Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

Ubaya ubwela

Mlijua ni ngonjera, mnafunga magoli ya mikono mnachekewa tu
 
Msenge wewe ..ushabiki unakuharibu kichwa..point 3 apewe namungo kwa hoja zipi, ungekua na akili timamu kama ungesema angalau hio mechi irudiwe , kwa akili yako mbovu unadhan namungo ana uwezo wa kumfunga Simba ..kwaio angekuepo huyo mkombozi ndio angewakomboa tawi la gsm mshinde dhidi ya Simba,,unafikir Simba unaifunga kama unvyokunya
 
Reactions: BRN
Matusi ya nini ndugu
 
Makolo wanapenda sana janja janja sema mpaka tarehe 8 watakula nyingi sana wale wanetu
Utakuwa sio mfuatiliaji wa mpira..Utopolo vs Prisons..Zabona Mayombya alipewa red card na ikaja kufutwa kama hivi..tusemaje!?
 
Yaani makosa ya mwamuzi wadhibiwe simba? Akili za wapi hizi?
 
Vp lile goli la mkono la baka???
 
Hizi kamati za kipumbavu ndizo zinazotuharibia mpira. Referee's decision is FINAL. Kwanini sasa wanaingilia maamuzi ya refarii. Naiomba FIFA iwafungie TFF kwa kuruhusu ligi kuingiliwa na wahuni.
 
Hizi faini za laki tano zimezoeleka sasa. Ifike wakati dau lipande hadi milion 2 au zaidi ili liwe fundisho kwa wachezaji wahuni.

Na pia ucheleweshaji wa kurusha mpira na ball boys au wachezaji wenyewe adhabu yake iongezwe. Ikiwa watoto watachelewesha urushaji wa mipira timu iadhibiwe faini milion 10 na refarii aongeze dakika 30 za nyongeza. Hili likifanyika, uhuni kwenye mpira utakomeshwa.
 
Ilikua 0-0
Na kabla ya kadi nyekundu kutolewa Namungo walikuwa wamekaza Simba ulimi nje walikuwa wanazurura tu uwanjani wakipasiana bila faida, hawakuweza kupasua ngome ya Namungo, bila refa kujilipua, Simba wangepasuka tu jamaa walikuwa vizuri mno!

Kufutwa kwa ile kadi ni ushahidi wa rushwa za Simba kwa waamuzi, na TFF wakiendelea kuichekea Simba ligi yetu itashushwa hadi namba 50 Africa sababu Azam TV inaonekana dunia nzima na upumbavu wa marefa uko live! Aibu sana marefa hawa wataishia kuchezesha ndondo cup tu. Shame on them all!
 
Hiyo Kadi Imeshaisha Muda Wa Kutumika Kama Kuna Lingine Utopolo Gawaneni Sisi Msituhusishe.
 
Hapo juu kuna wadau wametoa na ushahidi wa huyo mwamuzi kufanya maamuzi uenye utata kwenye mechi ya Coastal vs Simba iliyoisha kwa sare ya 2-2! Maana yake siyo mara ya kwanza kufanya maamuzi yenye utata.
Kumaliza mechi dakika zikiwa zimefika sio kosa hata kama mtu kabaki na kipa
Ni penalty pekee ndio inamlazimu mwamuzi kusubiri kabla ya kumaliza mchezo
 
Kamati ya masaa 72 Ina akili ya kuhakiki makosa ya wachezaji lakini haina uwezo wa kufuta matokeo yanao husu madhara ya kucheza pungufu

Kadi nyekundu husabisha wachezaji wacheze pungufu, hizi sheria zenu zinatakiwa zitumike na watu wenye akili nyingi
 
Mayombya alipewa red card mech prison Vs Yanga ikaja kufutwa, lameck lawi alipewa red card mech Coastal Vs Yanga na Kadi ikaja kufutwa. Hakuna kipya hapa Simba na Yanga zinafanana Sana kwenye utafutaji WA matokeo. Mashabiki Kazi ni kutetea lolote litalosaidia upande wake liwe halali au sio. TFF imezidiwa nguvu na timu hiz mbili. Tunaelekea kubaya
 
Reactions: BRN
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na usije ukashangaa mechi zijazo akapangiwa tena kuchezesha mechi za simba na kuendelea kufanya maamuzi yake ya kipuuzi.

Waamuzi wajinga kama hawa ni kuwaondoa kabisa kwenye orodha ya waamuzi wenye sifa ya kuchezesha mpira wa miguu chini ya TFF.
Waanze na Kayoko kwanza kumuondoa mazima. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…