikuja hapa 15 years back as a top diplomat. Nikaingia kwenye highest reputable international organization ktk top positions.

Mimi ni supporter wa mageuzi ideologically na usije ukafikiri nategemea upinzani uje ubadili maisha yangu kama wewe unavyomtegemea Magufuli ayabadili maisha yako yaliyojaa dhiki na taabu tupu!!

Pole sana!!
Mkuu Lusungo

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kama mnajitegemea mngetembeza bakuli kuomba hela huku mkisema kuna corona wakati mmejitangaza nyie ni corona free
Sisi tunataka kujitegemea siyo kuegemea kwa mtu kama wana chadema wanavyolilia
 
Kama mnajitegemea mngetembeza bakuli kuomba hela huku mkisema Kuna corona wakati mmejitangaza nyie ni corona free
Tulienda kuomba au wao ndio walileta?..

Zile ziko katika sera zao na wakileta hatukatai. Ila hakuna mtu kaenda kujibebisha kwao ili kutaka msaada kama Lissu alivyofanya
 
  • Thanks
Reactions: nao
Sasa ndo mtajua kuwa walitoa kwa hiari au la!!
Tena waambie.... Kiendacho kwa mganga hakirudi
Kwani wao wamechukua vingapi Africa wasivyoweza kulipa wala kufidia maumivu yake.

Screenshot_20201118-222615.jpg


Watanyooka this time
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tulindie rais wetu MAGUFULI John Pombe Magufuli
 
Tulienda kuomba au wao ndio walileta?..

Zile ziko katika sera zao, na wakileta hatukatai. Ila hakuna mtu kaenda kujibebisha kwao ili kutaka msaada kama Lisu alivyo fanya
Sasa subiri utajua kuwa mlienda kuomba au waliwaletea bila kuomba
 
Tena waambie.... Kiendacho kwa mganga hakirudi
Kwani wao wamechukua vingapi Africa wasivyoweza kulipa wala kufidia maumivu yake.

View attachment 1630390

Watanyooka this time
Mungu ibariki Tanzania, Mungu tulindie rais wetu MAGUFULI John Pombe Magufuli
Huyu Lord dening inabidi Mbowe sijui ampe cheo gani maana ana mawenge ya kushindwa
 
Sawasawa. Nakutonya tu, kuna la ICC lipo njiani. Hili ndo lazima mavi yagonge pichu
Na hilo nalo utasubiri sana! Mara 2025 kama utakuwa hujafa na stress. Kila unapogusa unagonga ukuta. Mlisema Lissu lazima awe Rais, Watanzania wakawanyoosha mara maandamano tena watz wakawanyoosha umekuja na Azimio fake la EU nalo umenyooshwa sasa naona umehamia ICC na huko utanyooshwa tu karibuni. By the way Watz hatubabaishwi na mabeberu mkuu bali wao wanajipendekeza kwetu kwa kuwa wanajua na raslimali za kutosha.

Umesikia huko Rukwa tuna Hellium ya kusupply dunia nzima for 25 years!!? Halafu useme watuwekee vikwazo kwa ujinga wa beberu Amsterdam na Lissu? Are you serious!!?
 
Kumbe Serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.

Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.

Zile calculations walizopiga Ndugai na Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu zimefeli miserably.
Unahisi hivyo vipimo.. zile response teams.. zinaoperate vipi
Vipi kuhusu athari ambazo sii za moja kwa moja kama kushuka kwa biashara nk?
 
Back
Top Bottom