Mkuu ni kweli tutaumia wote lkn kuna watakaoumia zaidi. Haya yote siyo kwa bahati mbaya bali ni kwa makisudi kabisa Watawala wetu waliamua kuwaumiza Wananchi wao kwa lengo la kuwakomoa wengine.Watanyooka au tutanyooka pamoja na familia yako, ushabiki mwingine hauna maana hata kidogo, vitu vingine sio vya kushabikia kama tunavyoshabikia mpira wa Simba na Yanga...
Kwa vyovyote itakavyo Kuwa wachumia tumbo na walio mshauri vibaya Rais ndio tutalala nao mbele. Hatuwezi teseka ilihali Tunajuwa Rais anawashauri
Mambo yake yenyewe iweje kutwa unaomba misaada kwa Nchi zingine? Hakuna Serikali omba omba kama ya CCM, huomba misaada hata kwa Nchi za kiafrika zenye njaa, mfano ujenzi wa uwanja wa Soka wa Dodoma wameamba msaada kwa Nchi ya Morocco, CCM ni omba omba mno hata wakienda ulaya kutembeza bakuri huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu ufisadi wa CCM ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike.Tanzania ina uwezo wa kuamua mambo yake bila ya kuingiliwa na mtu, mbwa wala paka.
Utata wa kienyeji utata wa kishetani utata wa kishamba mwisho wake huwa Aibuhashauliki jiwe mtata sana
Utata wa kienyeji utata wa kishetani utata wa kishamba mwisho wake huwa Aibu
Mkuu ni wewe umeandika hivi leo? Ama kweli....Mpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka kidogo ingekuwa afadhali lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
Alitaka apite kwa kishindo wakati kiuhalisia angepita japo kwa margin ndogo maana pointi yake kubwa ya kupambana na covid na kutumia tu propaganda ya kusema Lissu katumwa vilimpa kura nyingi tu kutok kwa watu wasio na uelewa ambao ndio wengi,lakini pia alikuwa na nafasi ya kupata wabunge wengi kihalali kuliko kubeba hadi mizoga isiyofaa.Mpaka Leo najiuliza magufuli aliogopa nini kwenye uchaguzi mpaka kuchafua uchaguzi kiasi kile.?
Yaani Bora wale waliokamatwa na zile kura feki wangefunguliwa mashtaka kidogo ingekuwa afadhali lakini mnawalinda kwanini mnawalinda?
Sio huyo tu Kuna idadi kubwa mkuu.Huyu Lord dening inabidi Mbowe sijui ampe cheo gani maana ana mawenge ya kushindwa
Hata akikuambia haita kusaidia kitu maana mmelishwa kiapo kuwa channel zenu ni tbc na channel tenUmeangalia kupitia chaneli gani mkuu?
Ungeyajua hayo usingekuwa unahujumu haki ya washindani wako maana walikuwa wanaleta sera mbadala ya sera zako lakini kuwahujumu hadi kufikia hatua ya kutaka kupoteza maisha yao ilivuka mpaka,kwa sasa ni kila mtu apoteze na augulie kivyake.Hovyo Kabisa. Mazuzu wanaojitekenya na kujichekesha wenyewe wanatia kichefuchefu!
Wanashindwaje kujua km hatua zozote za kuihujumu Tanzania na raia wake, zitamuathiri hata yeye na jamaa zake, kwa namna moja ama nyengine!
Wakati huu ambapo tunajitambua kuwa maendeleo yetu lazima yaletwe na jitihada za sisi wenyewe, badala ya kutegemea bakuli la wafadhili ni muhimu kila raia kuunga mkono jitihada hizo, na kuwa mstari wa mbele kutetea uhuru wetu kama taifa na utashi wetu kama binaadamu. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako!
Ndiyo maana walikuwa wanawalazimisha cdm kupeleka wabunge wa viti maalumKumbe Serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.
Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.
Zile calculations walizopiga Ndugai na Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu zimefeli miserably.
Tena ukiacha hizo pesa za EU kuna nchi moja moja zinatoa sana misaada kwa Tzn,watu wengi hawajui moja ya nchi zinazopokea pesa nyingi za msaada hapa afrika Tzn inaweza kuongoza mfano miradi mingi ya maji inafadhiliwa kwa pesa za mkopo wa masharti nafuu au msaada na Ufaransa,Japan inatoa msaada wa directly kwenye miundombinu,nchi za Nordic ziko kwenye elimu na huduma zingine za afya pamoja na marekani..... kumbe Mpango na timu yake walidaka fedha za COVID-19 huku nchi ikiwa haina COVID. Nchi ya matapeli hii!
Hapana ila sisi tulipewa huo msaada na kuupokea kwa ajili ya kupambana na covid 19. Jaribu kusoma na kuelewa.Kwa hiyo wanataka tuwe na Corona?
Hata mimi nawashangaa CCM, nguvu wangetumia huko zenji huku bara wangeshinda tu.Wapinzani wangekuwa Dhaifu msingekuwa mnahaha kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote, wapinzani wapo vizuri ndiyo maana wananchi huwapa kura kisha NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm huwapora kienyeji kwa njia haramu za kishetani na kuisimika CCM madarakani bila ridhaa idhini ya watanzania .