Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Wakate tu! Uhuru wetu kwanza mambo mengine baadae!
Uhuru wa CCM na si wa wananchi wote!Wapinzani hawako huru ndani ya nchi yao!Hawatendewi haki katika nyanja nyingi!Kwahiyo mimi kama mtanzania nasema mbinyo uongezwe maumivu tuyapate wote mpaka pale watawala watakapoona kuna haja ya kurekebisha hali ya demokrasia nchini!
 
Hivi wakati wa Kikwete,ushoga ulikuwa ruksa?Mbona hatukuona haya?Acheni kutafuta kichaka cha kuficha madhambi yenu!Watendeeni haki raia wenu wote bila kujali itikadi za vyama vyao!Uobevu wanaopitia wapinzani ndio imetufikisha hapa!
Hata wapinzani wakipewa haki bado kuna wapuuzi wenye kutaka kuiumiza nchi.

Kumbuka maneno ya Marehemu Mugabe aliposema kuwa wazungu wanahoji mbona CCM ipo mpaka leo.

Hawahoji mbona vyama vyao vipo mpaka kesho. Mzungu ukimuogopa sana anataka akupangie mpaka aina ya mashule ya kutumia usiku kitandani kwako.
 
Uchaguzi huu ulikuwa ni uhuni tu. Aibu tupu rais kuchaguliwa kwa kura za kwenye mabegi. Aibu sana huku kazima mitandao eti
Kumuibia kura Mbowe au Mdee? Hakuna kitu kama hicho.

Hayo ya kubambikia kesi na kuua mwalimu mkuu ni mzungu mwenyewe aliyemuua Lumumba miaka ya 1960 mwanzoni.

Mwalimu mkuu ni CIA anayewauwa marais wa dunia ya tatu kadri anavyojisikia.
 
Mkuu unajua ICC inachunguza kesi za aina gani?

Then hawa jamaa hawajawahi kuidiscuss Africa in a positive way....haijawahi kutokea.......

Inawezekana kama nchi kuna mambo hayako sawa,ila kama jamii forum ninayoamini wengi ni watu wa kufuatilia mambo na kuyaelewa vizuri,ila kuendelea kushangilia na kufurahia nchi kusemwa vibaya,ukidhani ndiyo maisha yako yatakuwa bora ni kujidanganya tu.....

Mabadiliko yanaanza na sisi WaTz wenyewe,hakuna wakutusaidia maana kila mtu anaangalia maslahi yake
Unalia nini?
 
Amani iwe nanyi tena wadau!!

Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU.

View attachment 1630138

Napenda tu kusema yafuatayo

1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe juu ya Tanzania ikiwemo kuondoa kabisa misaada yote ya kifedha kwa Tanzania

2. Mwenyekiti wa Kamati ametoa maelekezo umoja wa Ulaya sasa iuangalie Tanzania kwa jicho makini zaidi na kufuatilia kwa makini zaidi juu ya Tanzania na hali ya kutisha ya Haki kukandamizwa kwa Haki za binadamu na utawala Bora kunakoendelea Tanzania

3. Wamehoji hadi kwanini walitoa ahadi ya fedha kiasi cha Euro Mil. 27 za ku support harakati za kupambana na COVID19. Wamembana afisa wao kuhusu vigezo gani vilitumika kuona Tanzania inastahili kupewa hela hizo wakati Tanzania haifuati maelekezo ya WHO na wametangaza kuwa nchi iko covid free kutokana na sala.

4. Wamesema sasa waangalie kwa namna gani watatoa msaada wao na hela zao kwa vyama vya siasa vinavyotetea demokrasia na watetezi wa Haki za binadamu waliopo Tanzania na sio kutoa tena hela kwa Serikali.

Sasa kama EU wametoa maelekezo haya sijui ICC watasemaje 😂😂😂😂

Naomba waliopo kwenye list ya ICC wajiandae tu.

Soma pia > https://www.jamiiforums.com/threads...4-5-za-michango-ya-covid-19-zimeliwa.1786433/
A bushman era under EU deep concern. We have to prepare ourselves for an economic crisis. Zimbabwe in making with a huge budget deficit in offing.
 
Kama maazimio yenyewe ndo haya basi EU ni wasenge, walitakiwa wateguwe kitendawili cha uchaguzi sio msaada wa corona or human rights, wanazunguka mno bila majibu, human rights ni nyingi mno ambazo serikali inatekeleza vizuri, na chache ambazo hazitekelezwi vizuri, nimeona EU wana jichanganya wenyewe juu ya free and fair election na human rights.
 
Hata wapinzani wakipewa haki bado kuna wapuuzi wenye kutaka kuiumiza nchi.

Kumbuka maneno ya Marehemu Mugabe aliposema kuwa wazungu wanahoji mbona CCM ipo mpaka leo.

Hawahoji mbona vyama vyao vipo mpaka kesho. Mzungu ukimuogopa sana anataka akupangie mpaka aina ya mashule ya kutumia usiku kitandani kwako.
Kumbe unajua kuwa wapinzani hawatenewi haki?

Bora tuumie wote,sio kila siku wanaumia wafuasi wa upinzani kwa kutekwa,kupigwa,kubambikiziwa kesi,kupigwa risasi,kufungwa na hata kuuwawa!

Walau mbinyo ukiendelea kuwa mkali,wote tutapata maumivu!Na hiyo kwangu ni sawa mpaka pale uhuru na haki vitatamalaki kwa wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa!

Ni zaidi ya miezi minne sasa akina Nusrat Henje wako mahabusu kwa kuimba "mungu ibariki chadema......",wakati uvccm hakuna aliyeguswa japo na wao waliimba "Mungu mmbariki Magufuli. ....."

Bora tuumie wote,waongeze na vikwazo kabisa!
 
NASIKITIKA KUONA WAAFRIKA TULIVYO NA AKILI NYEUSI, NASIKITIKA KUONA HUU MPANGO NI WASISI WENYEWE, KITU CHA AJABU TUNAHISI HAO WHITE WANATUPENDA SANA
Magu kaharibu mwenyewe Tanzania hakuna mshikamano tena aisee, yaani tunaona bora tuungane na wazungu tu haya yote kasababisha mwenyekiti
 
Sasa mwaka huu ndo utajua ICC inachunguza kes

Haya ndiyo yalikuwa maelekezo ya umoja wa Ulaya ya matumizi ya fedha za COVID-19 kutoka european union?Yaani wewe badala ya kufuatilia maelekezo ya matumizi ya fedha za COVID-19 kutoka kwa waliotoa fedha zao unafuatilia maelekezo kutoka CCM?[emoji1782]
Wapumbavu wamejipendekeza wenyewe hizo pesa ni sawa na Tshs 74Bil tutawarudishia
 
Uchaguzi huu ulikuwa ni uhuni tu. Aibu tupu rais kuchaguliwa kwa kura za kwenye mabegi. Aibu sana huku kazima mitandao eti
Hizo za kwenye mabeki ni siasa chafu tu za kila wakati wa uchaguzi.

Magu alifanya sana kazi miaka mitano iliyopita na wenye kuipenda nchi wameiona hakuwa na haja wala sababu ya kucheza rafu.

Umuibie kura Lissu aliyekuwa kitandani hospitalini tangu 2017 ili iweje.
 
Kama maazimio yenyewe ndo haya basi EU ni wasenge, walitakiwa wateguwe kitendawili cha uchaguzi sio msaada wa corona or human rights, wanazunguka mno bila majibu, human rights ni nyingi mno ambazo serikali inatekeleza vizuri, na chache ambazo hazitekelezwi vizuri, nimeona EU wana jichanganya wenyewe juu ya free and fair election na human rights.
Usicho kielewa hapo ni nini bwashee
 
Uhuru wa CCM na si wa wananchi wote!Wapinzani hawako huru ndani ya nchi yao!Hawatendewi haki katika nyanja nyingi!Kwahiyo mimi kama mtanzania nasema mbinyo uongezwe maumivu tuyapate wote mpaka pale watawala watakapoona kuna haja ya kurekebisha hali ya demokrasia nchini!
Naamini wewe mtegemea cha mabeberu utaumia zaidi sisi tunaendelea kupiga kazi kama kawaida.
 
Magu kaharibu mwenyewe Tanzania hakuna mshikamano tena aisee, yaani tunaona bora tuungane na wazungu tu haya yote kasababisha mwenyekiti
Mtanyooka tu kwenye uchaguzi mlikuwa mnajipa moyo mtashinda lakini mkanyoolewa bila wembe! Hata kwenye hili myanyoolewa tu! No way!
 
Kumbe Serikali yetu ilipokea pesa za msaada wa Covid wakati sisi hatuna Corona, sasa watuambie hizo pesa zilipelekwa wapi? na kwanini tukawadanganya wazungu wakatupa pesa wakati sisi ni donor kantre.

Hali yetu huko nje ni mbaya, sasa hilo halina mjadala, sijui tutaweza vipi kuishi kama kisiwa, wakakataa kuwaacha Chadema waende bungeni, sasa wana msalaba mkubwa zaidi wa kuubeba aheri ya wapinzani wangekuwa bungeni.

Zile calculations walizopiga Ndugai na Magufuli kabla ya uchaguzi mkuu zimefeli miserably.
Malipo ya maovu ni hapahapa duniani. Watueleze hiyo pesa ya Covid-19 iliyosepa kwa sala imeenda wapi au viongozi wa dini walipewa sadaka?
 
Kumbe unajua kuwa wapinzani hawatenewi haki?

Bora tuumie wote,sio kila siku wanaumia wafuasi wa upinzani kwa kutekwa,kupigwa,kubambikiziwa kesi,kupigwa risasi,kufungwa na hata kuuwawa!

Walau mbinyo ukiendelea kuwa mkali,wote tutapata maumivu!Na hiyo kwangu ni sawa mpaka pale uhuru na haki vitatamalaki kwa wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa!

Ni zaidi ya miezi minne sasa akina Nusrat Henje wako mahabusu kwa kuimba "mungu ibariki chadema......",wakati uvccm hakuna aliyeguswa japo na wao waliimba "Mungu mmbariki Magufuli. ....."

Bora tuumie wote,waongeze na vikwazo kabisa!
Hakuna kitu.
 
Naamini wewe mtegemea cha mabeberu utaumia zaidi sisi tunaendelea kupiga kazi kama kawaida.
Ningekuwa nategemea cha beberu nisingefurahi kuona mbinyo umeanza!Naongeza sauti,mabeberu ongezeni mbinyo,ARV msitoe bure na serikali inunue😁😁!
 
Back
Top Bottom