Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

No woman no cry. Mwanamke akikosea malezi Bora utotoni uzalishaji bomu ukubwani ambalo huleta laana na si baraka katika Jamii hata kuisumbua dunia ikiwemo kuingia gharama za kuhudumia wakimbizi tu sababu ya mwanamke mmoja kukosea kwenye malezi.
 
Kati yako wewe Tanzania na umoja wa nchi za Ulaya nani anamuhitaji mwenzie sana!?
Watanzania wenzangu hapa ni kwamba haya yanayo endelea ni madrama wanatuigizia ni waambie tu wazi siku zote hakuna mtu atakupendelea mema ana taka uwe ombaomba siku zote wanaogopa tz itapiga hatua kubwa sana kwayo wanajaribu kutafuta sababu na kutuba ubaya ili watuandame tusikubali hata kido go kuonewa tuipambanie nchi yetu kwa umoja na mshikamano na hata Hivyo wangekua wanataka kuhukumu wangekuja kuchukua maelezo ya pande zote na si kusikiliza maneno ya kinasarungi peke yake kwani wanajulikana sio wazalendo wa kweli
 
sina lolote mimi au hao mnawaowaita mabeberu!?
Huyo mwakilishi/mbunge wa EU aliuliza swali na viongozi wa EU wameshamjibu. Yale yalikuwa majadiliano kwenye Kamati ya Bunge la EU kama ambavyo Kamati za Bunge letu zinavyojadili mambo na baadae kupatiwa majibu. So it ks not big deal mkuu.
 
Anapepesuka huyo acha aanguke akiinuka akili itamkaa sawa
Si lzm uende mahali kuchukua taarifa Hali Lila KITU kinapatikana kwa ushahidi toshelevu. Pesa za Jamii iliyoelimika na kustaarabika huwa aitolewi kwa madikteta ili ikaumize watu.

Punguzeni wabunge maslai ili tufidie gap la kunyimwa misaada
 
Hili jambo sio la kufurahia hata kidogo haijarishi wewe ni chama gani.

Nchi yetu ikiwekewea vikwazo basi hakuna atakayesalimika sio ccm wala chadema ni wananchi wote sasa sijui mnafurahia nini.
 
Tujiandae kuona wapinzani wakiteuliwa nafasi za ubunge ili kuyalizisha mabeberu
 
Kufanya nin.? Covid mlitangaza hamna
Kwani kulikuwa hakuna mahitaji yaliyokuwa yanahusiana na Covid-19? Pia elewa kuwa hizo pesa zilikuwa zinasimamiwa na hao hao EU na ndiyo maana huyo mjumbe amewauliza viongozi wa EU ambao tayari wameshamjibu huyo mjumbe. Pia elewa huyo mjumbe ni sawa tu na kama ambavyo walivyokuwa wanauliza wakina Mdee Bungeni wala siyo resolution ya Bunge la EU!
 
Tujiandae kuona wapinzani wakiteuliwa nafasi za ubunge ili kuyalizisha mabeberu
Hakuna kitu kama hicho mnahangaika sana! Yaani mjumbe mmoja tu wa EU mnafikiri ni Resolution ya Bunge zima la EU. Uelewa wenu ni zero kabisa!!
 
Mkuu compliance ni ya TZ.... Maana EU yenyewe imekupa pesa ww umetia saini. So wakati wa evaluation kma huu ndio wanakumbushana kwamba huyu uliyempa pesa hajafuata masharti. Ssa wa kujustify ni EU au aliyekiuka masharti?
Maswali yote yameelekezwa kwa watendaji wa EU sio serikali ya Tanzania. Fedha imetoka OCT, GOT imesimamisha kutoa takwimu tokea MAY na wao EU walijuwa hivyo lakini wakaendelea na msimamo wao wa kutoa fedha, inamaanisha kulikuwa hakuna masharti ya kugeuza msimamo wa GOT.
 
Kipindi hicho wazazi wako kule kijijini utawaamishia nchi gani?

Tanzania ikiwekewa vikwazo, tutakaangika sisi wa hali ya kati pamoja na wahali ya chini kabisa, kipindi huyo unae mchukia yeye akiendelea kula bata.
Kwa hiyo unacho furahia ni sumu, wenda ikapita na wewe.
Wewe bado mtoto, endelea na shule. Tulioibiwa kura na kuletewa viongozi walioshindwa tunatamani vikwazo hata vianze leo ili watanzania wajinga wajue kuwa haki ya mtu haipotei. Haiwezekani aliye shindwa atangazwe mshindi. Acha vikwazo vije ili akili ziwakae sawa.
 
Hakika mama D umenena.
Wafanye watakalo lakini mambo ya familia yetu sisi watanzania wamwachia mamaTanzania
Hiyo misaada yenye masharti ndio inayoimaliza Africa

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli
 
Wazungu hawataki ujingaujinga wa mtu mmoja mkuda asiyejitambua.
 
Huna lolote utaishia kubweka tu huku kuanzia boxer Hadi shati lako ni Mali za wazungu, wewe mali yako hapo ni ngozi ya mwili wako tu.


Halafu vidonge, teknolojia yoyote Ile hata hiyo simu yako na ukimwi unaoougua wanakupa dawa za kufubaza makali halafu eti , ng'eng'e ng'eng'e eee
Walichoweza wazungu ni kutufanya waafrika tuwaone wao ndio wana akili kuliko chochote, na kila wanachokifanya kipo sahihi. Hayamkini ndio maana tunaona anayejua kuongea kingereza ana akili na kasoma sana.
 
Huna lolote utaishia kubweka tu huku kuanzia boxer Hadi shati lako ni Mali za wazungu, wewe mali yako hapo ni ngozi ya mwili wako tu.


Halafu vidonge, teknolojia yoyote Ile hata hiyo simu yako na ukimwi unaoougua wanakupa dawa za kufubaza makali halafu eti , ng'eng'e ng'eng'e eee
hehehehehehe....alafu nini mkuu
 
Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri

Tujiandae kwa mengi naiona Tanzania kwa mbali inakuwa kama zimbabwe [emoji1269]
Yaani ukiona kimya kingi cha Tundu Andipas Lisu na kile alichotendewa katika uchaguzi huu sasa tutaona hayo madhira yakiwa applicable katika maisha halisi ya wananchi. Uongozi ni diplomatic sio nguvu wala kejeri its like drafts vile.
 
Ngoma inogile!

Hapo pia kuna uwezekano wa nchi moja moja kuja na maamuzi yake mbali na yale yatayokubaliwa na EU.

Bado US nao kukamilisha shughuli.

Sitashangaa Benki ya Dunia nayo ikasitisha kutoa mikopo.

Sasa itakuwa ni zamu yao kuandamana kwenda Ulaya na Marekani kutafuta suluhu.

Kweli kadri giza linavyozidi, ndivyo nuru inakaribia.

Je, kuna watu watapigwa chini katika kutafuta suluhu na kuridhisha wahisani?Tusubiri.

NB:Media za kibongo haziwezi kutangaza hizi habari, na hata wakitangaza, basi itakuwa ni kwa kugusigusia tu tena kwa uoga mwingi-ndio tulipofika na sio kosa lao.
Ndio nyie muitwao watu pumbavu,malofa,wapuuzi,
mtu km wewe unafurahia nini sasa hapo ukute unamiliki banda la kuku wa kienyeji,kanyumbaa hakijamalizika na watoto kibao na maybe laptop au desktop au unashinda cafe.
Bil 75 kwa nchi yetu hiyo ni pesa ya chai,
Brittain wapo hawana abari hiyo wanaweza toa mara 10,yupo mchina,yupo mrusi,na huyo aliytoa hiyo kauli atapewa onyo na wenzie kwa taarifa yako.
endelea kuwanga
 
Na mataendelea kuwa wajinga tu!

Mnakaa mnadeka deka hapa eti ni yeye,

Haya ni yeye wenu ndio huyo kakimbilia aliko beberu wake na nyie mfuateni huko.
Dada unabwata sana!!

Halafu hunijui, ungenijua wala usingenijumlisha kwenye hizo pumba zako za kimalaya malaya!!

Nani anadekadeka? Nimfwate Lissu wapi?

FYI nipo ulaya na nilikuja hapa 15 years back as a top diplomat. Nikaingia kwenye highest reputable international organization ktk top positions.

Mimi ni supporter wa mageuzi ideologically na usije ukafikiri nategemea upinzani uje ubadili maisha yangu kama wewe unavyomtegemea Magufuli ayabadili maisha yako yaliyojaa dhiki na taabu tupu!!

Pole sana!!
 
Wanatamani Assad arudi ofisini ili awasaidie kujenga hoja . Its too late
 
Back
Top Bottom