mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mchina atatufilisi kabisa na mikataba yake ya kitapeli.
Umeshau masharti ya mkataba wa bandari ya Bagamoyo?
Tujiandae tu kuwa kama Zimbawe ya Mugabe.
Mambo wamebadilika mkuu, enzi za mikataba ya bagamoyo sio hizi, Zimbabwe sio Tanzania ya sasa mkuu