cyrustheemperor
JF-Expert Member
- Mar 13, 2015
- 293
- 354
Nikikuambia hela ya Corona ndio tumefanyia uchaguzi how do you digest that?Wanapiga kelele haki za binadamu wakati wanatuona sisi ni kama nyani, ata tujitawale wenyewe kama nyani. Tutapata hela kwa vyanzo vyetu wenyewe, tuliwaonyesha mfano kwa kukataa hela zao za kuendesha uchaguzi. Si uchaguzi ulifanywa ?