Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Regime Wawe Makini Maana Hakuna Corona, Je walipata wapi ujasiri wa Kulamba Hera za Wazungu. Na je ndizo zilitumika kuchapisha Kura zile zilizagaa Mtaani ambozo POLEPOLE alisema ni za Chadema walitaka Kuvuruga Uchaguzi. Kura Feki Zilizagaa Ntaani hadi kero..
Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia!
709081.jpg
12460.jpg
098765.jpg
 
Hatua hii itafurahisha wengi hasa kwakuwa CCM imeligawa mno taifa hatuna umoja Tena madhila waliyofanyiwa wapinzani ndio yanaliumiza taifa kusema ukweli wale wote ambao kura zao ziliibiwa na wote wanaopenda demokrasia na walioumizwa na Mambo aliyofanyiwa lisu ben sanane azory mdude mbowe nk watafurahia hii hatua wataona huu ndio ushindi wao maana ule wa sanduku la kura umeporwa kimsingi ni jukumu la usalama wa taifa kuliponya taifa kwa kuchukua hatua za haraka anaeumia ni mama Tanzania Wala sio viongozi wa CCM. Hii ni habari njema sana no matter what kwa waliowengi.
Sasa kama watafurahishwa na uamuzi wa wazungu, je itawasidia nini wao ktk kutimiza adhma zao?

Nani atakae umia kati yao,magufili na raia wa kawaida?Je magufuli atajiuzuru uraisi?
 
Kumchinja Askari na kunyang'anya bunduki yake ni tendo la kinyama kabisa..kilichotokea kabla ya tukio hili kamwe hakiwezi kuhalalisha kitendo hiki kiovu na Cha kishetani...na hii siyo Mara ya Kwanza kwa unyama huu kufanyika huko Pemba...
Ili twende sawa katika kuiponya nchi lazima tuwe wazi. Tueleze kile kilichofanywa na polisi hadi wananchi wahalalishe kumtoa uhai mlinzi wao. Maana kwenye ugomvi hata mume anaweza kumng'a mkeo kama mbwa.

Hata mjumsi ukimkibiza sana anaweza kugeuka nyoka , hata paka ukipiga sana kwenye chumba kilichofungwa mlango anaweza kugeuka chui. Ili tupime tupate picha ya pande zote
 
Sasa mbona wa Eiropeani wanataka kutulazimisha sisi tukubali kuwa Tanzania kuwa na Covid-19? Ukweli mbona unaonyesha dhahiri kuwa sio tu Tanzania bali ni Afrika kwa ujumla hakuna Covid-19. Na kama ipo basi isadi ya qatu wanaokuga kutokana na janga hili ambalo limeikumba dunia ni sawa tu na idadi ya waru wanao kufa kwa magonjwa mengine kama Malaria na HIV?
Ushahidi wangu huu hapa;

Sidhani kama neno kulazimisha lina ukweli wowote. Kama hufanyi testing huwezi jua kama tatizo lipo au halipo. Au umejuaje kama halipo ? Mie naishi kwenye maeneo ambayo ni hotspot za corona virus.

Ni ukweli kama Tanzania na nchi nyingi za Africa covid-19 haliwezi kuwa janga kutokana na hali ya hewa yake kuwa ya joto. Hii inaweza kuwa na ukweli (sina uhakika kama ni fact joto na covid). Lakini sikubaliani na wazo la kutofanya testing. Bora kufanya testing na kuona kama zote ni negative ili kila mmoja ajue kama hakuna tatizo.
 
Unafiki wa Gentamycin Mara amsapoti Jiwe Mara amkandie au na yeye inategemea ameamkaje siku hiyo Kama mwenyekiti wake alivyo ?
 
Ni elimishe jambo, Je kunatatizo kupokea msaada kwa ajiri ya kupambana na Covid-19 afu tunabaini ya kwamba Covid-19 haipo, kisha tukaamua kubadirisha matumizi ya pesa hizo?
Kuna tatizo. Huwezi kubadili matumizi ya hizo fedha bila ya kupata idhini ya mtoa pesa.
 
Nyerere alisha wahi kurudisha msaada wa fedha na kukataa misaada mingine kutoka Jumhuri ya Shirikisho la Ujerumani baada ya kupewa sharti la kuvunja uhusiano na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Ujerumani...
Hakuwa Mkaidi.. alikuwa anajitambua na hakuwa tayari mtu adictate maisha yake kisa misaada.
 
Kumbe alijua kimbunga kinakuja ndio maana akamteua kabudi chap chap,unfortunately kabudi Hana uwezo huo wa kupambana ktk crisis kubwa ya kidiplomasia kama hii. Tumuangukie mzee wa msoga kwa hili.
 
Kwani wewe hujui kuwa zilinunulia yale ma-VX ya kijani?
 
"Watanzania mnahitajika mfundishwe uzalendo kwa lazima" kama wanavyofanya North Korea Maana hali inatisha sana

Nasemea uzalendo sio UCCM
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kama unategemea kuumia wote basi tegemea kuumia wachache tena sana.

Msikilize balozi wetu Belgium utapata habari mpya.

Hao wapinzani washindwe kuheshimu mamlaka wawe wanatukana tu mamlaka wanavyojisikia halafu serikali ikae tu kimya kwa kigezo cha demokrasia!!.
Ndio mnaamua kuwapiga risasi,kuwateka au kuwaua?
 
Back
Top Bottom