Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

Kuna maisha tulipitia miaka ya 80 yalikuwa magumu mno!Na ninaanza kuona dalili za kuyarudia maisha hayo.Na kitu cha ajabu watanzania wengi wamekuwa na kiburi cha shibe wanajiona hawawezi kupata madhara.

Kuna kundi la vijana wamo kwenye siasa sasa hivi,hawakuonja joto la kipindi hicho na hivyo wana nadharia nyingi za darasani na wanajidanganya wanaweza kuzitekeleza katika uhalisia.

Mungu atuhurumie
Hawajui watoto wa juzi hawa. Sasa subiri watie adabu
 
kumnyang'anya askari bunduki na kumchinja sio jambo zuri na rahisi, lakini kuna njia yoyote tunayowezakufanya ili kuzuia jambo kama hilo lisitokee? mara nyingi watu hawaongelei matukio yanayosababisha jambo kama hilo la mtu kutokea kumchinja mlinzi wake na mali zake. Kabla ya tukio nini kilitokea?
Kumchinja Askari na kunyang'anya bunduki yake ni tendo la kinyama kabisa..kilichotokea kabla ya tukio hili kamwe hakiwezi kuhalalisha kitendo hiki kiovu na Cha kishetani...na hii siyo Mara ya Kwanza kwa unyama huu kufanyika huko Pemba...kumbukumbu zilizopo ni kuwa baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 watu kadhaa walivamia kituo Cha polisi huko Pemba wakawachinja polisi wawili Kama kuku wakavunja armoury na kutokomea msituni na silaha kadhaa...

Dola ikaingilia Kati watu kadhaa wakafa na wengine kwa mamia wakakimbilia Mombasa Kenya na kujiita Kama wakimbizu...lakini Jumuiya ya kimataifa haikuwatambua hao kuwa ni wakimbizi..huko London Uingereza baadhi wakafanya maandamano lakini ikawa bure..Tanzania remained intact.. Sasa uchaguzi wa mwaka huu 2020 maigizo yameanza Tena...but Tanzania will remain intact...
 
Umechanganyikiwa sana unatukana hovyo!

Hii ni dalili ya kukosa hoja.
Kumwita mtu mpumbavu, mjinga and uncilivilized au mshenzi siyo tusi...ni kumwambia ukweli kulingana na matendo yake....ila kumwita mtu mbwa, nyani na matusi ya nguoni hayo ni matusi..
 
Tatizo la vijana wengi ni kutumia nadharia za vyuoni kwenye maisha halisi.

Hivi kwa mawazo yako unaona kuna binadamu wa kujiuzulu hapa kweli?Hata kama nusu ya wananchi watakufa.

Hao wazungu waache kabisa mzaha, tunataka wakaze haswaa hadi huyu mtu ajiuzulu, tumechoka kudharauliwa na kufanywa misukule kwenye nchi yetu wenyewe.

Kitendo alichokifanya ni dhihirisho tosha kwamba hana kabisa heshima wala staha kwa wananchi wanaowaongoza.

Huyu hakufaa na wala hafai kabisa kuwa rais wa nchi stahiki yake ilikuwa ni unyapara wa barabara. Very hopeless autocrat.
 
Vikwazo ni muhimu ili kukomesha ujinga.

Jaribu kufikiri, je kulikuwa na ulazima gani kupakia kura kwenye mabegi??
Acha upumbavu wewe...unafikiri vikwazo ni janga la magufuli na familia yake?Yeye ataishi vzr na hatojiuzuru uraisi...shida ipo kwenu nyinyi raia wa kawaida...

Mlivyowapumbavu hamjifunzi toka Zimbabwe?uliwahi kusikia mugabe na ukoo wake wanalia au kulalamika ugumu wa maisha??
 
Walichofanya serekali ya CCM ni kufanya ufisadi wa kimataifa,yaani ufisadi across borders.Serekali ya Magufuli inajinasibu kuwa ni serekali inayopambana na ufisadi lakini imefanya ufisadi huu wa kutisha wa nje ya mipaka ya Tanzania na hii haijawahi kutokea tokea tupate uhuru.

Imagine Magufuli anatumia mdomo kutangaza kuwa tumeishinda COVID-19 kwa kutumia maombi ya siku tatu na hakuna hata haja ya kuvaa barakoa huku akitumia mkono wake wa kulia kusisitizia anachoongea na wakati huo huo anatumia mkono wake wa kushoto kuomba na kuchukua hela za EU za kupambana na corona ambayo ameshadai kuwa haipo.Haya ndiyo maajabu ya Magufuli.Tulipokuwa tunasema kuwa nchi hii ina kiongozi goigoi hatukuwa tunatania!
 
Regime Wawe Makini Maana Hakuna Corona, Je walipata wapi ujasiri wa Kulamba Hera za Wazungu. Na je ndizo zilitumika kuchapisha Kura zile zilizagaa Mtaani ambozo POLEPOLE alisema ni za Chadema walitaka Kuvuruga Uchaguzi. Kura Feki Zilizagaa Ntaani hadi kero..
 
Leo tunasherekea haya.ila soon mambo yanabadilika na huyu aliepaza saut mpka EU na yeye atakiona cha moto kwaio tujiandae yale yaliotokea libya yanakuja kwa kasi jamani umauti wa watanzania unakuja jamani tena maelfu na melfu tutateketea tutaacha kila kitu
Utateketea wewe
 
Vikwazo ni muhimu ili kukomesha ujinga.

Jaribu kufikiri, je kulikuwa na ulazima gani kupakia kura kwenye mabegi??
Sasa vikwazo vya wazungu vitarudisha kura zilizoibwa au kuongezwa?

Lissu atashinda?

Nani ataumia kati ya wewe na magufuli?
 
Back
Top Bottom