Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

HAWA HAWA MAPUMBAVU YA LUMUMBA WALIWAHI KUTUAMBIA TANZANIA INA VIWANDA ELFU 8000 NA WAKATI GERMANY INA VIWANDA ELFU 4000 TU.

Tanzania ni kubwa kuliko Germany Hadi kwa viwanda????

MMEPOTOKA
RUDISHENI HELA YA WANAUME
 
Lisu mbona amehamia huko ili azile vizuri?

Uliona mtu kaenda kuomba huo msaada? Si walileta wenyewe?

Wajinga nyie,! Na bado hata mkijibebisha kwa akina Amsterdam hamtambulia kitu na mtashuhudia tz hiu ikiendelea kustawi
Onesha ustawi unahadithia kama Manara
 
HAWA HAWA MAPUMBAVU YA LUMUMBA WALIWAHI KUTUAMBIA TANZANIA INA VIWANDA ELFU 8000 NA WAKATI GERMANY INA VIWANDA ELFU 4000 TU.

Tanzania ni kubwa kuliko Germany Hadi kwa viwanda????

MMEPOTOKA
RUDISHENI HELA YA WANAUME
 
Wanaishi kwa kukariri.

Hadi 2025 wataenda wakiwa wajinga hivi hivi
Usije ukajidanganya kumwegemea mchina unapokuwa matatizoni, mchina atakusukumizia kwenye matatizo makubwa zaidi.
Jivike fikra lakini mtafiti mchina vizuri.
 
Mfano wako hauna mashiko labda kama "your intention is to provoke others", lakini yote kwa yote basi viongozi wako wapunguze kupenda vya bure vinagharama zake.
Na ndio maana tunapambana kujitegemea na sio wale wanaoamini kuwa bila hao wazungu sisi hatuwezi kitu.
 
Mara hii unasema mabwana wenu??? 😂😂😂

Nyie mlipoenda kuwadanyanya wawape hela kwa sababu mna covid walikuwa nani zenu??
Sisi hatujawahi omba pesa toka hao mabwana zenu walitoa wao tu kama msaada. Hukumsikia Rais alisema hatachukua mkopo kama wanataka wasimamishe malipo ya kila mwezi ya mikopo kwa muda. Lakini wao mabwana zenu wakatoa vipesa viduchu kama msaada. Ulitaka tukatae wakati tunarudisha mali zetu walizotuibia miaka mingi nyuma ikiwemo wakati wa ukoloni.
 
Kwa hiyo Euro Mil 27 hamkuomba???? Kumbe wewe ni certified kilaza acha nikuache tu😂😂
 
Mchina amebadirika?
Tutakapokuwa hatuna namna nyingine zaidi ya kwenda kwa mchina ndipo utakapomjua vizuri mchina.
Mataifa makubwa yenye uongozi thabiti yamemshindwa huyo mtu. Yeye anajitanabaisha kufanya maendeleo bila vita lakini China pengine kwa sasa ndilo taifa linaloongoza kwa kasi ya ujenzi wa mitambo ya nyuklia.
stratergy za China unazielewa?
Mtanzania amebadilika mkuu, waulize EU wakueleze😂😂😂😂😂
Hatuhitaji mchina abadilike ila tunahitaji kujua tunachokitaka kwa maslahi ya taifa
 
Kama tamko halisumbui mbona unahangaika sana tangu jana, kama mmekula pesa za mashoga mtazirudisha tu kwa njia yeyote ile.
Thank you. Hao wanaoitwa "Magasho" wamevuja jasho kutoa kodi zao halafu huku bongo watu wale tuu kirahisi, warudishe. Hayo maendeleo wayafanywe kwa jasho letu, kama hawajarudi kwa magoti kwa mlango wa nyuma kuomba msaada. Lumumba kwa mbwembwe hahahaha
 
Onesha hiyo dira
Amewezaje kuviweka sawa
Food
Clothes
Shelter
Kila mtu ashinde mechi zake wewe umewekeza katika nchi kuwekewa vikwazo mimi nipo katika imani ya MAENDELEO makubwa miundo mbinu, kuongeza ajira kwa vijana kwa kuhakikisha viwanda vinastawi, Kuboresha sekta ya afya na mengine mengi mazuri yanayokuja...ila nyie mpo bunge la Ulaya ni utumwa mkubwa wa fikra.
 
Kwa iyo Euro Mil 27 hamkuomba???? Kumbe wewe ni certified kilaza acha nikuache tu😂😂
Wewe Utopolo tumechukue ili kurudisha mali zetu walizotuibia wakati wa ukoloni. Hivyo hawatudai hata senti moja ya hizo pesa walitoa kwa hiari yao.

Mkuu thread yako imebuma ulisema eti Bunge la EU limeazimia ule utopolo wako wakati si kweli bali ni mjumbe mmoja beberu wa Lissu na bwana yenu Amsterdam ndiyo waliwaletea utopolo na wewe ukakimbia kuposti humu JF sasa naona unaabika kiume. Pole sana mkuu.
 
Na ndio maana tuapambana kujitegemea na sio wale wanao amini kuwa bila hao wazungu sisi hatuwezi kitu,
Hatuwezi broo.. Hizo ni mbwembwe za Bongo comedy. Hapa wakiamua kutukazia mtarudi kwa mlango wa nyuma kupiga magoti na kulamba miguu turudishiwe misaada..
 
Back
Top Bottom