Kwani wewe hutumia nini kufikiri kuwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuwapora ushindi unyanyasaji uonevu mateso kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu ni matendo mema? Wewe hutumia nini kifikiri hayo?kilaza ni wewe ambaye unadhani serikali ikikosa hizo pesa wewe atakayeumia ni magufuli[emoji16][emoji16][emoji16].
mnatumia nini kufikiri??
Kwani wewe hutumia nini kufikiri kuwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani kuwapora ushindi unyanyasaji uonevu mateso kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu ni matendo mema? Wewe hutumia nini kifikiri hayo?
Wewe ni mnufaika wa mgao wa pesa za corona na unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana umeanza kujitoa fahamu kidogo kidogo ukiamini utaukwaa uteuzi, Tambua kuwa laana za wapiga kura walioporwa haki zao hawatakuacha upate uteuzi kienyeji hivyo.Kumbe sio azimio la EU bali maoni ya wabunge wasiozidi watano [emoji41]. Alafu ajabu kuna wapigania demokrasia na uhuru wa maoni ukiwashauri mabandiko yao ya kishabiki huku wakiomba tuchangie mjadala kwa sababu ya video clip bila tamko rasmi la EU wanakublock[emoji41] lakini wanapigania demokrasia na uhuru wa maoni [emoji41].
Ndio maana wengine tunabakia humu JF tu, huko kwingine hawajazoea kuhojiwa kwa hoja na kuishia ku panic tu [emoji23] . Nilifikiri ni wachochezi wa fikra yakinifu kumbe nao wale wale huku Msondo kule Mlimani Park [emoji23]
Kufikia January ndio utajua maisha yanaendelea na biashara imeisha. Tunahitaji kujenga uelekeo mpya wa upinzani na si kutegemea wanaharakati individual ambao wengine hata hamjui wana represent nini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Lisu akiwa uwanja mwingine wa medani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wabweke tu watatulia wenyew
Alf raia tunachekelea na kushangilia kwel kwel duh! So sad
Sasa tumia Ubongo hata wa kuazima kwa Haji Manara uwakataze CCM waache wizi wa kura udikiteta uonevu mateso kwa wapinzani hutakaa uumize kichwa kusaka uteuzi kwa njia haramu za kishetaniinawezekana nikawa natumia ugoko,ila kufikiri misaada ikikata(kitu ambacho hakipo)atakayeumia ni magufuli,unakuwa umetumia matako.
Uteuzi tena [emoji23], mkuu wengine si wanasiasa ni watoa maoni tu. Sijawahi kumiliki kadi ya chama chochote.Wewe ni mnufaika wa mgao wa pesa za corona na unasaka uteuzi kwa njia haramu za kishetani ndiyo maana umeanza kujitoa fahamu kidogo kidogo ukiamini utaukwaa uteuzi, Tambua kuwa laana za wapiga kura walioporwa haki zao hawatakuacha upate uteuzi kienyeji hivyo.
Mkuu Wazungu wana Umoja sana hasa kwenye masuala ya "geopolitics" na wakiamua kuchukua hatua huwa ni "coordinated actions. Wameanza USA wamefuata EU. Sitashangaa kuona WB NA IMF wanatoa ya kwao.Tuna hali mbaya kifedha
Kufikia January ndio utajua maisha yanaendelea na biashara imeisha. Tunahitaji kujenga uelekeo mpya wa upinzani na si kutegemea wanaharakati individual ambao wengine hata hamjui wana represent nini.
Chadema isingebadili mwendo toka walipoanza kushughulika na Zitto, Kafulila n.k leo CCM ingekuwa taabani au 2025 Chadema kutwaa dola.
[emoji3] nimecheka sana[emoji1787][emoji1787]Pole pole ameshatoa majibu kua hela zile hazikhiva.View attachment 1630406
Hili ni pigo kwa Serikali ya CCM kwamba haiaminiki tena mbele ya macho ya mataifa... hii ni mbaya sana, sana. Sasa hawakawii kuitisha auditng kuona hizo pesa zilitumikaje - hili ni lao waache wapambane!! sisi tunatibu majereha kwa sasa, watuache.4. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa Serikali.