Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia!Regime Wawe Makini Maana Hakuna Corona, Je walipata wapi ujasiri wa Kulamba Hera za Wazungu. Na je ndizo zilitumika kuchapisha Kura zile zilizagaa Mtaani ambozo POLEPOLE alisema ni za Chadema walitaka Kuvuruga Uchaguzi. Kura Feki Zilizagaa Ntaani hadi kero..
Sasa kama watafurahishwa na uamuzi wa wazungu, je itawasidia nini wao ktk kutimiza adhma zao?Hatua hii itafurahisha wengi hasa kwakuwa CCM imeligawa mno taifa hatuna umoja Tena madhila waliyofanyiwa wapinzani ndio yanaliumiza taifa kusema ukweli wale wote ambao kura zao ziliibiwa na wote wanaopenda demokrasia na walioumizwa na Mambo aliyofanyiwa lisu ben sanane azory mdude mbowe nk watafurahia hii hatua wataona huu ndio ushindi wao maana ule wa sanduku la kura umeporwa kimsingi ni jukumu la usalama wa taifa kuliponya taifa kwa kuchukua hatua za haraka anaeumia ni mama Tanzania Wala sio viongozi wa CCM. Hii ni habari njema sana no matter what kwa waliowengi.
Ili twende sawa katika kuiponya nchi lazima tuwe wazi. Tueleze kile kilichofanywa na polisi hadi wananchi wahalalishe kumtoa uhai mlinzi wao. Maana kwenye ugomvi hata mume anaweza kumng'a mkeo kama mbwa.Kumchinja Askari na kunyang'anya bunduki yake ni tendo la kinyama kabisa..kilichotokea kabla ya tukio hili kamwe hakiwezi kuhalalisha kitendo hiki kiovu na Cha kishetani...na hii siyo Mara ya Kwanza kwa unyama huu kufanyika huko Pemba...
Sidhani kama neno kulazimisha lina ukweli wowote. Kama hufanyi testing huwezi jua kama tatizo lipo au halipo. Au umejuaje kama halipo ? Mie naishi kwenye maeneo ambayo ni hotspot za corona virus.Sasa mbona wa Eiropeani wanataka kutulazimisha sisi tukubali kuwa Tanzania kuwa na Covid-19? Ukweli mbona unaonyesha dhahiri kuwa sio tu Tanzania bali ni Afrika kwa ujumla hakuna Covid-19. Na kama ipo basi isadi ya qatu wanaokuga kutokana na janga hili ambalo limeikumba dunia ni sawa tu na idadi ya waru wanao kufa kwa magonjwa mengine kama Malaria na HIV?
Ushahidi wangu huu hapa;
Kuna tatizo. Huwezi kubadili matumizi ya hizo fedha bila ya kupata idhini ya mtoa pesa.Ni elimishe jambo, Je kunatatizo kupokea msaada kwa ajiri ya kupambana na Covid-19 afu tunabaini ya kwamba Covid-19 haipo, kisha tukaamua kubadirisha matumizi ya pesa hizo?
Hakuwa Mkaidi.. alikuwa anajitambua na hakuwa tayari mtu adictate maisha yake kisa misaada.Nyerere alisha wahi kurudisha msaada wa fedha na kukataa misaada mingine kutoka Jumhuri ya Shirikisho la Ujerumani baada ya kupewa sharti la kuvunja uhusiano na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Ujerumani...
Uchaguzi Mkuu ulishaisha, JPM anaongoza tena miaka mitano (5). Jambo hili kila mtu hana budi kulikubali na kuishi nalo.
Ndio mnaamua kuwapiga risasi,kuwateka au kuwaua?Kama unategemea kuumia wote basi tegemea kuumia wachache tena sana.
Msikilize balozi wetu Belgium utapata habari mpya.
Hao wapinzani washindwe kuheshimu mamlaka wawe wanatukana tu mamlaka wanavyojisikia halafu serikali ikae tu kimya kwa kigezo cha demokrasia!!.
Hizo ni kura feki?Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia!View attachment 1630618View attachment 1630619View attachment 1630620
Ndiyo,ni kura fakeHizo ni kura feki?
Hao jamaa walizitoa wapi?Ndiyo,ni kura fake