Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Ubaya ubwela
Mlijua ni ngonjera, mnafunga magoli ya mikono mnachekewa tu

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msenge wewe ..ushabiki unakuharibu kichwa..point 3 apewe namungo kwa hoja zipi, ungekua na akili timamu kama ungesema angalau hio mechi irudiwe , kwa akili yako mbovu unadhan namungo ana uwezo wa kumfunga Simba ..kwaio angekuepo huyo mkombozi ndio angewakomboa tawi la gsm mshinde dhidi ya Simba,,unafikir Simba unaifunga kama unvyokunyaHali hii imekuwa mazoea, Kamati ya saa 72 inachukua hatua ila wakati huo hatua hizo zinakuwa hazina faida kwani mchezo unakuwa umeshakwisha, Na timu kama Namungo tayari imeshaathirika kwa maamuzi mabovu kabisa ya mwamuzi
Je, Bodi ya Ligi inawanufaisha vipi Namungo fc ambao tayari wameshaathirika kwa kucheza pungufu kwa masaa yote ya mchezo yalitobakia?
Je, Mwamuzi amechùkuliwa hatua gani?
MAONI.
5imba sc wanyang'anywe alama 3 na aidha zigawanywe au zote apewe Namungo fc.
Mwamuzi apewe adhabu kali ikiwemo kufungiwa moja kwa moja, viboko 12 pamoja na kushrakiwa kwa tuhuma za rushwa
Matusi ya nini nduguMsenge wewe ..ushabiki unakuharibu kichwa..point 3 apewe namungo kwa hoja zipi, ungekua na akili timamu kama ungesema angalau hio mechi irudiwe , kwa akili yako mbovu unadhan namungo ana uwezo wa kumfunga Simba ..kwaio angekuepo huyo mkombozi ndio angewakomboa tawi la gsm mshinde dhidi ya Simba,,unafikir Simba unaifunga kama unvyokunya
Utakuwa sio mfuatiliaji wa mpira..Utopolo vs Prisons..Zabona Mayombya alipewa red card na ikaja kufutwa kama hivi..tusemaje!?Makolo wanapenda sana janja janja sema mpaka tarehe 8 watakula nyingi sana wale wanetu
Yaani makosa ya mwamuzi wadhibiwe simba? Akili za wapi hizi?Hali hii imekuwa mazoea, Kamati ya saa 72 inachukua hatua ila wakati huo hatua hizo zinakuwa hazina faida kwani mchezo unakuwa umeshakwisha, Na timu kama Namungo tayari imeshaathirika kwa maamuzi mabovu kabisa ya mwamuzi
Je, Bodi ya Ligi inawanufaisha vipi Namungo fc ambao tayari wameshaathirika kwa kucheza pungufu kwa masaa yote ya mchezo yalitobakia?
Je, Mwamuzi amechùkuliwa hatua gani?
MAONI.
5imba sc wanyang'anywe alama 3 na aidha zigawanywe au zote apewe Namungo fc.
Mwamuzi apewe adhabu kali ikiwemo kufungiwa moja kwa moja, viboko 12 pamoja na kushrakiwa kwa tuhuma za rushwa
Vp lile goli la mkono la baka???Hali hii imekuwa mazoea, Kamati ya saa 72 inachukua hatua ila wakati huo hatua hizo zinakuwa hazina faida kwani mchezo unakuwa umeshakwisha, Na timu kama Namungo tayari imeshaathirika kwa maamuzi mabovu kabisa ya mwamuzi
Je, Bodi ya Ligi inawanufaisha vipi Namungo fc ambao tayari wameshaathirika kwa kucheza pungufu kwa masaa yote ya mchezo yalitobakia?
Je, Mwamuzi amechùkuliwa hatua gani?
MAONI.
5imba sc wanyang'anywe alama 3 na aidha zigawanywe au zote apewe Namungo fc.
Mwamuzi apewe adhabu kali ikiwemo kufungiwa moja kwa moja, viboko 12 pamoja na kushrakiwa kwa tuhuma za rushwa
Hizi kamati za kipumbavu ndizo zinazotuharibia mpira. Referee's decision is FINAL. Kwanini sasa wanaingilia maamuzi ya refarii. Naiomba FIFA iwafungie TFF kwa kuruhusu ligi kuingiliwa na wahuni.Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika.
Baada ya uchunguzi, kamati imebaini kuwa maelezo ya mwamuzi hayalingani na kile kilichoonekana kwenye video, hivyo kadi hiyo imeonekana kuwa batili. Kutokana na uamuzi huu, Mukombozi hana hatia yoyote na atakuwa huru kuendelea kuitumikia Namungo kwenye michezo inayofuata.View attachment 3246118
Hizi faini za laki tano zimezoeleka sasa. Ifike wakati dau lipande hadi milion 2 au zaidi ili liwe fundisho kwa wachezaji wahuni.Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika.
Baada ya uchunguzi, kamati imebaini kuwa maelezo ya mwamuzi hayalingani na kile kilichoonekana kwenye video, hivyo kadi hiyo imeonekana kuwa batili. Kutokana na uamuzi huu, Mukombozi hana hatia yoyote na atakuwa huru kuendelea kuitumikia Namungo kwenye michezo inayofuata.View attachment 3246118
Na kabla ya kadi nyekundu kutolewa Namungo walikuwa wamekaza Simba ulimi nje walikuwa wanazurura tu uwanjani wakipasiana bila faida, hawakuweza kupasua ngome ya Namungo, bila refa kujilipua, Simba wangepasuka tu jamaa walikuwa vizuri mno!Ilikua 0-0
Hiyo Kadi Imeshaisha Muda Wa Kutumika Kama Kuna Lingine Utopolo Gawaneni Sisi Msituhusishe.Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika.
Baada ya uchunguzi, kamati imebaini kuwa maelezo ya mwamuzi hayalingani na kile kilichoonekana kwenye video, hivyo kadi hiyo imeonekana kuwa batili. Kutokana na uamuzi huu, Mukombozi hana hatia yoyote na atakuwa huru kuendelea kuitumikia Namungo kwenye michezo inayofuata.View attachment 3246118
Tabora united hii hii ndio mnaisubiri kwa hamuYanga wanamsubiri kibonde wao wa mechi mfululizo wamtie tena goli za kutosha
Kumaliza mechi dakika zikiwa zimefika sio kosa hata kama mtu kabaki na kipaHapo juu kuna wadau wametoa na ushahidi wa huyo mwamuzi kufanya maamuzi uenye utata kwenye mechi ya Coastal vs Simba iliyoisha kwa sare ya 2-2! Maana yake siyo mara ya kwanza kufanya maamuzi yenye utata.
Muogope sana mtu anayeingia jamii forums huku ana stress zake za maisha.Matusi ya nini ndugu
Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika.
Baada ya uchunguzi, kamati imebaini kuwa maelezo ya mwamuzi hayalingani na kile kilichoonekana kwenye video, hivyo kadi hiyo imeonekana kuwa batili. Kutokana na uamuzi huu, Mukombozi hana hatia yoyote na atakuwa huru kuendelea kuitumikia Namungo kwenye michezo inayofuata.View attachment 3246118
Kamati ya masaa 72 Ina akili ya kuhakiki makosa ya wachezaji lakini haina uwezo wa kufuta matokeo yanao husu madhara ya kucheza pungufuLigi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua...
Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika.
Baada ya uchunguzi, kamati imebaini kuwa maelezo ya mwamuzi hayalingani na kile kilichoonekana kwenye video, hivyo kadi hiyo imeonekana kuwa batili. Kutokana na uamuzi huu, Mukombozi hana hatia yoyote na atakuwa huru kuendelea kuitumikia Namungo kwenye michezo inayofuata.View attachment 3246118
Sawa mwanetuUtakuwa sio mfuatiliaji wa mpira..Utopolo vs Prisons..Zabona Mayombya alipewa red card na ikaja kufutwa kama hivi..tusemaje!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni jbo la kushukuru kuona haki imetendeka.
Ila bado kwa upande wa yule mwamuzi! Natamani kuona anapewa adhabu kali, ikiwezekana afungiwe maisha kuchezesha mechi zote zinazotambuliwa na TFF, ili iwe fundisho kwa waamuzi wengine wenye tabia mbaya kama ya kwake.
Kwa wapenda michezo wote tulishuhudia ule uonevu waliofanyiwa Namungo na yule mwamuzi tangu mchezo unaanza kiasu cha kusababisha wachezaji wa Namungo kumlalamikia yule mwamuzi mara kwa mara.
Waanze na Kayoko kwanza kumuondoa mazima. LolNa usije ukashangaa mechi zijazo akapangiwa tena kuchezesha mechi za simba na kuendelea kufanya maamuzi yake ya kipuuzi.
Waamuzi wajinga kama hawa ni kuwaondoa kabisa kwenye orodha ya waamuzi wenye sifa ya kuchezesha mpira wa miguu chini ya TFF.
Kwani bado hajaondolewa? Kwa mara ya mwisho amechezesha mechi gani ya ligi kuu?Waanze na Kayoko kwanza kumuondoa mazima. Lol