Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?
Nikikuambia hela ya Corona ndio tumefanyia uchaguzi how do you digest that?
 
Acheni kusingizia maadui wa JPM. Kulikoroga mlikoroge nyie alafu lawama muwape wengine.

Angalieni ni wapi mmekosea na kurekebisha na si kuleta ngebe zenu hapa.

Kama ni kukwama huyo mtu wenu anajikwamisha mwenyewe. Wenzake Mbona waliishi kwa akili na wapinzani??? Yeye ni nani ashindwe kuishi vizuri na wapinzani????

Na jiandaeni tu mwaka huu, kuna la ICC Hilo linakuja ndo mtaita Maji mmaaaa kabisa
 
Hata Kama hakuna Corona,pesa zimetumika zaidi kwenye Kinga! Na Kama ujuwaavyo Kinga ni bora zaidi kuliko Tiba!!
Pesa za corona ndizo zilinunua nyungu Tangawizi limau kwa watanzania?
 
Usisahau Watanzania siku hizi atubabaishwi na Nchi yoyote,ile Ukifunga na sisi tunafunga! Muulizeni Kenya Kabeberu kadogo tulivyomfanya mpaka nae aka surrender tena kwa kutubembeleza tumfungulie!!
 
Halafu Mungu alivyo wa ajabu ataendelea kuinua Tanzania kiuchumi bila kujari kelele za Mabeberu na mwisho kabisa ataendelea kuiepusha na majanga yanasumbua Dunia nzima.

Kilicho pangwa na Mungu kamwe hakiwezi kubadilika na Tanzania kwangu ndo Taifa teule lililoteuliwa na Mungu baada ya Israel ya Mussa na wengine kupita.

I love my country [emoji1241]
 
Punguza pressure bwasheee??? Mbona umepanic sana??? Na wewe ni mmoja wao nini??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ushauri wangu kwenu ni huu. Jiandaeni tu , Safari hii wazungu hawawaachi lazima muite Maji mmaaaaa
Huna mamlaka ya kutoa ushauri wewe kibaraka...stupid guy...ushauri endelea kumpa Amsterdam...this country will remain the same...and more actions are coming against you...we will prosper without you...nyie endeleeni kulala na wazungu..hatutageuka nyuma...
 
β€œWe have had a very difficult relationship with the government of Tanzania. We will reconsider Budget support unless we see a clear direction in the political environment β€œ - @HStausboll.
Kuanza kwa mchakato wa Tume hurru ya uchaguzi - na marekebisho ya Katiba - inaweza kusaidia wadau hawa wa maendeleo wakarudisha imani yao kwetu.
 
Usisahau Watanzania siku hizi atubabaishwi na Nchi yoyote,ile Ukifunga na sisi tunafunga! Muulizeni Kenya Kabeberu kadogo tulivyomfanya mpaka nae aka surrender tena kwa kutubembeleza tumfungulie!!
Kenya haina makao ya benk ya Dunia
 
Nimetuma ujumbe wako wa vitisho kuongeza ushahidi kwa wahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…