Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

Kwani bado hajaondolewa? Kwa mara ya mwisho amechezesha mechi gani ya ligi kuu?
Amechezesha mechi ya Prisons Mbeya wiki mbili zilizopita na ameonaka wiki moja iliyopita Dodoma.
Kimsingi amerudi.
 
Back
Top Bottom