Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Naona unajaribu ku bend objective ya tamko lenyewe. Swali ni simple hela zilitumika wapi wakati corona tulikuwa hatuna?
 
Hana lolote huyo utopolo mkuu. Sana sana ana stress za kushindwa uchaguzi wa 2020. Watasubiri sana hawa nyumb.
Nyie ndio mna stress za kuiba uchaguzi. Na wazungu wanavyowanyosha ndio mtaelewa yaaani
 
Washindwa uchaguzi, wameshindwa kuandamana, sasa wanaenda kushindwa na hao mabwana wanaowatumia

Mungu ibariki Tanzania
Mara hii unasema mabwana wenu??? 😂😂😂

Nyie mlipoenda kuwadanyanya wawape hela kwa sababu mna covid walikuwa nani zenu??
 
Nyie ndo mna stress za kuiba uchaguzi. Na wazungu wanavyowanyosha ndo mtaelewa yaaani
Kuna mzungu gani anatunyoosha sisi? Hivyo vitaarifa vyenu uchwara. Sikiliza hapa ili stress iongezeke tena mpaka ufe kabisa.
 
Kwa akili Kama za watu Hawa hivi kabisa tukabidhi nchi kwa wahuni hawa! Si itakua ajabu,Wana utoto labda wabalehe jamani.
Eti mkabidhi nchi??? Kwa hiyo mmeshaichukulia Tanzania ni Mali yenu binafsi??? Sasa subirini muone yajayo yanavyofurahisha. Jiandaeni na ICC, ipo njiani
 
Kwani kuna mtu kawarazimisha?
Wakati wanaleta hiyo pesa waliiwekea hayo masharti wanayodai masi.tukaridhia au walikaa kimya na badae kuleta ujinga wao?

Kama mtu anaweza kukupa pesa kwa mkopo au kukusaidia kisha unapotaka kumuingilia mkeo chumbani anakuja kukukoromea huo utakua ujinga mkubwa,
Walizoea kufanya hivyo huko nyuma sasa wanadhani bado tupo katika umasikini zaidi.
Wanapsswa kujiheshimu.
Mfano wako hauna mashiko labda kama "your intention is to provoke others", lakini yote kwa yote basi viongozi wako wapunguze kupenda vya bure vina gharama zake.
 
Hata Ulaya kuna wabunge njaa kama Lema na Sugu! Acheni kuwa na phobia za uzungu!
 
Mambo wamebadilika mkuu, enzi za mikataba ya bagamoyo sio hizi, Zimbabwe sio Tanzania ya sasa mkuu
Mchina amebadilika?
Tutakapokuwa hatuna namna nyingine zaidi ya kwenda kwa mchina ndipo utakapomjua vizuri mchina.
Mataifa makubwa yenye uongozi thabiti yamemshindwa huyo mtu. Yeye anajitanabaisha kufanya maendeleo bila vita lakini China pengine kwa sasa ndilo taifa linaloongoza kwa kasi ya ujenzi wa mitambo ya nyuklia.

Stratergy za China unazielewa?
 
We Fala kuwa shoga ni uamuzi wako , we kama Unahamu ya kuingiziwa muhogo na kushikishwa ukuta ni uamuzi wako hamna anayekuzuia , jikite kwenye mada mbwa wewe
Wewe umekosa hela mfukoni unajielekeza kuwaabudu wazungu, nenda ukalime kijijini huko
 
Hata tulipokuwa tunawaambia Amsterdam atamharibia Lisu na kupata chini ya 20% mlikuwa mnataukana.

Sasa suburini ujionee kama hao EU wataigeuza tz kuwa Zimbabwe kama mnavyoaminishwa ujinga
Huoni vitu vinapanda bei onesha mpango wenu wa kuvishusha
 
Back
Top Bottom